BREAKING

Brentford wamekataa ofa ya Newcastle £35million pamoja na nyongeza ya £5million kwa mshambuliaji wao Yoane Wissa raia wa DRC Congo.

Licha ya Wissa kushinikiza kuondoka klabuni hapo lakini Brentford kwa upande wao wamekataa ofa hiyo nyingine ya Newcastle.

Brentford pia hawajaweka wazi bei sahihi ambayo wanahitaji ili kumuachia mshambuliaji huyo.

Mkataba uheshimiwe

Source {David Ornstein}.

#SportsElite
🚨 BREAKING Brentford wamekataa ofa ya Newcastle £35million pamoja na nyongeza ya £5million kwa mshambuliaji wao Yoane Wissa raia wa DRC Congo. Licha ya Wissa kushinikiza kuondoka klabuni hapo lakini Brentford kwa upande wao wamekataa ofa hiyo nyingine ya Newcastle. Brentford pia hawajaweka wazi bei sahihi ambayo wanahitaji ili kumuachia mshambuliaji huyo. Mkataba uheshimiwe😅 Source {David Ornstein}. #SportsElite
0 Comentários ·0 Compartilhamentos ·13 Visualizações