USAJILI

#CONFIRMED;Timu ya Wananchi Yanga leo imempokea mchezaji wao kambini Avic Town Frank Assinki.

Frank Assinki muda wowote kuanzia sasa atatambulishwa kama mchezaji wao mpya waliomsajili kutoka Singida Big Stars kwa mkopo wa mwaka mmoja.

#SportsElite
USAJILI ๐Ÿšจ#CONFIRMED;Timu ya Wananchi Yanga leo imempokea mchezaji wao kambini Avic Town Frank Assinki. Frank Assinki muda wowote kuanzia sasa atatambulishwa kama mchezaji wao mpya waliomsajili kutoka Singida Big Stars kwa mkopo wa mwaka mmoja. #SportsElite
0 Comments ยท0 Shares ยท10 Views