“Mashabiki duniani kote walitarajia tufunge penalti. Lakini tunawezaje kuwa wazuri wa kufunga penalti ikiwa Ronaldo ndiye anayepiga penalti zote kwenye mazoezi?” .

Dogo aliamua kuweka wazi tatizo la wao kushindwa kwenye mikwaju ya penalti .

#fcbarcelonaswahilinews

#SportsElite
🚨🚨“Mashabiki duniani kote walitarajia tufunge penalti. Lakini tunawezaje kuwa wazuri wa kufunga penalti ikiwa Ronaldo ndiye anayepiga penalti zote kwenye mazoezi?” 😂🤣. Dogo aliamua kuweka wazi tatizo la wao kushindwa kwenye mikwaju ya penalti 😏. #fcbarcelonaswahilinews #SportsElite
0 Commentarii ·0 Distribuiri ·2 Views