Pichani ni Luis Javier Suarez mshambuliaji mpya wa Sporting Lisbon aliesajiliwa pale kama mbadala wa Victor Gyokeres alietimkia Arsenal.
Suarez ameendeleza pale pale alipoishia Gyokeres akiwa na Lisbon na jana kwenye ushindi wa goli 6 walioupata ametupia kamba 2 na kufungua njia yake ya magoli rasmi.
Kifupi tu ni kuwa Sporting Lisbon hawajapata hasara kwenye dili la Gyokeres na saizi hawapokei simu za watu wanakula mafao ya Gyokeres kwanza.
#SportsElite

🚨🚨Pichani ni Luis Javier Suarez mshambuliaji mpya wa Sporting Lisbon aliesajiliwa pale kama mbadala wa Victor Gyokeres alietimkia Arsenal.
Suarez ameendeleza pale pale alipoishia Gyokeres akiwa na Lisbon na jana kwenye ushindi wa goli 6 walioupata ametupia kamba 2 na kufungua njia yake ya magoli rasmi.
Kifupi tu ni kuwa Sporting Lisbon hawajapata hasara kwenye dili la Gyokeres na saizi hawapokei simu za watu wanakula mafao ya Gyokeres kwanza.
#SportsElite
0 Comentários
·0 Compartilhamentos
·17 Visualizações