Klabu ya Strasbourg imeandika historia kwa kuwa timu ya kwanza katika ligi kubwa tano barani Ulaya kuanza mchezo ikiwa na wachezaji kumi na moja wote waliozaliwa katika karne ya 21 (baada ya mwaka 2000).

Tukio hilo lilitokea katika mchezo wao dhidi ya Metz ambapo Strasbourg ilishinda bao 1-0, shukrani kwa bao la Joaquín Panichelli dakika ya 86.

Kikosi kilichoipeleka Strasbourg kwenye historia hiyo kilikuwa na vijana wenye umri kati ya miaka 19 hadi 22 pekee.

#SportsElite
🚨🚨Klabu ya Strasbourg imeandika historia kwa kuwa timu ya kwanza katika ligi kubwa tano barani Ulaya kuanza mchezo ikiwa na wachezaji kumi na moja wote waliozaliwa katika karne ya 21 (baada ya mwaka 2000). Tukio hilo lilitokea katika mchezo wao dhidi ya Metz ambapo Strasbourg ilishinda bao 1-0, shukrani kwa bao la Joaquín Panichelli dakika ya 86. Kikosi kilichoipeleka Strasbourg kwenye historia hiyo kilikuwa na vijana wenye umri kati ya miaka 19 hadi 22 pekee. #SportsElite
0 Reacties ·0 aandelen ·9 Views