0 Comments
ยท0 Shares
ยท76 Views
-
Cristiano Ronaldo ni Ni moja ya Magwiji wakubwa Sana kwenye soccer Duniani hio Haina hata ubishi wowote... Lakini kwenye hao magwiji lazima utampata Gwiji namba moja, .... Na kama unaakili timamu lazima ulitaje jina la #LIONEL_MESSI ndiye mchezaji Bora Zaidi Duniani,.... Na kwenye huo Ubora unapimwa na vitu alivyo fanikiwa kubeba kwenye soccer ,... Sasa bwana huyu Mchawi mfupi hakuna kitu alicho kiacha kwenye Dunia ya Soka Kwa taarifa yenu
Any way huyo Alie kua na Ronaldo ni nani๐Cristiano Ronaldo ni Ni moja ya Magwiji wakubwa Sana kwenye soccer Duniani hio Haina hata ubishi wowote...โ Lakini kwenye hao magwiji lazima utampata Gwiji namba moja, .... Na kama unaakili timamu lazima ulitaje jina la #LIONEL_MESSI ndiye mchezaji Bora Zaidi Duniani,.... Na kwenye huo Ubora unapimwa na vitu alivyo fanikiwa kubeba kwenye soccer ,... Sasa bwana huyu Mchawi mfupi hakuna kitu alicho kiacha kwenye Dunia ya Soka Kwa taarifa yenu๐ Any way huyo Alie kua na Ronaldo ni nani โโ๐0 Comments ยท0 Shares ยท476 Views -
Wachezaji wenye magoli na Assist Nyingi Karne ya 21
Lionel Messi – 1264
Cristiano Ronaldo – 1196
Robert Lewandowski – 841
Luis Suarez – 836
Zlatan Ibrahimovic – 726
Karim Benzema – 689๐จ๐จWachezaji wenye magoli na Assist Nyingi Karne ya 21 ๐ฅ ๐ฆ๐ท Lionel Messi – 1264 ๐ต๐น Cristiano Ronaldo – 1196 ๐ต๐ฑ Robert Lewandowski – 841 ๐บ๐พ Luis Suarez – 836 ๐ธ๐ช Zlatan Ibrahimovic – 726 ๐ซ๐ท Karim Benzema – 6890 Comments ยท0 Shares ยท316 Views -
Lionel Messi ameweka rekodi mpya kama mfungaji bora wa mabao mengi zaidi katika historia ya soka bila penalti.
Mabao kutoka kwa mchezo wa kawaida (bila penalti):
1๏ธโฃ Lionel Messi – mabao 764
2๏ธโฃ Cristiano Ronaldo – mabao 763
Ufanisi wa Messi unazidi kudhihirisha ubora wake wa kipekee ndani ya uwanja.
#SportsEliteLionel Messi ameweka rekodi mpya kama mfungaji bora wa mabao mengi zaidi katika historia ya soka bila penalti. ๐ Mabao kutoka kwa mchezo wa kawaida (bila penalti): 1๏ธโฃ Lionel Messi – mabao 764 ๐ 2๏ธโฃ Cristiano Ronaldo – mabao 763 Ufanisi wa Messi unazidi kudhihirisha ubora wake wa kipekee ndani ya uwanja. #SportsElite0 Comments ยท0 Shares ยท380 Views -
Baada ya Inter Miami kuibuka na ushindi wa magoli 5๏ธโฃ kwa 1๏ธโฃ dhidi ya New York Red alfajiri ya leo ๏ธ
Lionel Messi akaibuka Mchezaji Bora wa mchezo huo baada ya kuisaidia timu yake kwa kufunga magoli mawili na kutoa assist moja — akiwa amechangia jumla ya magoli matatu!
Katika michezo saba mfululizo ya Inter Miami, Lionel Messi amefunga kwenye michezo sita (6๏ธโฃ) — akiwa ana funga magoli mawili mawili katika mchezo mmoja, isipokuwa mchezo mmoja tu ndio hakuweza kufunga wala kutoa pasi ya goli,
Takwimu za Messi katika michezo saba ya ligi kuu ya MLS:
โฝ Magoli: 12
Assist: 5
Jumla ya magoli aliyochangia: 17
#SportsElite๐จ Baada ya Inter Miami kuibuka na ushindi wa magoli 5๏ธโฃ kwa 1๏ธโฃ dhidi ya New York Red alfajiri ya leo ๐ โฝ๏ธ ๐ Lionel Messi akaibuka Mchezaji Bora wa mchezo huo baada ya kuisaidia timu yake kwa kufunga magoli mawili โฝโฝ na kutoa assist moja ๐ฏ — akiwa amechangia jumla ya magoli matatu! ๐ฅ๐ ๐ Katika michezo saba mfululizo ya Inter Miami, Lionel Messi amefunga kwenye michezo sita (6๏ธโฃ) — akiwa ana funga magoli mawili mawili katika mchezo mmoja, isipokuwa mchezo mmoja tu ndio hakuweza kufunga wala kutoa pasi ya goli, ๐ Takwimu za Messi katika michezo saba ya ligi kuu ya MLS: โฝ Magoli: 12 ๐ฏ Assist: 5 ๐ข Jumla ya magoli aliyochangia: 17 #SportsElite0 Comments ยท0 Shares ยท435 Views -
Kutokana na “Sheria ya Beckham” – ambayo inaruhusu vilabu vya MLS (Major League Soccer) kusaini hadi wachezaji watatu walioko nje ya kiwango cha mshahara kilichowekwa (yaani wanaweza kulipwa zaidi au kusajiliwa kwa ada ya uhamisho) – Rodrigo De Paul atajiunga na Inter Miami kwa mkopo wa miezi 6, ukiambatana na kifungu cha lazima cha kumnunua kwa €15 milioni pamoja na bonasi.
