• HERE WE GO! Klabu ya Manchester City imefanikiwa kumsajili kinda mahiri kutoka Norway, Sverre Nypan, mwenye umri wa miaka 18. Licha ya kuwaniwa na vilabu kadhaa vikubwa Ulaya, Nypan ameichagua City baada ya kuvutiwa na mpango wa maendeleo ya vijana wa klabu hiyo.

    Ada ya usajili inakadiriwa kufikia €15 milioni, ishara ya imani kubwa waliyonayo kwake. Usajili huu unaonekana kama uwekezaji wa muda mrefu kwa City huku wakitazamia kumkuza na kumwendeleza katika kiwango cha juu.

    #SportsElite
    🚨HERE WE GO! Klabu ya Manchester City imefanikiwa kumsajili kinda mahiri kutoka Norway, Sverre Nypan, mwenye umri wa miaka 18. Licha ya kuwaniwa na vilabu kadhaa vikubwa Ulaya, Nypan ameichagua City baada ya kuvutiwa na mpango wa maendeleo ya vijana wa klabu hiyo. 💰 Ada ya usajili inakadiriwa kufikia €15 milioni, ishara ya imani kubwa waliyonayo kwake. Usajili huu unaonekana kama uwekezaji wa muda mrefu kwa City huku wakitazamia kumkuza na kumwendeleza katika kiwango cha juu.✨ #SportsElite
    0 Commenti ·0 condivisioni ·22 Views
  • Baada ya kushinda Taji la Klabu Bingwa, Kampuni zifuatazo zimeweka wazi kutaka kuwa wadhamini wa Chelsea.

    Shabiki wa Chelsea, ungependa nani awe mbele ya shati yenu?

    Qatar Airways
    Fly Emirates
    Riyadh Air
    SAMSUNG
    DAMAC
    💰🏆🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿Baada ya kushinda Taji la Klabu Bingwa, Kampuni zifuatazo zimeweka wazi kutaka kuwa wadhamini wa Chelsea. Shabiki wa Chelsea, ungependa nani awe mbele ya shati yenu? ✅Qatar Airways ✅Fly Emirates ✅Riyadh Air ✅SAMSUNG ✅DAMAC
    0 Commenti ·0 condivisioni ·44 Views
  • Klabu ya Chelsea itapata heshima ya kuvaa nembo ya Fifa Club World Cup kwa muda wa miaka minne kwenye jezi zao na hii imekuja baada ya Michuano hiyo kuanza kufanyika kila baada ya miaka minne baada ya mabadiliko yaliyofanyika ikiwa ni pamoja na kuongeza idadi ya timu shiriki.

    Pia Chelsea wamepewa heshima hiyo baada ya kutwaa ubingwa wa kombe la dunia kwa ngazi ya klabu kwa kuwachapa Psg mabao 3-0 usiku wa kuamkia leo katika uwanja wa Metlife Nchini Marekani.

    #SportsElite
    🚨Klabu ya Chelsea itapata heshima ya kuvaa nembo ya Fifa Club World Cup kwa muda wa miaka minne kwenye jezi zao na hii imekuja baada ya Michuano hiyo kuanza kufanyika kila baada ya miaka minne baada ya mabadiliko yaliyofanyika ikiwa ni pamoja na kuongeza idadi ya timu shiriki. Pia Chelsea wamepewa heshima hiyo baada ya kutwaa ubingwa wa kombe la dunia kwa ngazi ya klabu kwa kuwachapa Psg mabao 3-0 usiku wa kuamkia leo katika uwanja wa Metlife Nchini Marekani. #SportsElite
    0 Commenti ·0 condivisioni ·54 Views
  • Kolo Touré atakuwa msaidizi mkuu wa Pep Guardiola msimu ujao, baada ya kuteuliwa rasmi kuwa kocha msaidizi wa kikosi cha kwanza cha Manchester City. 🇨🇮

    #SportsElite
    🚨Kolo Touré atakuwa msaidizi mkuu wa Pep Guardiola msimu ujao, baada ya kuteuliwa rasmi kuwa kocha msaidizi wa kikosi cha kwanza cha Manchester City. 🇨🇮✅ #SportsElite
    0 Commenti ·0 condivisioni ·41 Views
  • 𝐎𝐅𝐅𝐈𝐂𝐈𝐀𝐋: Luka Modrić kwenda AC Milan kwa mkataba wa mwaka 1 na nyongeza hadi June 2027!

    Modrić atavaa jezi 1️⃣4️⃣ baada ya kumaliza mkataba Real Madrid .

