Kwa mara ya kwanza ndani ya miaka 3, Neymar ameweza kucheza mechi 6 mfululizo.

Mshambuliaji huyo wa klabu ya Santos ameweza kucheza mechi 6 mfululizo kwani alikuwa akisumbuliwa majeraha ya mara kwa mara na kumfanya ashindwe kucheza mfululizo.

Katika klabu hiyo amecheza mechi dhidi ya Cruzeiro, Juventude, Sport Recife, Intanacional, Mirassol na Flamengo.


#SportsElite
🚨⚪⚫Kwa mara ya kwanza ndani ya miaka 3, Neymar ameweza kucheza mechi 6 mfululizo. Mshambuliaji huyo wa klabu ya Santos ameweza kucheza mechi 6 mfululizo kwani alikuwa akisumbuliwa majeraha ya mara kwa mara na kumfanya ashindwe kucheza mfululizo. Katika klabu hiyo amecheza mechi dhidi ya Cruzeiro, Juventude, Sport Recife, Intanacional, Mirassol na Flamengo. #SportsElite
0 Комментарии ·0 Поделились ·70 Просмотры