• Ukiona unafanya jambo usilo lipenda ni uhakika wa wazi kuwa kuna jambo bado ujalijua kuhusu zambi ,kwa lugha rahisi zambi imeikalia nafsi yako na kuiongoza.

    #Warumi 7:18-19
    [18]Kwa maana najua ya kuwa ndani yangu, yaani, ndani ya mwili wangu, halikai neno jema; kwa kuwa kutaka nataka, bali kutenda lililo jema sipati.

    [19]Kwa maana lile jema nilipendalo, silitendi; bali lile baya nisilolipenda ndilo nilitendalo.
    .
    Ndiyo sababu gheto unaenda kwa moyo wako wote ,nguo mnavua vizuri pamoja na ni wanakwaya mkimaliza kuzini unakuta mmoja anaanza kumlaumu mwenzake kuwa tamaa zako zimetuponza tumezini.

    Siyo kuwa tamaa zimewaponza ni kuwa either kuna jambo ujajua kuhusu zinaa ambalo ungelijua usinge thubutu kujitoa ufahamu kwenda getho la mtu na unaenda peke yako kabisa.

    #Chanzo ni nini ni kadiri unavyotaka kutumia akiri zako ndivyo unavyo fungua mlango wa shetani kukushanbulia kupitia ujinga wako.

    #Kumbe kama ungemuangalia Yusuph alicho fanya ungejua uzinzi hatuneni kwa lugha na kubakia hapo hapo tunakimbia mbali kabisa kwa kuwa usipo kimbia mwili wako utazidiwa na matokeo yako utaanguka.

    #Mwanzo 39:11-12
    [11]Ikawa, siku moja, akaingia nyumbani atende kazi yake, wala hapakuwa na mtu katika watu wa nyumbani humo ndani;

    [12]huyo mwanamke akamshika nguo zake, akisema, Lala nami. Yusufu akaiacha nguo yake mkononi mwake, akakimbia, akatoka nje.

    Hii ndiyo sababu biblia inasema pia ikimbieni zinaa

    1 Wakorintho 6:18
    [18]Ikimbieni zinaa. Kila dhambi aitendayo mwanadamu ni nje ya mwili wake; ila yeye afanyaye zinaa hutenda dhambi juu ya mwili wake mwenyewe.

    #Ukishindwa kukimbia shetani atakukamata .

    Lengo ni nini nimesema kila aliye shinda zambi au jambo furani kuna ufahamu anao ambao wewe una.

    Jitahidi kutafuta maarifa kuna aina ya zambi hazitoki kwa maombi peke yake bila kujua kanuni ya kushinda iyo zambi.

    Kitakacho tokea ni kuwa unaomba sana lakini ukitoka kuomba shetani anakuletea tena zambi ile ile na unaanguka tena

    #Shetani aogopi kipawa au karama uliyo nayo kuhusu kukushambulia ila anaogopa maarifa uliyo nayo kuhusu ilo jambo.Kadiri unavyo juuw siri nyingi juu ya jambo fulani ndivyo unavyo funga mlango wa mahambulizi ya shetani.

    Isaya amekuwa nabii lakini kila siku alikuwa nabii lakini pia ana midomo michafu mpaka siku alipo pata ufunuo ambao uliambatana na ukombozi ndio akaendelea kuwa mtu safi.

    Isaya 6:5-7
    [5]Ndipo niliposema, Ole wangu! Kwa maana nimepotea; kwa sababu mimi ni mtu mwenye midomo michafu, nami ninakaa kati ya watu wenye midomo michafu; na macho yangu yamemwona Mfalme, BWANA wa majeshi.

    [6]Kisha mmoja wa maserafi wale akaruka akanikaribia; naye alikuwa na kaa la moto mkononi mwake, ambalo alikuwa amelitwaa kwa makoleo toka juu ya madhabahu;

    [7]akanigusa kinywa changu kwa kaa hilo, akaniambia, Tazama, hili limekugusa midomo yako, na uovu wako umeondolewa, na dhambi yako imefunikwa.

