Baada ya Inter Miami kuibuka na ushindi wa magoli 5๏ธโƒฃ kwa 1๏ธโƒฃ dhidi ya New York Red alfajiri ya leo ๏ธ

Lionel Messi akaibuka Mchezaji Bora wa mchezo huo baada ya kuisaidia timu yake kwa kufunga magoli mawili na kutoa assist moja — akiwa amechangia jumla ya magoli matatu!

Katika michezo saba mfululizo ya Inter Miami, Lionel Messi amefunga kwenye michezo sita (6๏ธโƒฃ) — akiwa ana funga magoli mawili mawili katika mchezo mmoja, isipokuwa mchezo mmoja tu ndio hakuweza kufunga wala kutoa pasi ya goli,

Takwimu za Messi katika michezo saba ya ligi kuu ya MLS:

โšฝ Magoli: 12
Assist: 5
Jumla ya magoli aliyochangia: 17


#SportsElite
๐Ÿšจ Baada ya Inter Miami kuibuka na ushindi wa magoli 5๏ธโƒฃ kwa 1๏ธโƒฃ dhidi ya New York Red alfajiri ya leo ๐ŸŒ…โšฝ๏ธ ๐Ÿ‘‘ Lionel Messi akaibuka Mchezaji Bora wa mchezo huo baada ya kuisaidia timu yake kwa kufunga magoli mawili โšฝโšฝ na kutoa assist moja ๐ŸŽฏ — akiwa amechangia jumla ya magoli matatu! ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ™Œ ๐Ÿ“Š Katika michezo saba mfululizo ya Inter Miami, Lionel Messi amefunga kwenye michezo sita (6๏ธโƒฃ) — akiwa ana funga magoli mawili mawili katika mchezo mmoja, isipokuwa mchezo mmoja tu ndio hakuweza kufunga wala kutoa pasi ya goli, ๐Ÿ“ˆ Takwimu za Messi katika michezo saba ya ligi kuu ya MLS: โšฝ Magoli: 12 ๐ŸŽฏ Assist: 5 ๐Ÿ”ข Jumla ya magoli aliyochangia: 17 #SportsElite
0 Comments ยท0 Shares ยท22 Views