Mkopo huo utaendelea hadi mwisho wa mwaka 2025
Kuanzia mwaka 2026, atakuwa mchezaji wa kudumu hadi mwaka 2029
Atlético Madrid watatumia kipengele cha kuongeza mkataba wa De Paul kwa mwaka mmoja hadi katikati ya 2027 ili kuwezesha mkopo huo.
Mpango uliopo kwa sasa, uliowasilishwa kwa MLS, ni kwamba De Paul hatakuwa mmoja wa wachezaji walioteuliwa kama “Designated Player (DP)” wakati wa mkopo mwaka 2025.
Hii ina maana kuwa wachezaji watatu waliopo kwenye nafasi za DP katika Inter Miami watabaki kuwa:
Lionel Messi
Jordi Alba
Sergio Busquets
Chanzo: GIVEMESPORT
---
Hii ni dili kubwa kwa Inter Miami na inaonyesha jinsi wanavyoendelea kujenga kikosi chenye nguvu huku wakizingatia sheria za mshahara wa MLS kwa ustadi.
#SportsElite๐ฃ Kutokana na “Sheria ya Beckham” – ambayo inaruhusu vilabu vya MLS (Major League Soccer) kusaini hadi wachezaji watatu walioko nje ya kiwango cha mshahara kilichowekwa (yaani wanaweza kulipwa zaidi au kusajiliwa kwa ada ya uhamisho) – Rodrigo De Paul atajiunga na Inter Miami kwa mkopo wa miezi 6, ukiambatana na kifungu cha lazima cha kumnunua kwa €15 milioni pamoja na bonasi. ๐น Mkopo huo utaendelea hadi mwisho wa mwaka 2025 ๐น Kuanzia mwaka 2026, atakuwa mchezaji wa kudumu hadi mwaka 2029 ๐น Atlético Madrid watatumia kipengele cha kuongeza mkataba wa De Paul kwa mwaka mmoja hadi katikati ya 2027 ili kuwezesha mkopo huo. ๐ฆ๐ท๐ฆฉ โน๏ธ Mpango uliopo kwa sasa, uliowasilishwa kwa MLS, ni kwamba De Paul hatakuwa mmoja wa wachezaji walioteuliwa kama “Designated Player (DP)” wakati wa mkopo mwaka 2025. Hii ina maana kuwa wachezaji watatu waliopo kwenye nafasi za DP katika Inter Miami watabaki kuwa: Lionel Messi Jordi Alba Sergio Busquets ๐ Chanzo: GIVEMESPORT --- Hii ni dili kubwa kwa Inter Miami na inaonyesha jinsi wanavyoendelea kujenga kikosi chenye nguvu huku wakizingatia sheria za mshahara wa MLS kwa ustadi. #SportsElite0 Comments ยท0 Shares ยท523 Views -
Inter Miami yahatarisha kupoteza €300M endapo Messi ataondoka!
Klabu ya Inter Miami inaweza kupata pigo kubwa kifedha ikiwa Lionel Messi ataondoka. Tangu ajiunge, wameingiza €265M kupitia tiketi za mechi na €29.7M kupitia Apple TV
#SportsElite๐จ Inter Miami yahatarisha kupoteza €300M endapo Messi ataondoka! ๐ฎ๐ Klabu ya Inter Miami inaweza kupata pigo kubwa kifedha ikiwa Lionel Messi ๐ฆ๐ท ataondoka. Tangu ajiunge, wameingiza €265M kupitia tiketi za mechi na €29.7M kupitia Apple TV ๐บ๐ฅ #SportsElite0 Comments ยท0 Shares ยท461 Views -
Uongozi wa Ligi Kuu ya mpira wa miguu Nchini Marekani , Major League Soccer (MLS), umempiga marufuku Mlinzi binafsi (Bodyguard) wa Lionel Messi, Yassine Cheuko, kuwa kando na kuingia katikati ya Uwanja wakati wa mechi za Inter Miami kwa lengo lake la kumlinda Mwajiri wake Messi.
Ikumbukwe kwamba Yassine Cheuko, ni Mwanajeshi wa zamani wa kikosi maalumu cha operesheni za kijeshi cha Jeshi la Majini la Marekani (U.S. Navy) kinachobobea katika vita visivyo vya kawaida, kupambana na ugaidi, mashambulizi ya moja kwa moja, na upelelezi wa kijeshi. Tangu Yessine Cheuko aanze kufanya kazi na Messi amejizolea umaarufu mkubwa Duniani kwani ameonekana mara nyingi akiwadhibiti Wavamizi mbalimbali ambao wengi lengo lao huwa sio baya, zaidi wanataka kupiga picha na Messi.
Tayari uongozi wa Ligi hiyo umemzuia kuingia Uwanjani, sasa ataruhusiwa tu kuwa kwenye Vyumba vya kubadilishia nguo na maeneo ya Waandishi wa habari siku za mechi. Uamuzi huu ni sehemu ya mpango wa (MLS) wa kuchukua mamlaka kamili ya usalama wa mechi.
Baada ya katazo, Yassine Cheuko ameonyesha kutoridhishwa na hatua hiyo, akisema kuwa Wavamizi wa Uwanja ni tatizo kubwa zaidi Nchini Marekani kuliko Ulaya. Kwa mujibu wake, katika miaka saba aliyofanya kazi Ulaya, kulikuwa na matukio sita pekee ya uvamizi Uwanjani, ilhali katika miezi 20 Nchini Marekani, tayari yameshuhudiwa matukio 16.
Mlinzi huyo ameendelea kusema kuwa Uongozi wa Ligi Kuu ya Marekani haukutakiwa kumzuia kufanye kazi yake bali walitakiwa kumpa ushirikiano ili kazi hiyo waifanye kwa pamoja kwa sababu eti kipindi yupo barani Ulaya, alipata ushirikiano wa kutosha kutoka kwenye Uongozi na alifanya kazi yake kwa uhuru. Pamoja na kuzuiliwa kuingia Uwanjani au kukaa kando ya Uwanja, Cheuko amesema kuwa ataendelea kufanya kazi yake kama kawaida bila kuvunja sheria au utaratibu uliopo kwenye mchezo wa mpira wa miguu.
