Baada ya Inter Miami kuibuka na ushindi wa magoli 5οΈβ£ kwa 1οΈβ£ dhidi ya New York Red alfajiri ya leo οΈ
Lionel Messi akaibuka Mchezaji Bora wa mchezo huo baada ya kuisaidia timu yake kwa kufunga magoli mawili na kutoa assist moja — akiwa amechangia jumla ya magoli matatu!
Katika michezo saba mfululizo ya Inter Miami, Lionel Messi amefunga kwenye michezo sita (6οΈβ£) — akiwa ana funga magoli mawili mawili katika mchezo mmoja, isipokuwa mchezo mmoja tu ndio hakuweza kufunga wala kutoa pasi ya goli,
Takwimu za Messi katika michezo saba ya ligi kuu ya MLS:
β½ Magoli: 12
Assist: 5
Jumla ya magoli aliyochangia: 17
#SportsElite

π¨ Baada ya Inter Miami kuibuka na ushindi wa magoli 5οΈβ£ kwa 1οΈβ£ dhidi ya New York Red alfajiri ya leo π
β½οΈ
π Lionel Messi akaibuka Mchezaji Bora wa mchezo huo baada ya kuisaidia timu yake kwa kufunga magoli mawili β½β½ na kutoa assist moja π― — akiwa amechangia jumla ya magoli matatu! π₯π
π Katika michezo saba mfululizo ya Inter Miami, Lionel Messi amefunga kwenye michezo sita (6οΈβ£) — akiwa ana funga magoli mawili mawili katika mchezo mmoja, isipokuwa mchezo mmoja tu ndio hakuweza kufunga wala kutoa pasi ya goli,
π Takwimu za Messi katika michezo saba ya ligi kuu ya MLS:
β½ Magoli: 12
π― Assist: 5
π’ Jumla ya magoli aliyochangia: 17
#SportsElite
0 Reacties
Β·0 aandelen
Β·30 Views