Msanii wa Bongo Fleva, @officialzuchu , ataandika historia mpya leo akiwa kama msanii mkuu atakayetoa burudani katika Fainali za African Nation Champion League (CHAN) 2024.

Zuchu atatoa burudani ya kipekee katika Tamasha hilo kubwa ambalo litafanyika leo Jumamosi, tarehe 30 Agosti 2025, katika Uwanja wa Kasarani jijini Nairobi, Kenya, likiwakutanisha Madagascar dhidi ya Morocco.

Wakati macho ya wapenzi wa soka yakiwa kwa fainali hiyo, masikio na mioyo ya mashabiki wa muziki yataelekezwa kwa Zuchu, ambaye atapanda jukwaani kuonyesha uwezo wake na kuwakilisha Tanzania katika anga ya kimataifa.

| @errymars_

#ManaraTV
#ManaraTVUpdates
Msanii wa Bongo Fleva, @officialzuchu , ataandika historia mpya leo akiwa kama msanii mkuu atakayetoa burudani katika Fainali za African Nation Champion League (CHAN) 2024. Zuchu atatoa burudani ya kipekee katika Tamasha hilo kubwa ambalo litafanyika leo Jumamosi, tarehe 30 Agosti 2025, katika Uwanja wa Kasarani jijini Nairobi, Kenya, likiwakutanisha Madagascar dhidi ya Morocco. Wakati macho ya wapenzi wa soka yakiwa kwa fainali hiyo, masikio na mioyo ya mashabiki wa muziki yataelekezwa kwa Zuchu, ambaye atapanda jukwaani kuonyesha uwezo wake na kuwakilisha Tanzania 🇹🇿 katika anga ya kimataifa. ✍️| @errymars_ #ManaraTV #ManaraTVUpdates
0 Comments ·0 Shares ·44 Views