Uongozi wa Ligi Kuu ya mpira wa miguu Nchini Marekani ๐บ๐ธ, Major League Soccer (MLS), umempiga marufuku Mlinzi binafsi (Bodyguard) wa Lionel Messi, Yassine Cheuko, kuwa kando na kuingia katikati ya Uwanja wakati wa mechi za Inter Miami kwa lengo lake la kumlinda Mwajiri wake Messi. Ikumbukwe kwamba Yassine Cheuko, ni Mwanajeshi wa zamani wa kikosi maalumu cha operesheni za kijeshi cha Jeshi la Majini la Marekani (U.S. Navy) kinachobobea katika vita visivyo vya kawaida, kupambana na ugaidi, mashambulizi ya moja kwa moja, na upelelezi wa kijeshi. Tangu Yessine Cheuko aanze kufanya kazi na Messi amejizolea umaarufu mkubwa Duniani kwani ameonekana mara nyingi akiwadhibiti Wavamizi mbalimbali ambao wengi lengo lao huwa sio baya, zaidi wanataka kupiga picha na Messi. Tayari uongozi wa Ligi hiyo umemzuia kuingia Uwanjani, sasa ataruhusiwa tu kuwa kwenye Vyumba vya kubadilishia nguo na maeneo ya Waandishi wa habari siku za mechi. Uamuzi huu ni sehemu ya mpango wa (MLS) wa kuchukua mamlaka kamili ya usalama wa mechi. Baada ya katazo, Yassine Cheuko ameonyesha kutoridhishwa na hatua hiyo, akisema kuwa Wavamizi wa Uwanja ni tatizo kubwa zaidi Nchini Marekani kuliko Ulaya. Kwa mujibu wake, katika miaka saba aliyofanya kazi Ulaya, kulikuwa na matukio sita pekee ya uvamizi Uwanjani, ilhali katika miezi 20 Nchini Marekani, tayari yameshuhudiwa matukio 16. Mlinzi huyo ameendelea kusema kuwa Uongozi wa Ligi Kuu ya Marekani haukutakiwa kumzuia kufanye kazi yake bali walitakiwa kumpa ushirikiano ili kazi hiyo waifanye kwa pamoja kwa sababu eti kipindi yupo barani Ulaya, alipata ushirikiano wa kutosha kutoka kwenye Uongozi na alifanya kazi yake kwa uhuru. Pamoja na kuzuiliwa kuingia Uwanjani au kukaa kando ya Uwanja, Cheuko amesema kuwa ataendelea kufanya kazi yake kama kawaida bila kuvunja sheria au utaratibu uliopo kwenye mchezo wa mpira wa miguu.0 Comments ยท0 Shares ยท1K Views -
Mtoto wa Lionel Messi, Thiago Messi amefunga mabao (11) kwenye mchezo ulioikutanisha klabu yake ya Inter Miami ya Watoto wenye umri chini ya miaka (13) dhidi ya klabu ya Atlanta United ambapo mchezo umemaliza kwa ushindi Inter Miami wa mabao (12-0).
Thiago Messi amefanya hivyo kwa kufunga mabao hayo (11) ikiwa ni siku kadhaa zimepita tangu Mtoto wa Cristiano Ronaldo, Cristiano Junior kuifungia klabu yake ya Al Nasr (Watoto) mabao matano (5) kwenye mchezo mmoja.
Mtoto wa Lionel Messi, Thiago Messi amefunga mabao (11) kwenye mchezo ulioikutanisha klabu yake ya Inter Miami ya Watoto wenye umri chini ya miaka (13) dhidi ya klabu ya Atlanta United ambapo mchezo umemaliza kwa ushindi Inter Miami wa mabao (12-0). Thiago Messi amefanya hivyo kwa kufunga mabao hayo (11) ikiwa ni siku kadhaa zimepita tangu Mtoto wa Cristiano Ronaldo, Cristiano Junior kuifungia klabu yake ya Al Nasr (Watoto) mabao matano (5) kwenye mchezo mmoja. -
Hapo ni wakati Joe Biden ambaye ni Rais wa Marekani akimsubiri Lionel Messi ili ampe metali uhuru lakini Mwargentina huyo akifika eneo la tukio wala hakutuma Mtu yeyote kumwakilisha.
Hapo ni wakati Joe Biden ambaye ni Rais wa Marekani ๐บ๐ธ akimsubiri Lionel Messi ili ampe metali uhuru lakini Mwargentina huyo akifika eneo la tukio wala hakutuma Mtu yeyote kumwakilisha.0 Comments ยท0 Shares ยท516 Views -
๐๐๐๐ง๐ฆ ๐ญ๐ ๐๐จ๐ฆ๐๐๐ก๐๐๐ญ๐
โ Mtoto wa Cristiano Ronaldo, Ronaldo Junior na mtoto wa Lionel Messi, Thiago Andreas Messi wanapishana siku (869) za kuzaliwa, sawa na umri wanaopishana baba zao Lionel Messi na Cristiano Ronaldo
โ Kocha Jose Mourinho hakuwahi kupoteza mechi nyumbani kwa muda wa miaka (9) sawa na Michezo (150) akiwa kocha wa FC Porto, Chelsea, Inter Milan na Real Madrid kuanzia 16 March 2002 hadi 2 April 2011.
โ Beki wa kati, John Terry amefunga magoli mengi (EPL) akiwa Chelsea (68 ) kumzidi fundi Andres Iniesta aliyefunga mabao (35) tu La Liga akiwa FC Barcelona.
