Galliani (aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa AC Milan) ameweka wazi namna wachezaji Ronaldo De LIMA na Ronaldinho Gaucho walivyokuwa wasumbufu nje ya Uwanja wakati wakikipiga hapo.

Galliani anasema: "Ronaldo na Ronaldinho walikuwa wavivu wa hali ya juu kabla ya mechi. Ronaldo alikuwa anakula kwa pupa na hakufuata mlo wowote licha ya kuongezeka uzito. Ronaldinho hakujua hata jina la timu tutakayocheza nayo siku ya mechi.

"Lakini walipoingia uwanjani walikuwa wanakiwasha na walikuwa hawazuiliki."

#SportsElite
🚨🚨Galliani (aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa AC Milan) ameweka wazi namna wachezaji Ronaldo De LIMA na Ronaldinho Gaucho walivyokuwa wasumbufu nje ya Uwanja wakati wakikipiga hapo. Galliani anasema: "Ronaldo na Ronaldinho walikuwa wavivu wa hali ya juu kabla ya mechi. Ronaldo alikuwa anakula kwa pupa na hakufuata mlo wowote licha ya kuongezeka uzito. Ronaldinho hakujua hata jina la timu tutakayocheza nayo siku ya mechi. "Lakini walipoingia uwanjani walikuwa wanakiwasha na walikuwa hawazuiliki." #SportsElite
0 Commenti ·0 condivisioni ·10 Views