Ofa ya klabu ya £25m ya Real Betis ilikubaliwa na Man United Kuhusu kumsajili Antony na tayari Man United ilimpa ruhusa Antony kusafiri kuelekea Spain
Lakini saa chache baadae Real Betis imebadilishaa msimamo wake na kujiondoa kwenye mazungumzo wakidai kuwa mshahara wa Antony ni mkubwa hivyo hawataweza vinginevyo Man United wapungize Bei ya Antony au Antony apunguze Mshahara wake. .
Source Ben Jacobs
#SportsElite

🚨 Ofa ya klabu ya £25m ya Real Betis ilikubaliwa na Man United Kuhusu kumsajili Antony na tayari Man United ilimpa ruhusa Antony kusafiri kuelekea Spain
Lakini saa chache baadae Real Betis imebadilishaa msimamo wake na kujiondoa kwenye mazungumzo wakidai kuwa mshahara wa Antony ni mkubwa hivyo hawataweza vinginevyo Man United wapungize Bei ya Antony au Antony apunguze Mshahara wake. 🥴🇧🇷.
Source Ben Jacobs
#SportsElite
0 Commenti
·0 condivisioni
·19 Views