โ Mark Hughes na Cole Palmer ndio wachezaji (2) pekee ambao walicheza mechi (2) tofauti (rasmi) ndani ya siku moja.
• Asubuhi Mark Hughes aliitumikia timu ya Taifa ya Wales na Alasiri ya siku hiyo hiyo akaitumikia klabu ya Bayern Munich
• Cole Palmer aliitumikia klabu ya Manchester city (Senior team) Alasiri na Jioni na akafunga Hattrick akiwa team (B U23).
โ 2016 Cristiano Ronaldo alitwaa makombe (4) kuzidi idadi ya mechi alizopoteza (3).
โ Lionel Messi ndiye mchezaji pekee aliyetwaa tuzo ya Ballon d'or katika Decades | Miongo (3) tofauti kwenye historia.
โ Left Fullback,, Layvin Kurzawa ana hat-trick nyingi UEFA champions league kuwazidi Xavi, Zidane, Kroos na Suarez kwa pamoja !!
โ Raphinha ana hatricks nyingi La liga kumzidi Ronaldinho Gaucho !.
โ Neymar alikuwa mchezaji wa kwanza wa FC Barcelona kutwaa tuzo ya mchezaji bora wa mwezi La liga (November 2015).
โ Klabu ya Nottingham Forest imetwaa makombe mengi ya European Cup mara nyingi zaidi kuliko klabu za Manchester City, Arsenal, Atletico Madrid na Tottenham kwa pamoja Kabla ya Kombe Hilo kuitwa UEFA champions league.
โ Klabu ya Chelsea ilishashuka daraja mara (6), mara nyingi kuliko idadi ya makombe ya (EPL) waliyotwaa mpaka sasa (5).
โ Harry Maguire ndiye mchezaji pekee England aliyewahi kushuka daraja mara mbili katika msimu mmoja na amewahi kushuka daraja mara (5) kwenye career yake
โ Kingsley Coman ndiye mchezaji pekee Ulaya kwa sasa mwenye makombe mengi zaidi (29) kuliko umri wake (28 yrs)
โ Real Madrid ndiyo timu pekee Ulaya iliyocheza mechi rasmi ya ushindani kwenye fainali dhidi ya timu yake (B).
• 1980 Real Madrid walitwaa kombe la Copa Del Rey kwa kuifunga Real Madrid (B) mabao (6-1), Mechi hiyo ilichezwa Bernabeu.
โ Jamie Carragher amejifunga magoli mengi (7) kuliko idadi ya magoli aliyoifungia klabu ya Liverpool (3) !
โ Juventus waliuza jezi (0) za Lord Nicklas Bendtner katika msimu mzima.
โ Zidane ndiye mchezaji pekee aliyeoneshwa kadi nyekundu (Straight red card) kisha akatwaa tuzo ya mchezaji bora wa mashindano (World cup 2006) siku hiyohiyo aliyooneshwa red card.
โ Fundi Wa Mpira Kevin De Bruyne Ajawahi kutwaa Tuzo ya Mchezaji Bora Wa Mwenzi wowote Toka aanze kuitumikia Manchester City
FACTS gani imekushangaza ?
๐จ๐๐๐๐ง๐ฆ ๐ญ๐ ๐๐จ๐ฆ๐๐๐ก๐๐๐ญ๐ โ Mtoto wa Cristiano Ronaldo, Ronaldo Junior na mtoto wa Lionel Messi, Thiago Andreas Messi wanapishana siku (869) za kuzaliwa, sawa na umri wanaopishana baba zao Lionel Messi ๐ฆ๐ท na Cristiano Ronaldo ๐ต๐น โ Kocha Jose Mourinho hakuwahi kupoteza mechi nyumbani kwa muda wa miaka (9) sawa na Michezo (150) akiwa kocha wa FC Porto, Chelsea, Inter Milan na Real Madrid kuanzia 16 March 2002 hadi 2 April 2011. โ Beki wa kati, John Terry amefunga magoli mengi (EPL) akiwa Chelsea (68 โฝ) kumzidi fundi Andres Iniesta aliyefunga mabao (35) tu La Liga akiwa FC Barcelona. โ Mark Hughes na Cole Palmer ndio wachezaji (2) pekee ambao walicheza mechi (2) tofauti (rasmi) ndani ya siku moja. • Asubuhi Mark Hughes aliitumikia timu ya Taifa ya Wales ๐ด๓ ง๓ ข๓ ท๓ ฌ๓ ณ๓ ฟ na Alasiri ya siku hiyo hiyo akaitumikia klabu ya Bayern Munich ๐ฉ๐ช • Cole Palmer aliitumikia klabu ya Manchester city (Senior team) Alasiri na Jioni na akafunga Hattrick akiwa team (B U23). โ 2016 Cristiano Ronaldo alitwaa makombe (4) kuzidi idadi ya mechi alizopoteza (3). โ Lionel Messi ndiye mchezaji pekee aliyetwaa tuzo ya Ballon d'or katika Decades | Miongo (3) tofauti kwenye historia. โ Left Fullback,, Layvin Kurzawa ana hat-trick nyingi UEFA champions league kuwazidi Xavi, Zidane, Kroos na Suarez kwa pamoja !! โ Raphinha ana hatricks nyingi