Slot: Kuna mfanano mkubwa kati ya Arsenal na Liverpool msimu huu
Kocha wa Liverpool, Arne Slot, amesema:
“Kuna mfanano mkubwa kati ya timu zote mbili. Mtindo wa uchezaji wa Arsenal haujabadilika sana licha ya usajili mpya.”
“Labda tofauti ipo kwenye namba 9. (Gabriel Jesus) ni mshambuliaji wa kati halisi, lakini hakupata nafasi sana msimu uliopita. Yule walionaye sasa ni tofauti na Havertz au Trossard.”
“Gyokeres ni mshambuliaji wa aina ya target man, kwa hiyo labda hapo ndipo kuna tofauti ndogo.”
#SportsElite

🔴 Slot: Kuna mfanano mkubwa kati ya Arsenal na Liverpool msimu huu
👉Kocha wa Liverpool, Arne Slot, amesema:
🗣️ “Kuna mfanano mkubwa kati ya timu zote mbili. Mtindo wa uchezaji wa Arsenal haujabadilika sana licha ya usajili mpya.”
🗣️ “Labda tofauti ipo kwenye namba 9. (Gabriel Jesus) ni mshambuliaji wa kati halisi, lakini hakupata nafasi sana msimu uliopita. Yule walionaye sasa ni tofauti na Havertz au Trossard.”
🗣️ “Gyokeres ni mshambuliaji wa aina ya target man, kwa hiyo labda hapo ndipo kuna tofauti ndogo.”
#SportsElite
0 التعليقات
·0 المشاركات
·33 مشاهدة