| Girona imeonesha nia ya kumuhitaji golikipa Iñaki Peña,baada ya golikipa wao Gazzaniga kufanya vibaya mechi iliyopita.

Barça inapanga kumuongeza mkataba golikipa huyo ndipo imtoe kwa mkopo.
Thamani yake ni €4M, kwa klabu yoyote itakayo muhitaji .

Pia Barça itamuingiza kwenye mfumo Szczesny

Via (): @alexlunafut [MD]

#FCBlive #Transfers

#SportsElite
🚨🇪🇸 | Girona imeonesha nia ya kumuhitaji golikipa Iñaki Peña,baada ya golikipa wao Gazzaniga kufanya vibaya mechi iliyopita. 🔵🔴 Barça inapanga kumuongeza mkataba golikipa huyo ndipo imtoe kwa mkopo. 💰 Thamani yake ni €4M, kwa klabu yoyote itakayo muhitaji . 👉 Pia Barça itamuingiza kwenye mfumo Szczesny 📎 Via (🟢): @alexlunafut [MD] #FCBlive #Transfers #SportsElite
0 Comentários ·0 Compartilhamentos ·13 Visualizações