Tottenham imeingia kwenye mbio za kumuwania kinda wa FC Porto Samu Aghehowa, pia vilabu kama Arsenal, Newcastle na Nottingham Forest zinavutiwa na mshambuliaji huyo.
Miaka 21 amefunga goli 8 kwenye michezo 10 Porto na ada ya uhamisho wake ni £87M.
(Source: @Caught offside)
Miaka 21 amefunga goli 8 kwenye michezo 10 Porto na ada ya uhamisho wake ni £87M.
(Source: @Caught offside)
๐จ Tottenham imeingia kwenye mbio za kumuwania kinda wa FC Porto Samu Aghehowa, pia vilabu kama Arsenal, Newcastle na Nottingham Forest zinavutiwa na mshambuliaji huyo.
Miaka 21 amefunga goli 8 kwenye michezo 10 Porto na ada ya uhamisho wake ni £87M.
(Source: @Caught offside)
0 Comments
ยท0 Shares
ยท33 Views