    Ukombozi wa Isaya ulitegemea sana na ufunuo alio pokea siku hiyi maana kila siku aliendelea kuwa nabii lakin kumbe kuna jambo liko nyuma ya pazia na ndicho kizuizi chake.

    MUNGU ALIYE MTOKEA ISAYA KATIKA ULE MWAKA WA KUFA KWA MFALME UZIA NDIO MUNGU AKAKUTOKEE NA WEWE NA MIMI PIA ILI ATUTIE UFUNUO WA KUJUA MAKOSA YETU NA UKOMBOZI WAKE UPITE MOJA KWA MOJA.

    Sylvester Mwakabende (0622625340)

    #2026_Sisi_ndio_wale_tunao_piganiwa_na_Bwana.
    Ukiona unafanya jambo usilo lipenda ni uhakika wa wazi kuwa kuna jambo bado ujalijua kuhusu zambi ,kwa lugha rahisi zambi imeikalia nafsi yako na kuiongoza. #Warumi 7:18-19 [18]Kwa maana najua ya kuwa ndani yangu, yaani, ndani ya mwili wangu, halikai neno jema; kwa kuwa kutaka nataka, bali kutenda lililo jema sipati. [19]Kwa maana lile jema nilipendalo, silitendi; bali lile baya nisilolipenda ndilo nilitendalo. . Ndiyo sababu gheto unaenda kwa moyo wako wote ,nguo mnavua vizuri pamoja na ni wanakwaya mkimaliza kuzini unakuta mmoja anaanza kumlaumu mwenzake kuwa tamaa zako zimetuponza tumezini. Siyo kuwa tamaa zimewaponza ni kuwa either kuna jambo ujajua kuhusu zinaa ambalo ungelijua usinge thubutu kujitoa ufahamu kwenda getho la mtu na unaenda peke yako kabisa. #Chanzo ni nini ni kadiri unavyotaka kutumia akiri zako ndivyo unavyo fungua mlango wa shetani kukushanbulia kupitia ujinga wako. #Kumbe kama ungemuangalia Yusuph alicho fanya ungejua uzinzi hatuneni kwa lugha na kubakia hapo hapo tunakimbia mbali kabisa kwa kuwa usipo kimbia mwili wako utazidiwa na matokeo yako utaanguka. #Mwanzo 39:11-12 [11]Ikawa, siku moja, akaingia nyumbani atende kazi yake, wala hapakuwa na mtu katika watu wa nyumbani humo ndani; [12]huyo mwanamke akamshika nguo zake, akisema, Lala nami. Yusufu akaiacha nguo yake mkononi mwake, akakimbia, akatoka nje. Hii ndiyo sababu biblia inasema pia ikimbieni zinaa 1 Wakorintho 6:18 [18]Ikimbieni zinaa. Kila dhambi aitendayo mwanadamu ni nje ya mwili wake; ila yeye afanyaye zinaa hutenda dhambi juu ya mwili wake mwenyewe. #Ukishindwa kukimbia shetani atakukamata . Lengo ni nini nimesema kila aliye shinda zambi au jambo furani kuna ufahamu anao ambao wewe una. Jitahidi kutafuta maarifa kuna aina ya zambi hazitoki kwa maombi peke yake bila kujua kanuni ya kushinda iyo zambi. Kitakacho tokea ni kuwa unaomba sana lakini ukitoka kuomba shetani anakuletea tena zambi ile ile na unaanguka tena #Shetani aogopi kipawa au karama uliyo nayo kuhusu kukushambulia ila anaogopa maarifa uliyo nayo kuhusu ilo jambo.Kadiri unavyo juuw siri nyingi juu ya jambo fulani ndivyo unavyo funga mlango wa mahambulizi ya shetani. Isaya amekuwa nabii lakini kila siku alikuwa nabii lakini pia ana midomo michafu mpaka siku alipo pata ufunuo ambao uliambatana na ukombozi ndio akaendelea kuwa mtu safi. Isaya 6:5-7 [5]Ndipo niliposema, Ole wangu! Kwa maana nimepotea; kwa sababu mimi ni mtu mwenye midomo michafu, nami ninakaa kati ya watu wenye midomo michafu; na macho yangu yamemwona Mfalme, BWANA wa majeshi. [6]Kisha mmoja wa maserafi wale akaruka akanikaribia; naye alikuwa na kaa la moto mkononi mwake, ambalo alikuwa amelitwaa kwa makoleo toka juu ya madhabahu; [7]akanigusa kinywa changu kwa kaa hilo, akaniambia, Tazama, hili limekugusa midomo yako, na uovu wako umeondolewa, na dhambi yako imefunikwa. Ukombozi wa Isaya ulitegemea sana na ufunuo alio pokea siku hiyi maana kila siku aliendelea kuwa nabii lakin kumbe kuna jambo liko nyuma ya pazia na ndicho kizuizi chake. MUNGU ALIYE MTOKEA ISAYA KATIKA ULE MWAKA WA KUFA KWA MFALME UZIA NDIO MUNGU AKAKUTOKEE NA WEWE NA MIMI PIA ILI ATUTIE UFUNUO WA KUJUA MAKOSA YETU NA UKOMBOZI WAKE UPITE MOJA KWA MOJA. Sylvester Mwakabende (0622625340) #2026_Sisi_ndio_wale_tunao_piganiwa_na_Bwana.
    0 Комментарии 0 Поделились 4 Просмотры
  • Sumary ya kile tulicho jifunza .