La liga kumzidi Ronaldinho Gaucho !. โ Neymar alikuwa mchezaji wa kwanza wa FC Barcelona kutwaa tuzo ya mchezaji bora wa mwezi La liga (November 2015). โ Klabu ya Nottingham Forest imetwaa makombe mengi ya European Cup mara nyingi zaidi kuliko klabu za Manchester City, Arsenal, Atletico Madrid na Tottenham kwa pamoja Kabla ya Kombe Hilo kuitwa UEFA champions league. โ Klabu ya Chelsea ilishashuka daraja mara (6), mara nyingi kuliko idadi ya makombe ya (EPL) waliyotwaa mpaka sasa (5). โ Harry Maguire ndiye mchezaji pekee England aliyewahi kushuka daraja mara mbili katika msimu mmoja na amewahi kushuka daraja mara (5) kwenye career yake ๐ โ Kingsley Coman ndiye mchezaji pekee Ulaya kwa sasa mwenye makombe mengi zaidi (29) kuliko umri wake (28 yrs) โ Real Madrid ndiyo timu pekee Ulaya iliyocheza mechi rasmi ya ushindani kwenye fainali dhidi ya timu yake (B). • 1980 Real Madrid walitwaa kombe la Copa Del Rey kwa kuifunga Real Madrid (B) mabao (6-1), Mechi hiyo ilichezwa Bernabeu. โ Jamie Carragher amejifunga magoli mengi (7) kuliko idadi ya magoli aliyoifungia klabu ya Liverpool (3) ! ๐ โ Juventus waliuza jezi (0) za Lord Nicklas Bendtner katika msimu mzima. โ Zidane ndiye mchezaji pekee aliyeoneshwa kadi nyekundu (Straight red card) kisha akatwaa tuzo ya mchezaji bora wa mashindano (World cup 2006) siku hiyohiyo aliyooneshwa red card. ♠ Fundi Wa Mpira Kevin De Bruyne Ajawahi kutwaa Tuzo ya Mchezaji Bora Wa Mwenzi wowote Toka aanze kuitumikia Manchester City FACTS gani imekushangaza ? ๐0 Comments ยท0 Shares ยท2K Views -
Lionel Messi amechaguliwa kuwa Mchezaji bora wa Ligi Kuu ya Marekani 2024 baada ya kucheza michezo 19 msimu huu na kufanikiwa kufunga mabao 20 huku akitoa Pasi saidizi za mabao (assist) kumi (10).
19
โฝ๏ธ 20
10
Lionel Messi amechaguliwa kuwa Mchezaji bora wa Ligi Kuu ya Marekani 2024 baada ya kucheza michezo 19 msimu huu na kufanikiwa kufunga mabao 20 huku akitoa Pasi saidizi za mabao (assist) kumi (10). ๐๏ธ 19 โฝ๏ธ 20 ๐ฏ 100 Comments ยท0 Shares ยท562 Views -
Lionel Messi amechaguliwa kuwa Mchezaji bora wa Ligi Kuu ya Marekani 2024 baada ya kucheza michezo 19 msimu huu na kufanikiwa kufunga mabao 20 huku akitoa Pasi saidizi za mabao (assist) kumi (10).
19
โฝ๏ธ 20
10
Lionel Messi amechaguliwa kuwa Mchezaji bora wa Ligi Kuu ya Marekani 2024 baada ya kucheza michezo 19 msimu huu na kufanikiwa kufunga mabao 20 huku akitoa Pasi saidizi za mabao (assist) kumi (10). ๐๏ธ 19 โฝ๏ธ 20 ๐ฏ 10 -
Mchezaji aliyefunga mabao mengi zaidi katika historia:-
1. Cristiano Ronaldo ( 900 )
2. Lionel Messi (833)
3. Joseph Bican (805)
Mchezaji aliye na pasi nyingi za mabao katika historia: [Opta wanasaidia pekee]
1. Lionel Messi (363)
2. Ferenc Puskas (359)
3. Johan Cruyff (358)
Mchezaji aliye na chenga nyingi zaidi katika historia: [kutoka msimu wa 2006-07 na Opta]
1. Lionel Messi (2,358)
2. Eden Hazard (1,285)
3. Franck Ribery (1,061)
Washindi wengi wa Ballon d'Or ya Ufaransa katika historia:
1. Lionel Messi (8)
2. Cristiano Ronaldo (5)
3. Johan Cruyff (3)
FIFA Wachezaji wengi walioshinda tuzo bora katika historia:
1. Lionel Messi (8)
2. Cristiano Ronaldo (5)
3. Zinedine Zidane (3)
Tuzo nyingi zaidi za Mpira wa Dhahabu katika historia ya Kombe la Dunia la FIFA:
1. Lionel Messi (2)
2. Diego Maradona (1)
3. Oliver Kahn (1)
Wamiliki wengi wa Kiatu cha Dhahabu cha Uropa katika historia:
1. Lionel Messi (6)
2. Cristiano Ronaldo (4)
3. Luis Suarez (2)
Mchezaji aliye na MOTM nyingi katika historia: [Ligi ya Ndani + Ligi ya Mabingwa kuanzia msimu wa 2009-10]
1. Lionel Messi (318)
2. Cristiano Ronaldo (168)
3. Zlatan Ibrahimovic (116)