    #SportsElite
    🚨 𝐎𝐅𝐅𝐈𝐂𝐈𝐀𝐋: Luka Modrić kwenda AC Milan kwa mkataba wa mwaka 1 na nyongeza hadi June 2027! ❤️🖤🇭🇷 Modrić atavaa jezi 1️⃣4️⃣ baada ya kumaliza mkataba Real Madrid . ✨ #SportsElite
    0 Commenti ·0 condivisioni ·44 Views
  • 𝐎𝐅𝐅𝐈𝐂𝐈𝐀𝐋: Real Madrid imethibitisha usajili wa Álvaro Carreras kwa kandarasi hadi 𝐉𝐮𝐧𝐞 𝟐𝟎𝟑𝟏!

    Muhispani huyo anarudi tena baada ya kuondoka miaka 6, Benfica atavuna €50m ..

    #SportsElite
    🚨 𝐎𝐅𝐅𝐈𝐂𝐈𝐀𝐋: Real Madrid imethibitisha usajili wa Álvaro Carreras kwa kandarasi hadi 𝐉𝐮𝐧𝐞 𝟐𝟎𝟑𝟏! 🤍 Muhispani huyo anarudi tena baada ya kuondoka miaka 6, Benfica atavuna €50m .. 🔙🏡 #SportsElite
    0 Commenti ·0 condivisioni ·70 Views
  • Mambo kumi muhimu ambayo ukiyafuata yatakupa mafanikio .

    1.Mafanikio ni kanuni na moja ya kanuni ni uzalishaji.*law of production*

    #Mathayo 25:14-30.
    Kwa kanuni kabla ujala kabisa pesa yoyote lazima uzalishe kwanza.

    2.Kuokoka bila kanuni za mafanikio *law of multiplying* hakuzuii kufa masikini.

    #Wafalme 4:1-7
    Unaweza kuwa unatoa pepi na unamcha sana Mungu lakini bado ukafa masikini.

    3.Mafanikio yanategemea sana uwezo wako ulio nao ,usipo kuwa na uwezo uwezi kufanikiwa

    #waamuzi 6:14

    4.ili Mungu akufanikishe akukute na kitu cha kuanzia .

    #2wafalme 4:2
    Mafanikio yake au ulipaji madeni ulianzia katika chupa ya mafuta.

    5.Utajiri ni nguvu anayo kupa Bwana ili aimaliahe agano na wewe.

    #Ndipo utamkumbuka Bwana Mungu wako akupaye nguvu ya kuupata utajiri.

    6.Akuna aliye fanikiwa arafu atoi fungu la kumi.

    Ibrahimu alikuwa mtu wa kwanza kabisa na alifanikiwa ndiye aliye anza kutoa fungu la kumi.

    Matajiri wote duniani wanajua siri ya hii na wanatoa either kwa waganga au kwa Mungu.
    #Malaki 3:10

    7.Mafanikio ya mtu yamebebwa ndani ya kitu kinacho itwa baraka ya Bwana.

    #Mithali 10:22

    8.Mafanikio yategemea sana na akiba unayo weka kipindi unacho .

    Yesu mwenyewe alijua hilo baada ya muujiza wa mikate mitano na samaki wawili bado aliwambia wakusanye vipande vilivyo baki.

    9.mafanikio mara zote yanategemea sana na aina ya watu ulio chagua kuambatana nao.

    Mwana mpotevu aliambatana na watu waovyo akatapanya mali zote na akaanza kujiona sawa na nguruwe.

    Ko kumbe kabla ujaomba mali omba Mungu akupe watu wa maana.

    #isaya 43:4

    10.Mafanikio yote yanaanzia katika mawazo ndiko chimbuko la umasikini au utajiri .

    #Kwa maana ajionavyo mtu nafsini mwake ndivyo alivyo.

    All in all mawazo ya mungu kwako ni kukufanya ufanikiwe ila bahati mbaya wewe ndiye una kiuka taratibu.
    #yeremia 29:11

    Kama unapenda kuendelea kujifunza tuma neno Add kwa namba 0622625340

    Ili uendelee kujifunza katika group zetu .