    Somo jinsi ya kusikia sauti ya MUNGU 2026.

    Lengo la MUNGU kumuumba mwanadamu ni mwanadamu asikie fresh kutoka kwa MUNGU.

    Mwanadamu akuandaliwa ili kuteseka au kuangaika aishi vipi ila kwa makosa ya Adamu wa kwanza ndiyo mwanadamu akajitenga na wanadamu.

    Kumbe sasa sauti ya MUNGU imeandaliwa moja kwa moja kwa ajiri ya wanadamu.

    #Mithali 8:4

    Ukikosea kusikia umekosea kuamua hatma yako

    Mwanadamu aliye fanikiwa kumsikia Mungu ndo mwanadamu aliye fanikiwa katika maisha.

    Sauti ya Mungu inabeba maonyo ,maelekezo,inafundisha .

    Kila ambaye mekuwa domant kwenye maisha ni mtu ambaye bado ajamsikia Mungu

    Kila unacho kiomba kimebebwa katika sauti ya Mungu,kushindwa kumsikia Mungu maombi yanapoteza maana.

    Akuna aliye wahi msikia Mungu na akabaki kuwa wakawaida.

    Wanaofundishwa na Bwana peke yake ndio wanapiga hatua.
    #Torati 4:35-36

    Kila anaye ishi kwa mafanikio duniani ananguvu inayo msimamosha either kutoka kwa Mungu au shetani.