Wachezaji walio na Tuzo nyingi zaidi za Mchezaji Bora Duniani za IFFHS katika historia:
1. Lionel Messi (5)
2. Xavi Hernandez (4)
3. Kevin De Bruyne (3)
Mchezaji aliye na tuzo nyingi zaidi za Mchezaji wa Kimataifa wa Mashindano katika historia:
1. Lionel Messi (7)
2. Jose Nasaji (3)
3. Pele Arantes (2)
Wachezaji walio na mataji mengi zaidi katika historia:
1. Lionel Messi (44)
2. Dani Alves (43)
3. Andres Iniesta (37)
Mchezaji aliye na tuzo nyingi za kibinafsi katika historia:
1. Lionel Messi
2. Cristiano Ronaldo
3. Ronaldo Nazario
Messi is the GOAT no doubt
#PM96Mchezaji aliyefunga mabao mengi zaidi katika historia:- 1. ๐ต๐น Cristiano Ronaldo ( 900 )โ 2. ๐ฆ๐ท Lionel Messi (833) 3. ๐ฆ๐น Joseph Bican (805) Mchezaji aliye na pasi nyingi za mabao katika historia: [Opta wanasaidia pekee] 1. ๐ฆ๐ท Lionel Messi (363)โ 2. ๐ญ๐บ Ferenc Puskas (359) 3. ๐ณ๐ฑ Johan Cruyff (358) Mchezaji aliye na chenga nyingi zaidi katika historia: [kutoka msimu wa 2006-07 na Opta] 1. ๐ฆ๐ท Lionel Messi (2,358)โ 2. ๐ง๐ช Eden Hazard (1,285) 3. ๐จ๐ต Franck Ribery (1,061) Washindi wengi wa Ballon d'Or ya Ufaransa katika historia: 1. ๐ฆ๐ท Lionel Messi (8)โ 2. ๐ต๐น Cristiano Ronaldo (5) 3. ๐ณ๐ฑ Johan Cruyff (3) FIFA Wachezaji wengi walioshinda tuzo bora katika historia: 1. ๐ฆ๐ท Lionel Messi (8)โ 2. ๐ต๐น Cristiano Ronaldo (5) 3. ๐จ๐ต Zinedine Zidane (3) Tuzo nyingi zaidi za Mpira wa Dhahabu katika historia ya Kombe la Dunia la FIFA: 1. ๐ฆ๐ท Lionel Messi (2)โ 2. ๐ฆ๐ท Diego Maradona (1) 3. ๐ฉ๐ช Oliver Kahn (1) Wamiliki wengi wa Kiatu cha Dhahabu cha Uropa katika historia: 1. ๐ฆ๐ท Lionel Messi (6)โ 2. ๐ต๐น Cristiano Ronaldo (4) 3. ๐บ๐พ Luis Suarez (2) Mchezaji aliye na MOTM nyingi katika historia: [Ligi ya Ndani + Ligi ya Mabingwa kuanzia msimu wa 2009-10] 1. ๐ฆ๐ท Lionel Messi (318)โ 2. ๐ต๐น Cristiano Ronaldo (168) 3. ๐ธ๐ช Zlatan Ibrahimovic (116) Wachezaji walio na Tuzo nyingi zaidi za Mchezaji Bora Duniani za IFFHS katika historia: 1. ๐ฆ๐ท Lionel Messi (5)โ 2. ๐ช๐ฆ Xavi Hernandez (4) 3. ๐ง๐ช Kevin De Bruyne (3) Mchezaji aliye na tuzo nyingi zaidi za Mchezaji wa Kimataifa wa Mashindano katika historia: 1. ๐ฆ๐ท Lionel Messi (7)โ 2. ๐บ๐พ Jose Nasaji (3) 3. ๐ง๐ท Pele Arantes (2) Wachezaji walio na mataji mengi zaidi katika historia: 1. ๐ฆ๐ท Lionel Messi (44)โ 2. ๐ง๐ท Dani Alves (43) 3. ๐ช๐ฆ Andres Iniesta (37) Mchezaji aliye na tuzo nyingi za kibinafsi katika historia: 1. ๐ฆ๐ท Lionel Messiโ 2. ๐ต๐น Cristiano Ronaldo 3. ๐ง๐ท Ronaldo Nazario Messi is the GOAT ๐no doubt #PM960 Comments ยท0 Shares ยท1K Views -
Mchezaji aliyefunga mabao mengi zaidi katika historia:-
1. Cristiano Ronaldo ( 900 )
2. Lionel Messi (833)
3. Joseph Bican (805)
Mchezaji aliye na pasi nyingi za mabao katika historia: [Opta wanasaidia pekee]
1. Lionel Messi (363)
2. Ferenc Puskas (359)
3. Johan Cruyff (358)
Mchezaji aliye na chenga nyingi zaidi katika historia: [kutoka msimu wa 2006-07 na Opta]
1. Lionel Messi (2,358)
2. Eden Hazard (1,285)
3. Franck Ribery (1,061)
Washindi wengi wa Ballon d'Or ya Ufaransa katika historia:
1. Lionel Messi (8)
2. Cristiano Ronaldo (5)
3. Johan Cruyff (3)
FIFA Wachezaji wengi walioshinda tuzo bora katika historia:
1. Lionel Messi (8)
2. Cristiano Ronaldo (5)
3. Zinedine Zidane (3)
Tuzo nyingi zaidi za Mpira wa Dhahabu katika historia ya Kombe la Dunia la FIFA:
1. Lionel Messi (2)
2. Diego Maradona (1)
3. Oliver Kahn (1)
Wamiliki wengi wa Kiatu cha Dhahabu cha Uropa katika historia:
1. Lionel Messi (6)
2. Cristiano Ronaldo (4)
3. Luis Suarez (2)
Mchezaji aliye na MOTM nyingi katika historia: [Ligi ya Ndani + Ligi ya Mabingwa kuanzia msimu wa 2009-10]
