Liverpool wanapendelea kumbakisha klabuni Harvey Elliott licha ya kutambua nia yake ya kuwa anataka kuwa mchezaji wa kuanza Kikosi cha kwanza

RB Leipzig imefanya mazungumzo na Liverpool jana Asubuhi lakini hakuna kilichokubaliwa kufikia sasa.

Liverpool inamthamini Harvey Elliott Ila inategemea na Uamuzi wake lakini nia yao ni kumbakisha klabuni

Source Ben Jacobs


#SportsElite
馃彺鬆仹鬆仮鬆仴鬆伄鬆仹鬆伩馃毃 Liverpool wanapendelea kumbakisha klabuni Harvey Elliott licha ya kutambua nia yake ya kuwa anataka kuwa mchezaji wa kuanza Kikosi cha kwanza RB Leipzig imefanya mazungumzo na Liverpool jana Asubuhi lakini hakuna kilichokubaliwa kufikia sasa.馃敶 Liverpool inamthamini Harvey Elliott Ila inategemea na Uamuzi wake lakini nia yao ni kumbakisha klabuni Source Ben Jacobs #SportsElite
0 Commentarios 0 Acciones 42 Views