Miaka mitatu iliyopita, Ancelotti alisafiri mpaka jijini Manchester kumfuata Pep Guardiola ili kumuuliza kuhusu sababu ya mafanikio yake na City.
Guardiola alimuambia kuwa sababu ya mafanikio yake ni kwamba anafanya kazi na wachezaji wenye akili, kisha alimuita De Bruyne kuthibitisha kwa Ancelotti.
Alimuuliza De Bruyne, "Ni nani mtoto wa wazazi wako, lakini siyo kaka au dada zako?"
De Bruyne akajibu, "Mimi."
Ancelotti aliporudi Madrid akamuita Mendy, akamuuliza swali lile lile "Ni nani mtoto wa wazazi wako lakini siyo kaka au dada zako?"
Mendy akasema, "Ngoja kidogo," akaenda kumuuliza Modrić. Modrić akajibu, "Mimi."
Mendy akarudi kwa Ancelotti na kumwambia jibu ni "Modrić."
Ancelotti akasema, "Umekosa jibu ni ni De Bruyne."
#SportsElite

Ancelotti akasema, "Umekosa jibu ni ni De Bruyne."🤣 😂
#SportsElite
0 Yorumlar
·0 hisse senetleri
·3 Views