Tottenham sasa wanafanya mazungumzo ya moja kwa moja na Man City kumsajili beki Manuel Akanji.

Tottenham itashindana na Ac Milan kwenye mbio hizo za kuwania saini ya Akanji mwenye thamani ya £15m.

Source Fabrizio Romano

#SportsElite
๐Ÿšจ Tottenham sasa wanafanya mazungumzo ya moja kwa moja na Man City kumsajili beki Manuel Akanji. Tottenham itashindana na Ac Milan kwenye mbio hizo za kuwania saini ya Akanji mwenye thamani ya £15m. Source Fabrizio Romano #SportsElite
0 Comments ยท0 Shares ยท22 Views