    https://chat.whatsapp.com/LAB9tcfvKq887DB9IDHvzf

    #2026_sisi_ndio_wale _tunapiganiwa_na_Bwana.
    Sumary ya kile tulicho jifunza . Somo jinsi ya kusikia sauti ya MUNGU 2026. ⏩Lengo la MUNGU kumuumba mwanadamu ni mwanadamu asikie fresh kutoka kwa MUNGU. ⏩Mwanadamu akuandaliwa ili kuteseka au kuangaika aishi vipi ila kwa makosa ya Adamu wa kwanza ndiyo mwanadamu akajitenga na wanadamu. ⏩Kumbe sasa sauti ya MUNGU imeandaliwa moja kwa moja kwa ajiri ya wanadamu. #Mithali 8:4 ⏩Ukikosea kusikia umekosea kuamua hatma yako ⏩Mwanadamu aliye fanikiwa kumsikia Mungu ndo mwanadamu aliye fanikiwa katika maisha. ⏩Sauti ya Mungu inabeba maonyo ,maelekezo,inafundisha . ⏩Kila ambaye mekuwa domant kwenye maisha ni mtu ambaye bado ajamsikia Mungu ⏩Kila unacho kiomba kimebebwa katika sauti ya Mungu,kushindwa kumsikia Mungu maombi yanapoteza maana. ⏩Akuna aliye wahi msikia Mungu na akabaki kuwa wakawaida. Wanaofundishwa na Bwana peke yake ndio wanapiga hatua. #Torati 4:35-36 Kila anaye ishi kwa mafanikio duniani ananguvu inayo msimamosha either kutoka kwa Mungu au shetani. https://chat.whatsapp.com/LAB9tcfvKq887DB9IDHvzf #2026_sisi_ndio_wale _tunapiganiwa_na_Bwana.
    0 Комментарии 0 Поделились 146 Просмотры
  • Kumbukumbu la Torati 4:20
    [20]Bali BWANA amewatwaa ninyi, na kuwatoa katika tanuu ya chuma, katika Misri, mpate kuwa watu wa urithi kwake, kama mlivyo leo hivi.

    BWANA AMEKUTWAA WEWE KUWA MTU WAKE ILI UPATE KUMSIFU ,KUMTUKUZA NA KUMWABUDU YEYE PEKE YAKE.

    NA BWANA NAWE PIA AKAKUTOE KATIKA TANUU LA CHUMA LA MISRI ILI UPATE KUISHI NA KUMTAFUTA BWANA MUNGU KATIKA KILA JAMBO.

    INAWEZEKANA MAHUSIANO,NDOA ,BIASHARA,WATU WAKAUGEUKA KUWA TANUU LA CHUMA LAKINI BWANA AMEKWITA KWA JINA LAKE ILI AKUTOE KATIKA TANUU LA CHUMA KATIKA MISRI.

    NA BWANA AKUTOE KATIKA TANURU LA CHUMA LA MISRI YAKO KATIKA JINA L YESU.

    NA MBINGU ZIKUONE KAMA MMOJA WA WARITHI WA AHADI ZA BWANA KATIKA JINA LA YESU.

    Sylvester Elia Gentleman
    Build new eden
    #2026_SISI_NDIO_WALE_WANAO_PIGANIWA_NA _ BWANA.

    @everyone
    Kumbukumbu la Torati 4:20 [20]Bali BWANA amewatwaa ninyi, na kuwatoa katika tanuu ya chuma, katika Misri, mpate kuwa watu wa urithi kwake, kama mlivyo leo hivi. BWANA AMEKUTWAA WEWE KUWA MTU WAKE ILI UPATE KUMSIFU ,KUMTUKUZA NA KUMWABUDU YEYE PEKE YAKE. NA BWANA NAWE PIA AKAKUTOE KATIKA TANUU LA CHUMA LA MISRI ILI UPATE KUISHI NA KUMTAFUTA BWANA MUNGU KATIKA KILA JAMBO. INAWEZEKANA MAHUSIANO,NDOA ,BIASHARA,WATU WAKAUGEUKA KUWA TANUU LA CHUMA LAKINI BWANA AMEKWITA KWA JINA LAKE ILI AKUTOE KATIKA TANUU LA CHUMA KATIKA MISRI. NA BWANA AKUTOE KATIKA TANURU LA CHUMA LA MISRI YAKO KATIKA JINA L YESU. NA MBINGU ZIKUONE KAMA MMOJA WA WARITHI WA AHADI ZA BWANA KATIKA JINA LA YESU. Sylvester Elia Gentleman Build new eden #2026_SISI_NDIO_WALE_WANAO_PIGANIWA_NA _ BWANA. @everyone
    0 Комментарии 0 Поделились 275 Просмотры