Cristiano Ronaldo ni Ni moja ya Magwiji wakubwa Sana kwenye soccer Duniani hio Haina hata ubishi wowote... Lakini kwenye hao magwiji lazima utampata Gwiji namba moja, .... Na kama unaakili timamu lazima ulitaje jina la #LIONEL_MESSI ndiye mchezaji Bora Zaidi Duniani,.... Na kwenye huo Ubora unapimwa na vitu alivyo fanikiwa kubeba kwenye soccer ,... Sasa bwana huyu Mchawi mfupi hakuna kitu alicho kiacha kwenye Dunia ya Soka Kwa taarifa yenu

Any way huyo Alie kua na Ronaldo ni nani
🌀Cristiano Ronaldo ni Ni moja ya Magwiji wakubwa Sana kwenye soccer Duniani hio Haina hata ubishi wowote...✊ Lakini kwenye hao magwiji lazima utampata Gwiji namba moja, .... Na kama unaakili timamu lazima ulitaje jina la #LIONEL_MESSI ndiye mchezaji Bora Zaidi Duniani,.... Na kwenye huo Ubora unapimwa na vitu alivyo fanikiwa kubeba kwenye soccer ,... Sasa bwana huyu Mchawi mfupi hakuna kitu alicho kiacha kwenye Dunia ya Soka Kwa taarifa yenu😀 Any way huyo Alie kua na Ronaldo ni nani ❔❓😀
0 Comentários ·0 Compartilhamentos ·4 Visualizações