Chelsea inahitaji £20M ili kumuuza Raheem Sterling dirisha hili la usajili.

Na Beşiktaş imeonesha nia ya kumuhitaji winga huyo, mbali na hapo pia vilabu vya Uingereza Fulham na West Ham vinahitaji huduma yake.

(Source: CaughtOffside)

#SportsElite
🚨 Chelsea inahitaji £20M ili kumuuza Raheem Sterling dirisha hili la usajili. Na Beşiktaş imeonesha nia ya kumuhitaji winga huyo, mbali na hapo pia vilabu vya Uingereza Fulham na West Ham vinahitaji huduma yake. (Source: CaughtOffside) #SportsElite
0 Commenti ·0 condivisioni ·7 Views