Kocha Ruben Amorim amethibitisha Hakuna nafasi ya Kumuachia Kobbie Mainoo kuondoka klabuni.❎️

Ruben Amorim amesema anataka kumuona Mainoo akipambania nafasi yake na anataka abakie klabuni.

Source Fabrizio Romano

#SportsElite
🚨Kocha Ruben Amorim amethibitisha Hakuna nafasi ya Kumuachia Kobbie Mainoo kuondoka klabuni.❎️🔒 Ruben Amorim amesema anataka kumuona Mainoo akipambania nafasi yake na anataka abakie klabuni. Source Fabrizio Romano #SportsElite
0 Reacties ·0 aandelen ·32 Views