BREAKING: Mmiliki wa West Ham David Sullivan atampa Graham Potter michezo mingine miwili ya kutetea kibarua chake kwenye kilabu.

🏟 Michezo hiyo miwili ni dhid ya Wolves (away)
🏟 Na dhid ya Nottm Forest (away)

(Source : Graeme Bailey)

#SportsElite
🚨 BREAKING: Mmiliki wa West Ham David Sullivan atampa Graham Potter michezo mingine miwili ya kutetea kibarua chake kwenye kilabu. 🏟 Michezo hiyo miwili ni dhid ya Wolves (away) 🏟 Na dhid ya Nottm Forest (away) (Source : Graeme Bailey) #SportsElite
0 Comentários ·0 Compartilhamentos ·4 Visualizações