BREAKING: Mazungumzo sasa yapo keenye hatua za juu kati ya Man United na Napoli kwa mkataba wa mkopo na ada ya mkopo yenye thamani ya € 5m pamoja na chaguo la € 45m kununua.

Napoli wako tayari kulipa mshahara mzima wa Rasmus Højlund.

Napoli inaamini kushiriki kwao Ligi ya Mabingwa kunaweza kumshawishi Højlund kujiunga nao.

Source the athletic

#SportsElite
🚨 BREAKING: Mazungumzo sasa yapo keenye hatua za juu kati ya Man United na Napoli kwa mkataba wa mkopo na ada ya mkopo yenye thamani ya € 5m pamoja na chaguo la € 45m kununua. Napoli wako tayari kulipa mshahara mzima wa Rasmus Højlund. Napoli inaamini kushiriki kwao Ligi ya Mabingwa kunaweza kumshawishi Højlund kujiunga nao. Source the athletic #SportsElite
0 Commentarii ·0 Distribuiri ·4 Views