Upgrade to Pro

BOSS : NAKUUWA ALAFU NAKULIPA PESA
MJOMBA : Nimekubari ila iwe kwambinde sasa nife huku najitetea

mjomba ana maisha magumu sana ..siku moja anapata dili la pesa " Dola milioni moja" kitu anachotakiwa kufanya ili apate izo pesa anatakiwa awashinde wanao jaribu kumuuwa. yaani aingie kwenye mchezo wa kifo ..kuna wauwaji pia wanapewa dili iloilo la " Dola milioni moja" wakiweza kumuuwa mjomba wanachukuwa pesa izo ....mjomba ana kubari inshu hiyo inaanza kama utani akizani mchezo ni lahisi lakini. Hii movie ni comedy Utacheka mapaka uzimie Dola milioni moja.. Kwa Tanzania ni sawa na bilioni mbili na milioni mia tatu.. na ujinga kibao ... Hapo ni Ufe au Upone upate mkwanja huwo ..Movie kali Hii

Telegram
https://t.me/HFilam_Official/1256

#HFilam
BOSS : NAKUUWA ALAFU NAKULIPA PESA MJOMBA : Nimekubari ila iwe kwambinde sasa nife huku najitetea ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ mjomba ana maisha magumu sana ..siku moja anapata dili la pesa " ๐Ÿ’ฐDola milioni moja" kitu anachotakiwa kufanya ili apate izo pesa anatakiwa awashinde wanao jaribu kumuuwa. yaani aingie kwenye mchezo wa kifo๐Ÿฉธ ..kuna wauwaji pia wanapewa dili iloilo la " ๐Ÿ’ฐDola milioni moja" wakiweza kumuuwa mjomba wanachukuwa pesa izo ....mjomba ana kubari inshu hiyo inaanza kama utani akizani mchezo ni lahisi lakini. Hii movie ni comedy Utacheka mapaka uzimie ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Dola milioni moja.. Kwa Tanzania ni sawa na bilioni mbili na milioni mia tatu.. na ujinga kibao ... Hapo ni Ufe au Upone upate mkwanja huwo ..Movie kali Hii Telegram โฌ‡๏ธ๐Ÿฟ https://t.me/HFilam_Official/1256 #HFilam
Love
Like
8
2 Comments ยท194 Views