Leo tunayo filamu ya kuvutia ya mwaka 2023 ya kusisimua na ya kuifanya akili kufanya kazi inayoitwa "Inside".
Filamu hii inawafaa wale wanaopenda stori za kusisimua na kuona jinsi wahusika wanavyoshindana na changamoto za kiakili.
Hapa kuna muhtasari wa "Inside":
Muigizaji Mkuu:
Willem Dafoe anafanya kazi nzuri kama NEMO, mwizi wa sanaa aliyekwama katika jumba la kifahari la New York baada ya jaribio la wizi kwenda vibaya.
Hadithi:
Filamu inasimulia mtego wa Nemo ambaye amekwama peke yake ndani ya jumba hilo, akiwa amezungukwa na kazi za sanaa zisizo na kifani. Anajitahidi kutumia akili na ujanja wake kuishi na kupambana na hali hiyo ngumu.
#HFilam

2 Comments
·269 Views