Napoli wanasajili kwa akili kubwa sana...

Baada ya taarifa za kitabibu kuthibitisha kwamba Lukaku hatokuwa sehemu ya kikosi hadi mwezi November kwa sababu ya majeraha, Napoli wamemuibukia Jamie Vardy ambaye ni mchezaji huru kwa sasa.

Kama dili litakamilika naona hapa Napoli watakuwa wamepata mbadala sahihi kwa kipindi hiki cha mpito ukizingatia hata Vardy ana ufanisi mkubwa sana kwenye umaliziaji.

Sasa upande KDB af McTomminay na Zambo Anguissa hapo basi akiongezeka Vardy wanaweza kuwa na timu imara ya kupambana kuwania taji la Scudetto tena msimu ujao

#SportsElite
🚨🚨Napoli wanasajili kwa akili kubwa sana... Baada ya taarifa za kitabibu kuthibitisha kwamba Lukaku hatokuwa sehemu ya kikosi hadi mwezi November kwa sababu ya majeraha, Napoli wamemuibukia Jamie Vardy ambaye ni mchezaji huru kwa sasa. Kama dili litakamilika naona hapa Napoli watakuwa wamepata mbadala sahihi kwa kipindi hiki cha mpito ukizingatia hata Vardy ana ufanisi mkubwa sana kwenye umaliziaji. Sasa upande KDB af McTomminay na Zambo Anguissa hapo basi akiongezeka Vardy wanaweza kuwa na timu imara ya kupambana kuwania taji la Scudetto tena msimu ujao 📌 #SportsElite
0 Comentários ·0 Compartilhamentos ·16 Visualizações