Hans Rafael Vs Ahmed Ally.

Aisee sijawahi kuona msemaji mwenye capacity ndogo ya mpira kama huyu jamaa

Leo unashangaa mchezaji wa timu moja kuwa na mapenzi na timu nyingine?

Cole Palmer Ni shabiki wa kutupwa wa Man U,na ana mapenzi ya dhati na Man U ila leo yuko Chelsea kikazi.

Mykhailo Mudryk Ni shabiki wa kutupwa wa Arsenal ila leo yuko Chelsea kikazi.

Alan Smith Alikuwa ni shabiki wa kutupwa wa Liverpool ila alicheza kwa maasimu wao wakubwa Man U.

Wewe mwenyewe ni shabiki mkubwa wa Yanga ambae unafanya kazi Simba ila hakuna mtu anae sema coz unatafuta ugali.

Au niwatonye watu kama wewe ndo JASUS mwenyewe

Jifunze kujua mpira acha kutukana watu

- Hans Rafael akimkaanga Msemaji wa klabu ya Simba SC, Ahmed Ally.

Toa maoni yako
#Sports #Habari
Hans Rafael Vs Ahmed Ally. Aisee sijawahi kuona msemaji mwenye capacity ndogo ya mpira kama huyu jamaa😄 Leo unashangaa mchezaji wa timu moja kuwa na mapenzi na timu nyingine? Cole Palmer Ni shabiki wa kutupwa wa Man U,na ana mapenzi ya dhati na Man U ila leo yuko Chelsea kikazi. Mykhailo Mudryk Ni shabiki wa kutupwa wa Arsenal ila leo yuko Chelsea kikazi. Alan Smith Alikuwa ni shabiki wa kutupwa wa Liverpool ila alicheza kwa maasimu wao wakubwa Man U. Wewe mwenyewe ni shabiki mkubwa wa Yanga ambae unafanya kazi Simba ila hakuna mtu anae sema coz unatafuta ugali. Au niwatonye watu kama wewe ndo JASUS mwenyewe😄 Jifunze kujua mpira acha kutukana watu😄 - Hans Rafael akimkaanga Msemaji wa klabu ya Simba SC, Ahmed Ally. Toa maoni yako #Sports #Habari
0 Kommentare 0 Anteile 38 Ansichten