Fahamu RB Leipzig wanafanya mazungumzo ya Moja kwa moja na Liverpool ili kumsajili Harvey Elliott kama mbadala wa Xavi Simons aliyejiunga na Spurs.

Liverpool bado wanasitasita kumuuza Harvey Elliott lakini itategemea baadae kama Leipzig itatoa £50m.

Ikiwa Alexander Isak atajiunga na Liverpool kwa saa 24 zijazo basi Liverpool itamuachia Harvey Elliott.

Source Ben Jacobs

#SportsElite
🚨 Fahamu RB Leipzig wanafanya mazungumzo ya Moja kwa moja na Liverpool ili kumsajili Harvey Elliott kama mbadala wa Xavi Simons aliyejiunga na Spurs. Liverpool bado wanasitasita kumuuza Harvey Elliott lakini itategemea baadae kama Leipzig itatoa £50m. Ikiwa Alexander Isak atajiunga na Liverpool kwa saa 24 zijazo basi Liverpool itamuachia Harvey Elliott. 💰 Source Ben Jacobs #SportsElite
0 Comentários ·0 Compartilhamentos ·28 Visualizações