NENO LA SIKU

Isaya 43:18–19
Msiyakumbuke ya kale, wala msiyatafakari ya zamani. Tazama, nitatenda jambo jipya; sasa litachipuka; je, hamtalijua? Nitaweka njia nyikani, na mito jangwani.

Bwana anatutaka tumtazame yeye katika kila jambo ,

Background,hadithi za zamani zisitufanye tujione kama wakosefu sana kiasi cha kushundwa kuomba tena.

Historia ya familia unayo tokea isikufanye ujione kama uwezi kufanya jambo kubwa kesho ,Bwana anasema atafanya jambo jipya usilo liweza , atafanya mambo makuu usiyo yafikiri fikiri.

Bwana anasema hivi tusitafakari juu ya njia zetu mbovu za kale badala yake tumuombe yeye tu afanye jambo jipya.

BWANA akatende jambo jipya kwenye maisha yako na maisha yangu pia katika jina la YESU

Yale yote tusiyo yaweza Bwana akatupe kusimama tena na kuyafanya kwa ukubwa Sana kwa kuwa mwaka umeanza kwa nguvu mpya naakiri mpya.

2 Wakorintho 5:17
[17]Hata imekuwa, mtu akiwa ndani ya Kristo amekuwa kiumbe kipya; ya kale yamepita tazama! Yamekuwa mapya.

Natamani jambo jipya kwetu kama Yesu alivyo tufanya tuwe viumbe vipya ndivyo jambo jipya lizaliwe katika maisha yetu.

Sylvester Mwakabende (0622625340)
#2026_sisi_ ndio_ wale_tunao_piganiwa_na _Bwana.
NENO LA SIKU Isaya 43:18–19 Msiyakumbuke ya kale, wala msiyatafakari ya zamani. Tazama, nitatenda jambo jipya; sasa litachipuka; je, hamtalijua? Nitaweka njia nyikani, na mito jangwani. Bwana anatutaka tumtazame yeye katika kila jambo , Background,hadithi za zamani zisitufanye tujione kama wakosefu sana kiasi cha kushundwa kuomba tena. Historia ya familia unayo tokea isikufanye ujione kama uwezi kufanya jambo kubwa kesho ,Bwana anasema atafanya jambo jipya usilo liweza , atafanya mambo makuu usiyo yafikiri fikiri. Bwana anasema hivi tusitafakari juu ya njia zetu mbovu za kale badala yake tumuombe yeye tu afanye jambo jipya. BWANA akatende jambo jipya kwenye maisha yako na maisha yangu pia katika jina la YESU Yale yote tusiyo yaweza Bwana akatupe kusimama tena na kuyafanya kwa ukubwa Sana kwa kuwa mwaka umeanza kwa nguvu mpya naakiri mpya. 2 Wakorintho 5:17 [17]Hata imekuwa, mtu akiwa ndani ya Kristo amekuwa kiumbe kipya; ya kale yamepita tazama! Yamekuwa mapya. Natamani jambo jipya kwetu kama Yesu alivyo tufanya tuwe viumbe vipya ndivyo jambo jipya lizaliwe katika maisha yetu. Sylvester Mwakabende (0622625340) #2026_sisi_ ndio_ wale_tunao_piganiwa_na _Bwana.
0 Comments 0 Shares 169 Views