1. Lionel Messi (318)
2. Cristiano Ronaldo (168)
3. Zlatan Ibrahimovic (116)
Wachezaji walio na Tuzo nyingi zaidi za Mchezaji Bora Duniani za IFFHS katika historia:
1. Lionel Messi (5)
2. Xavi Hernandez (4)
3. Kevin De Bruyne (3)
Mchezaji aliye na tuzo nyingi zaidi za Mchezaji wa Kimataifa wa Mashindano katika historia:
1. Lionel Messi (7)
2. Jose Nasaji (3)
3. Pele Arantes (2)
Wachezaji walio na mataji mengi zaidi katika historia:
1. Lionel Messi (44)
2. Dani Alves (43)
3. Andres Iniesta (37)
Mchezaji aliye na tuzo nyingi za kibinafsi katika historia:
1. Lionel Messi
2. Cristiano Ronaldo
3. Ronaldo Nazario
Messi is the GOAT no doubtMchezaji aliyefunga mabao mengi zaidi katika historia:- 1. ๐ต๐น Cristiano Ronaldo ( 900 )โ 2. ๐ฆ๐ท Lionel Messi (833) 3. ๐ฆ๐น Joseph Bican (805) Mchezaji aliye na pasi nyingi za mabao katika historia: [Opta wanasaidia pekee] 1. ๐ฆ๐ท Lionel Messi (363)โ 2. ๐ญ๐บ Ferenc Puskas (359) 3. ๐ณ๐ฑ Johan Cruyff (358) Mchezaji aliye na chenga nyingi zaidi katika historia: [kutoka msimu wa 2006-07 na Opta] 1. ๐ฆ๐ท Lionel Messi (2,358)โ 2. ๐ง๐ช Eden Hazard (1,285) 3. ๐จ๐ต Franck Ribery (1,061) Washindi wengi wa Ballon d'Or ya Ufaransa katika historia: 1. ๐ฆ๐ท Lionel Messi (8)โ 2. ๐ต๐น Cristiano Ronaldo (5) 3. ๐ณ๐ฑ Johan Cruyff (3) FIFA Wachezaji wengi walioshinda tuzo bora katika historia: 1. ๐ฆ๐ท Lionel Messi (8)โ 2. ๐ต๐น Cristiano Ronaldo (5) 3. ๐จ๐ต Zinedine Zidane (3) Tuzo nyingi zaidi za Mpira wa Dhahabu katika historia ya Kombe la Dunia la FIFA: 1. ๐ฆ๐ท Lionel Messi (2)โ 2. ๐ฆ๐ท Diego Maradona (1) 3. ๐ฉ๐ช Oliver Kahn (1) Wamiliki wengi wa Kiatu cha Dhahabu cha Uropa katika historia: 1. ๐ฆ๐ท Lionel Messi (6)โ 2. ๐ต๐น Cristiano Ronaldo (4) 3. ๐บ๐พ Luis Suarez (2) Mchezaji aliye na MOTM nyingi katika historia: [Ligi ya Ndani + Ligi ya Mabingwa kuanzia msimu wa 2009-10] 1. ๐ฆ๐ท Lionel Messi (318)โ 2. ๐ต๐น Cristiano Ronaldo (168) 3. ๐ธ๐ช Zlatan Ibrahimovic (116) Wachezaji walio na Tuzo nyingi zaidi za Mchezaji Bora Duniani za IFFHS katika historia: 1. ๐ฆ๐ท Lionel Messi (5)โ 2. ๐ช๐ฆ Xavi Hernandez (4) 3. ๐ง๐ช Kevin De Bruyne (3) Mchezaji aliye na tuzo nyingi zaidi za Mchezaji wa Kimataifa wa Mashindano katika historia: 1. ๐ฆ๐ท Lionel Messi (7)โ 2. ๐บ๐พ Jose Nasaji (3) 3. ๐ง๐ท Pele Arantes (2) Wachezaji walio na mataji mengi zaidi katika historia: 1. ๐ฆ๐ท Lionel Messi (44)โ 2. ๐ง๐ท Dani Alves (43) 3. ๐ช๐ฆ Andres Iniesta (37) Mchezaji aliye na tuzo nyingi za kibinafsi katika historia: 1. ๐ฆ๐ท Lionel Messiโ 2. ๐ต๐น Cristiano Ronaldo 3. ๐ง๐ท Ronaldo Nazario Messi is the GOAT ๐no doubt0 Comments ยท0 Shares ยท1K Views -
CRISTIANO RONALDO TERMINATOR
Hizi kejeli zimekuwa Kali sana kwa Timu pinzani pindi tu wakikutana na Cristiano Ronaldo .Wengine Kila akishika Mpira wanaimba jina la Lionel Messi.
Kwenye Mchezo kati ya Ureno dhidi ya Slovenia kuna Shabiki kamuonesha Cristiano Ronaldo jezi ambayo imeandikwa Messi
End of an Era Cristiano Ronaldo Mr Champions League au Terminator ,hii dharau ilikuwa inalipwa kwa Hat Trick.
Sema Muda umekimbia sana.CRISTIANO RONALDO ๐ค TERMINATOR ๐ณ Hizi kejeli zimekuwa Kali sana kwa Timu pinzani pindi tu wakikutana na Cristiano Ronaldo .Wengine Kila akishika Mpira wanaimba jina la Lionel Messi. Kwenye Mchezo kati ya Ureno dhidi ya Slovenia kuna Shabiki kamuonesha Cristiano Ronaldo jezi ambayo imeandikwa Messi End of an Era ๐ฐ Cristiano Ronaldo Mr Champions League au Terminator ,hii dharau ilikuwa inalipwa kwa Hat Trick. Sema Muda umekimbia sana. -
-
Back in 2016, Conor McGregor told Cristiano Ronaldo that he’d become the number 1 on the Forbes list.
