BREAKING: Jean-Philippe Mateta amekuwa mchezaji wa kwanza wa Crystal Palace kufunga goli kwenye mashindano ya Ulaya.


Crystal Palace imeshinda round ya kwanza dhidi ya Fredrikstad na itacheza round ya pili Alhamisi, Agosti 28 huko Norway, mchezo mmoja mbali na kupata nafasi ya kucheza UEFA Conference 2025-26 .

Source enock kobina Essie

#SportsElite
🚨 BREAKING: Jean-Philippe Mateta amekuwa mchezaji wa kwanza wa Crystal Palace kufunga goli kwenye mashindano ya Ulaya. 🦅✨ Crystal Palace imeshinda round ya kwanza dhidi ya Fredrikstad na itacheza round ya pili Alhamisi, Agosti 28 huko Norway, mchezo mmoja mbali na kupata nafasi ya kucheza UEFA Conference 2025-26 . Source enock kobina Essie #SportsElite
0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·13 Views