Sema kwenye deal la Isak ni gumu sana na bei ni ghali Sana, ndio maana hakuna timu inaweza ingilia hapo kati zaidi ya Liverpool wenyewe...

Sema Hawa Newcastle Wana nguvu ya pesa ndio maana hawababaishwi na mtu... Ila nguvu ya demand kwa mchezaji kutaka kwenda kucheza Liverpool Pekee ndio kutabadilisha matokeo... Na Newcastle kukubali deal li kamamilike

#SportsElite
Sema kwenye deal la Isak ni gumu sana na bei ni ghali Sana, ndio maana hakuna timu inaweza ingilia hapo kati zaidi ya Liverpool wenyewe... Sema Hawa Newcastle Wana nguvu ya pesa ndio maana hawababaishwi na mtu... Ila nguvu ya demand kwa mchezaji kutaka kwenda kucheza Liverpool Pekee ndio kutabadilisha matokeo... Na Newcastle kukubali deal li kamamilike #SportsElite
0 Kommentare ·0 Anteile ·17 Ansichten