Baada ya Kuitwa kwenye Kikosi cha Timu ya Taifa ya Hispania ..Ghafla taarifa kutoka vyombo vya Spain Kama Mundo ni kuwa Lamine Yamal amepata majeraha / Maumivu katika Jeraha ambalo lilikuwa limemuweka nje anaweza kuwa nje week moja mpaka mbili .

Ikumbukwe kocha Mkuu wa Barcelona alitoa malalamiko yake kwa Kocha Mkuu wa Hispania kuwa Pamoja na Kujua Dogo alikuwa na maumivu bado alimchezesha na kumlaumu kwa kushindwa kulinda Vipaji vya wachezaji .

Jibu la Kocha wa Hispania lilikuwa "Timu ndiyo inapaswa kulinda Afya ya mchezaji ..kwenye timu taifa hakuna mapumziko mchezaji muhimu atacheza kila mechi"

Jana Pia Kocha Huyo alipoulizwa Kuhusu kuitwa kwa Yamal na Maneno ya Kocha wa Barcelona alijibu kuwa hakumbuki Flick alichosema .

Pamoja na Kwamba Mchezaji inasemekana ana majeraha bado inasemekana atatakiwa kwenda Kufanya Vipimo na Madaktar wa timu ya taifa ili kujiridhisha na Jeraha lake

#SportsElite
Baada ya Kuitwa kwenye Kikosi cha Timu ya Taifa ya Hispania ..Ghafla taarifa kutoka vyombo vya Spain Kama Mundo ni kuwa Lamine Yamal amepata majeraha / Maumivu katika Jeraha ambalo lilikuwa limemuweka nje anaweza kuwa nje week moja mpaka mbili 😎. Ikumbukwe kocha Mkuu wa Barcelona alitoa malalamiko yake kwa Kocha Mkuu wa Hispania kuwa Pamoja na Kujua Dogo alikuwa na maumivu bado alimchezesha na kumlaumu kwa kushindwa kulinda Vipaji vya wachezaji . Jibu la Kocha wa Hispania lilikuwa "Timu ndiyo inapaswa kulinda Afya ya mchezaji ..kwenye timu taifa hakuna mapumziko mchezaji muhimu atacheza kila mechi" Jana Pia Kocha Huyo alipoulizwa Kuhusu kuitwa kwa Yamal na Maneno ya Kocha wa Barcelona alijibu kuwa hakumbuki Flick alichosema 😅😅. Pamoja na Kwamba Mchezaji inasemekana ana majeraha bado inasemekana atatakiwa kwenda Kufanya Vipimo na Madaktar wa timu ya taifa ili kujiridhisha na Jeraha lake #SportsElite
0 التعليقات ·0 المشاركات ·3 مشاهدة