Nyota mpya wa Real Madrid Franco Manstantuono(18), amefanikiwa kucheza mchezo wake wa kwanza hii leo dhidi ya Osasuna akiingia dakika ya 68' ya mchezo.
Manstantuono amesajiliwa na Madrid akitokea River plate na ni moja ya vijana wenye vipaji vikubwa na ni kesho njema kwa Argentina.
Mchezo umemalizika kwa Real Madrid kuibuka na ushindi wa goli 1️⃣ kwa 0️⃣.
Kesho inaandaliwa
#SportsElite

🚨🚨Nyota mpya wa Real Madrid Franco Manstantuono(18)🇦🇷, amefanikiwa kucheza mchezo wake wa kwanza hii leo dhidi ya Osasuna akiingia dakika ya 68' ya mchezo.
Manstantuono amesajiliwa na Madrid akitokea River plate na ni moja ya vijana wenye vipaji vikubwa na ni kesho njema kwa Argentina.
Mchezo umemalizika kwa Real Madrid kuibuka na ushindi wa goli 1️⃣ kwa 0️⃣.
Kesho inaandaliwa🇦🇷🔥
#SportsElite
0 Comentários
·0 Compartilhamentos
·7 Visualizações