Mshambuliaji wa Atalanta Ademola Lookman amerudi kwenye uwanja wa mazoezi katika klabu yake ya Atalanta baada ya dili lake la kwenda Inter Milan kufeli.
Mnigeria huyo alitaka kujiunga na Inter lakini hakuna makubaliano yaliyofikiwa na Atalanta, hivyo hatua hiyo imeshindikana.
Lookman sasa amerejea katika uwanja wa mazoezi wa Atalanta na itabidi azungumze na klabu na kocha kurekebisha uhusiano uliokuwepo hapo awali kwani aligomea mazoezi akishinikiza kuondoka klabuni hapo.
(Chanzo Sky Sport)
#SportsElite

🚨🔵⚪Mshambuliaji wa Atalanta Ademola Lookman amerudi kwenye uwanja wa mazoezi katika klabu yake ya Atalanta baada ya dili lake la kwenda Inter Milan kufeli.
Mnigeria huyo alitaka kujiunga na Inter lakini hakuna makubaliano yaliyofikiwa na Atalanta, hivyo hatua hiyo imeshindikana. ❌
Lookman sasa amerejea katika uwanja wa mazoezi wa Atalanta na itabidi azungumze na klabu na kocha kurekebisha uhusiano uliokuwepo hapo awali kwani aligomea mazoezi akishinikiza kuondoka klabuni hapo.
(Chanzo Sky Sport)
#SportsElite
0 Kommentare
·0 Anteile
·7 Ansichten