Fast forward to 2021, he done exactly that, beating Cristiano Ronaldo and Lionel Messi whilst taking in $180M
Spoke it into existence
-
#mma #ufc #viral #conormcgregor #sports #cristianoronaldo #forbes #lionelmessiBack in 2016, Conor McGregor told Cristiano Ronaldo that he’d become the number 1 on the Forbes list. Fast forward to 2021, he done exactly that, beating Cristiano Ronaldo and Lionel Messi whilst taking in $180M ๐ณ๐ฐ Spoke it into existence ๐ฃ๏ธ - #mma #ufc #viral #conormcgregor #sports #cristianoronaldo #forbes #lionelmessi0 Comments ยท0 Shares ยท1K Views -
Ifuatayo ni orodha ya wachezaji 10 wanaolipwa fedha nyingi zaidi duniani
1. Cristiano Ronaldo, football: $260m (£205m)
2. Jon Rahm, Gofu: $218m (£172m)
3. Lionel Messi, Soka: $135m (£107m)
4. LeBron James, Mpira wa vikapu: $128.2m (£101m)
5. Giannis Antetokounmpo, Mpira wa vikapu: $111m (£88m)
6. Kylian Mbappe, Soka $110m (£87m)
7. Neymar, Soka: $108m (£85m)
8. Karim Benzema, Soka: $106m (£84m)
9. Stephen Curry, Mpira wa vikapu $102m (£80m)
10. Lamar Jackson, Soka ya Marekani: $100.5m (£79m). # #Sports viewIfuatayo ni orodha ya wachezaji 10 wanaolipwa fedha nyingi zaidi duniani 1. Cristiano Ronaldo, football: $260m (£205m) 2. Jon Rahm, Gofu: $218m (£172m) 3. Lionel Messi, Soka: $135m (£107m) 4. LeBron James, Mpira wa vikapu: $128.2m (£101m) 5. Giannis Antetokounmpo, Mpira wa vikapu: $111m (£88m) 6. Kylian Mbappe, Soka $110m (£87m) 7. Neymar, Soka: $108m (£85m) 8. Karim Benzema, Soka: $106m (£84m) 9. Stephen Curry, Mpira wa vikapu $102m (£80m) 10. Lamar Jackson, Soka ya Marekani: $100.5m (£79m). # #Sports view -
Wachezaji wanaolipwa fedha nyingi zaidi duniani 2024
.CHANZO CHA PICHA,REUTERS
Maelezo ya picha,Christiano Ronaldo
17 Mei 2024
Cristiano Ronaldo ameongoza orodha ya Forbes ya wanariadha wanaolipwa fedha nyingi zaidi duniani kwa mara ya nne katika maisha yake ya soka, huku Jon Rahm mcheza gofu akipanda hadi nafasi ya pili.
Ronaldo pia aliongoza orodha hiyo mwaka jana baada ya kuhamia klabu ya soka ya Saudi Arabia ya Al Nassr.
Jarida la biashara la Forbes linasema, mshambuliaji huyo wa Ureno mwenye umri wa miaka 39 alipata kiasi cha $260m (£205m) - kutoka $136m (£108.7m) - katika kipindi cha miezi 12 iliyopita.
Mpinzani mkubwa wa Ronaldo Lionel Messi ameporomoka hadi nafasi ya tatu nyuma ya Rahm.
Mchezaji gofu wa Uhispania amepanda hadi nafasi pili nyuma kabla ya kufanyika kwa safari yake ya kwenda kucheza Gofu ya LIV inayofadhiliwa na Saudia na anaripotiwa kupata $218m (£172m).
Mcheza gofu huyo wa Uhispania ni mmoja wa wanariadha 22 walio na umri wa chini ya miaka 30 kwenye orodha hiyo, jambo ambalo linaweza kuashiria mabadiliko.
Wachezaji waliodumu katika hiyo orodha kama vile Serena Williams, Roger Federer na Tom Brady tayari wamestaafu , wakati Ronaldo, LeBron James, Tiger Woods na wanariadha wengine watatu wenye umri wa miaka 39 au zaidi, pia nao wakitarajiwa kuchukua hatua hiyo hivi karibuni.
Wanasoka Neymar na Karim Benzema pia wameingia kwenye 10 bora baada ya kuhamia katika ligi ya soka ya Saudi Pro League.
Giannis Antetokounmpo (katika nafasi ya tano) anaungana na nyota wenzake wa mpira wa vikapu LeBron James (wa nne) na Stephen Curry (wa tisa) kwenye orodha hiyo , huku beki wa pembeni wa kandanda wa Marekani Lamar Jackson akiwa katika nafasi ya 10.##Sports viewWachezaji wanaolipwa fedha nyingi zaidi duniani 2024 .CHANZO CHA PICHA,REUTERS Maelezo ya picha,Christiano Ronaldo 17 Mei 2024 Cristiano Ronaldo ameongoza orodha ya Forbes ya wanariadha wanaolipwa fedha nyingi zaidi duniani kwa mara ya nne katika maisha yake ya soka, huku Jon Rahm mcheza gofu akipanda hadi nafasi ya pili. Ronaldo pia aliongoza orodha hiyo mwaka jana baada ya kuhamia klabu ya soka ya Saudi Arabia ya Al Nassr. Jarida la biashara la Forbes linasema, mshambuliaji huyo wa Ureno mwenye umri wa miaka 39 alipata kiasi cha $260m (£205m) - kutoka $136m (£108.7m) - katika kipindi cha miezi 12 iliyopita. Mpinzani mkubwa wa Ronaldo Lionel Messi ameporomoka hadi nafasi ya tatu nyuma ya Rahm. Mchezaji gofu wa Uhispania amepanda hadi nafasi pili nyuma kabla ya kufanyika kwa safari yake ya kwenda kucheza Gofu ya LIV inayofadhiliwa na Saudia na anaripotiwa kupata $218m (£172m). Mcheza gofu huyo wa Uhispania ni mmoja wa wanariadha 22 walio na umri wa chini ya miaka 30 kwenye orodha hiyo, jambo ambalo linaweza kuashiria mabadiliko. Wachezaji waliodumu katika hiyo orodha kama vile Serena Williams, Roger Federer na Tom Brady tayari wamestaafu , wakati Ronaldo, LeBron James, Tiger Woods na wanariadha wengine watatu wenye umri wa miaka 39 au zaidi, pia nao wakitarajiwa kuchukua hatua hiyo hivi karibuni. Wanasoka Neymar na Karim Benzema pia wameingia kwenye 10 bora baada ya kuhamia katika ligi ya soka ya Saudi Pro League. Giannis Antetokounmpo (katika nafasi ya tano) anaungana na nyota wenzake wa mpira wa vikapu LeBron James (wa nne) na Stephen Curry (wa tisa) kwenye orodha hiyo , huku beki wa pembeni wa kandanda wa Marekani Lamar Jackson akiwa katika nafasi ya 10.##Sports view
More Results