NENO LA LEO(MKABIZI MUNGU HAJA ZAKO)
Mithali 16:3-4
[3]Mkabidhi BWANA kazi zako,
Na mawazo yako yatathibitika.
[4]BWANA amefanya kila kitu kwa kusudi lake;
Ukimkabizi BWANA Mambo yako ,maana yake unataka Mungu aingilie kati kila jambo lako na kila jambo langu pia.
Na tunakubaliana MUNGU ndo mwenye sababu ya uzima na kusudi letu la kuishi,k ukimkabizi maisha yako maana yake unataka Bwana aamue kuingilia kusudi lako na kulisimamia.
1 Mambo ya Nyakati 17:27
kwa hiyo nakuomba uibariki nyumba yangu, mimi mtumishi wako, ili idumu milele mbele yako; kwani unachobariki wewe, huwa kimebarikiwa milele..
Tukimkabizi Mungu vitu vyetu akivizingira na kuvibariki vinadumu milele yote .
Natamani sote tumpe Mungu na kumkabizi kila jambo kwetu ili Mungu aingilie kati maisha yetu .
Na nikisema kumkabizi Bwana, namaanisha kwamba kuongozwa na Bwana na kupiga hatua katika maisha yako.
Nakuombea Mungu akuongoze katika kila jambo na kila jambo liwe linaanza na Mungu wako.
Nikutakie asubui njema na siku njema.
Kwa mafundisho zaidi jiunge na link hapo chini
https://chat.whatsapp.com/LAB9tcfvKq887DB9IDHvzf
Sylvester Mwakabende (0622625340)
#2026_sisi_ndio_wale_tunao piganiwa_na_Bwana.

0 Comments
0 Shares
66 Views