Kumechangamkaa Lucas libeiro kawakataa mamelod kawakataa watoto wa caf
Lucas Ribeiro Costa avunja mkataba wake na Mamelodi Sundowns!
Mchezaji huyo wa Kibrazili ametuma barua rasmi ya kusitisha mkataba wake akisema:
"Ninaamini nina sababu ya msingi ya kusitisha mkataba wangu na Mamelodi Sundowns FC, jambo ambalo nitalieleza mbele ya Mahakama ya Soka ya FIFA."
Ribeiro anawakilishwa na kampuni ya sheria ya Dupont-Hissel, ambao kwa sasa wanashughulikia kesi kubwa ya ‘Diarra Ruling’.
#SportsElite

🚨🚨Kumechangamkaa Lucas libeiro kawakataa mamelod kawakataa watoto wa caf
💣 Lucas Ribeiro Costa avunja mkataba wake na Mamelodi Sundowns!
Mchezaji huyo wa Kibrazili ametuma barua rasmi ya kusitisha mkataba wake akisema:
"Ninaamini nina sababu ya msingi ya kusitisha mkataba wangu na Mamelodi Sundowns FC, jambo ambalo nitalieleza mbele ya Mahakama ya Soka ya FIFA."
Ribeiro anawakilishwa na kampuni ya sheria ya Dupont-Hissel, ambao kwa sasa wanashughulikia kesi kubwa ya ‘Diarra Ruling’.
#SportsElite
0 التعليقات
·0 المشاركات
·21 مشاهدة