Zaburi 34:8-9
[8]Onjeni mwone ya kuwa BWANA yu mwema;
Heri mtu yule anayemtumaini.
.
[9]Mcheni BWANA, enyi watakatifu wake,
Yaani, wamchao hawahitaji kitu.
.
Bwana ni mwema kwetu kila wakati kwa hakika kila mtu amwaminiye na amtumainiye Mungu humtukuza.
Bwana ni mwema kwetu na sisi ni watu wake tunapaswa Mungu atupe nafasi ya kupendwa naye kila wakati.
Bwana ni mwema kwetu sisi na wote wamchao na wote wamtumainio bwana hawata ogopa kitu.
Zaburi 23:6
[6]Hakika wema na fadhili zitanifuata
Siku zote za maisha yangu;
Nami nitakaa nyumbani mwa BWANA milele.
Wema wa Bwana na fadhiri zake ni kwa watu wamchao na watu wamtafutao kwani wako watu wamepewa privilege na Bwana ya wao kumtumaini siku zote.
Ukimpenda Bwana Bwana pia anakupenda na akikupenda lazima fadhiri zake zitakuwa na wewe.
#Mit 3:5-6 SUV
Na hili fadhiri zije kwetu ni lazima tumuamini Mungu kweli kweli.
Mtumaini BWANA kwa moyo wako wote, Wala usizitegemee akili zako mwenyewe; Katika njia zako zote mkiri yeye, Naye atayanyosha mapito yako
Hivyo ndivyo tunaweza kuonja wema wa Bwana katika maisha yetu siku zote.
Ni matumaini yangu hata kwako leo inawezekana ulikata tamaa lakini kwa jina la Yesu noamba nikwambie lipo tumaini katika mti ulio katwa ,ukachipuka tena.
Natamani uchipuke tena uone wema wa Mungu katika maisha yako .
Mungu anakupenda atafungua maisha yako na kukumbuka kwa sababu yeye awapenda wampendao na wamtafutao kwa bidii.
Nikutakie jion njema na siku njem .
Naitwa mwl Sylvester Mwakabende kutoka build new eden.
Mawasiliano 0622625340.
#build new eden
#restore men position

0 Σχόλια
·0 Μοιράστηκε
·28 Views