Wokovu ni matokeo ya kinywa yaani kwa kinywa ndiyo mtu hupata wokovu.

Wokovu huo unaongozwa na imani ,kumbuka mtu anaruhusiwa kukiri kile tu anacho kiamini.

#warumi 10:8-10.

Kumbe pamoja na wokovu kuwa wa thamani lakini ili uingie kwa mtu kwa njia ya imani na ukiri.

Kumbe hata kama ungeamini lakini ujakili bado unakuwa uko katika njia panda.

Kinywa ndicho kinacho kupa mamlaka ya kumshinda shetani na kukupa ujasiri wa kushinda .

# 2 Corinth 4:4

Kumbe kama moyo wako ujaamini injiri huwezi kupokea kwa ukubwa unao takiwa.

Lazima uiamini injiri au neno la Mungu ligeuke kuwa maisha na ndipo utakuwa na ujasiri wa kukiri vyema na kuushinda ulimi wako kujinenea vibay.

#mathayo 28:18

Yesu ndiye mamlaka na alisema tumfuate na ukimfuata yeye lazima unakiwa na mamlaka.

Nikutakie jion njema
Kama unapenda kujifunza tuma neno add kwa namba 0622625340.

Naitwa sylvester Mwakabende kutoka (build new eden ministry)

#restore men position
#build new eden
Wokovu ni matokeo ya kinywa yaani kwa kinywa ndiyo mtu hupata wokovu. Wokovu huo unaongozwa na imani ,kumbuka mtu anaruhusiwa kukiri kile tu anacho kiamini. #warumi 10:8-10. Kumbe pamoja na wokovu kuwa wa thamani lakini ili uingie kwa mtu kwa njia ya imani na ukiri. Kumbe hata kama ungeamini lakini ujakili bado unakuwa uko katika njia panda. Kinywa ndicho kinacho kupa mamlaka ya kumshinda shetani na kukupa ujasiri wa kushinda . # 2 Corinth 4:4 Kumbe kama moyo wako ujaamini injiri huwezi kupokea kwa ukubwa unao takiwa. Lazima uiamini injiri au neno la Mungu ligeuke kuwa maisha na ndipo utakuwa na ujasiri wa kukiri vyema na kuushinda ulimi wako kujinenea vibay. #mathayo 28:18 Yesu ndiye mamlaka na alisema tumfuate na ukimfuata yeye lazima unakiwa na mamlaka. Nikutakie jion njema Kama unapenda kujifunza tuma neno add kwa namba 0622625340. Naitwa sylvester Mwakabende kutoka (build new eden ministry) #restore men position #build new eden
0 Commentaires ·0 Parts ·116 Vue