USAJILI MPYA: SINGIDA YAMSIGN KIUNGO IDRISS DIOMANDÉ 🇨🇮

Singida Black Stars imethibitisha kumsajili kiungo Idriss Diomandé kutoka Zoman FC ya Ivory Coast kwa mkataba wa miaka mitatu.

Diomandé tayari amejiunga na kikosi cha timu hiyo na ameanza maandalizi ya msimu mpya wa 2025/26 akiwa sehemu ya mipango ya kocha kwa msimu ujao.

#SportsElite
🔁 USAJILI MPYA: SINGIDA YAMSIGN KIUNGO IDRISS DIOMANDÉ 🇨🇮 Singida Black Stars 🇹🇿 imethibitisha kumsajili kiungo Idriss Diomandé kutoka Zoman FC ya Ivory Coast kwa mkataba wa miaka mitatu. Diomandé tayari amejiunga na kikosi cha timu hiyo na ameanza maandalizi ya msimu mpya wa 2025/26 akiwa sehemu ya mipango ya kocha kwa msimu ujao.✅ #SportsElite
0 Commentarios ·0 Acciones ·6 Views