Leon Bailey anaondoka Aston Villa miaka 28 na anaweza kujiunga na AS Roma au kwenda kuchukua pesa za Saudi Arabia.

Mpaka sasa amekuwa na career nzuri japo ingeweza kuwa bora zaidi sababu uwezo anao lakini ni moja ya wachezaji muendelezo ni changamoto kwake kwa taifa alillotaka anabaki kuwa mchezaji wenye kipaji zaidi natumai Mason Greenwood akijunga rasmi na Jamaica watakuwa na taifa nzuri na shindani.

#SportsElite
🚨🚨Leon Bailey anaondoka Aston Villa miaka 28 na anaweza kujiunga na AS Roma au kwenda kuchukua pesa za Saudi Arabia. Mpaka sasa amekuwa na career nzuri japo ingeweza kuwa bora zaidi sababu uwezo anao lakini ni moja ya wachezaji muendelezo ni changamoto kwake kwa taifa alillotaka anabaki kuwa mchezaji wenye kipaji zaidi natumai Mason Greenwood akijunga rasmi na Jamaica watakuwa na taifa nzuri na shindani. #SportsElite
0 Σχόλια ·0 Μοιράστηκε ·89 Views