    Ahsante sana naitwa sylvester Mwakabende kutoka (build new eden ministry)
    #build new eden
    #Restore men position
    Mambo kumi muhimu ambayo ukiyafuata yatakupa mafanikio . 1.Mafanikio ni kanuni na moja ya kanuni ni uzalishaji.*law of production* #Mathayo 25:14-30. Kwa kanuni kabla ujala kabisa pesa yoyote lazima uzalishe kwanza. 2.Kuokoka bila kanuni za mafanikio *law of multiplying* hakuzuii kufa masikini. #Wafalme 4:1-7 Unaweza kuwa unatoa pepi na unamcha sana Mungu lakini bado ukafa masikini. 3.Mafanikio yanategemea sana uwezo wako ulio nao ,usipo kuwa na uwezo uwezi kufanikiwa #waamuzi 6:14 4.ili Mungu akufanikishe akukute na kitu cha kuanzia . #2wafalme 4:2 Mafanikio yake au ulipaji madeni ulianzia katika chupa ya mafuta. 5.Utajiri ni nguvu anayo kupa Bwana ili aimaliahe agano na wewe. #Ndipo utamkumbuka Bwana Mungu wako akupaye nguvu ya kuupata utajiri. 6.Akuna aliye fanikiwa arafu atoi fungu la kumi. Ibrahimu alikuwa mtu wa kwanza kabisa na alifanikiwa ndiye aliye anza kutoa fungu la kumi. Matajiri wote duniani wanajua siri ya hii na wanatoa either kwa waganga au kwa Mungu. #Malaki 3:10 7.Mafanikio ya mtu yamebebwa ndani ya kitu kinacho itwa baraka ya Bwana. #Mithali 10:22 8.Mafanikio yategemea sana na akiba unayo weka kipindi unacho . Yesu mwenyewe alijua hilo baada ya muujiza wa mikate mitano na samaki wawili bado aliwambia wakusanye vipande vilivyo baki. 9.mafanikio mara zote yanategemea sana na aina ya watu ulio chagua kuambatana nao. Mwana mpotevu aliambatana na watu waovyo akatapanya mali zote na akaanza kujiona sawa na nguruwe. Ko kumbe kabla ujaomba mali omba Mungu akupe watu wa maana. #isaya 43:4 10.Mafanikio yote yanaanzia katika mawazo ndiko chimbuko la umasikini au utajiri . #Kwa maana ajionavyo mtu nafsini mwake ndivyo alivyo. All in all mawazo ya mungu kwako ni kukufanya ufanikiwe ila bahati mbaya wewe ndiye una kiuka taratibu. #yeremia 29:11 Kama unapenda kuendelea kujifunza tuma neno Add kwa namba 0622625340 Ili uendelee kujifunza katika group zetu . Ahsante sana naitwa sylvester Mwakabende kutoka (build new eden ministry) #build new eden #Restore men position
    0 Commenti ·0 condivisioni ·200 Views
  • Baada ya kurejea timu yake ya zamani Rosario de Central, Angel de Maria leo ataanza kwenye mchezo wake wa kwanza dhidi ya Godoy Cruz mchezo wa ligi kuu nchini Argentina.

    Rosario de Central ndio timu iliyomtoa Di maria kabla ya kutimkia vilabu vya ulaya kama vile Benfica, Real Madrid, Manchester united pamoja na PSG.

    #SportsElite
    Baada ya kurejea timu yake ya zamani Rosario de Central, Angel de Maria leo ataanza kwenye mchezo wake wa kwanza dhidi ya Godoy Cruz mchezo wa ligi kuu nchini Argentina. Rosario de Central ndio timu iliyomtoa Di maria kabla ya kutimkia vilabu vya ulaya kama vile Benfica, Real Madrid, Manchester united pamoja na PSG. #SportsElite
    0 Commenti ·0 condivisioni ·113 Views
  • 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Ibrahima Konaté kwenda Real Madrid, uhamisho huu unamuelekeo mzuri zaidi

    Na Liverpool imekubali kumuuza mchezaji baada ya Konaté kukataa kuongeza mkataba..

    Konaté anataka kwenda Real Madrid.

    #SportsElite
    🚨 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Ibrahima Konaté kwenda Real Madrid, uhamisho huu unamuelekeo mzuri zaidi🤯🤯 Na Liverpool imekubali kumuuza mchezaji baada ya Konaté kukataa kuongeza mkataba.. Konaté anataka kwenda Real Madrid. #SportsElite
    0 Commenti ·0 condivisioni ·97 Views
  • 𝐎𝐅𝐅𝐈𝐂𝐈𝐀𝐋: Ruben Van Bommel amerejea PSV Eindhoven baada ya AZ Alkmaar kumuuza tena €16M 2030.

    #SportsElite
    🚨 𝐎𝐅𝐅𝐈𝐂𝐈𝐀𝐋: Ruben Van Bommel amerejea PSV Eindhoven baada ya AZ Alkmaar kumuuza tena €16M 2030. 🥶 #SportsElite
    0 Commenti ·0 condivisioni ·73 Views
  • ⚪️ RASMI: Lucas Vázquez Aondoka Real Madrid!

    Baada ya miaka mingi ya kujitoa kwa moyo wote, Lucas Vázquez hatakuwa mchezaji wa Real Madrid tena. Mkataba wake umeisha na sasa yupo huru (free agent) kujiunga na timu yoyote.

    Akiwa amehudumu kwa zaidi ya mechi 400, Lucas ametwaa mataji 23 yakiwemo: Champions League – 5
    La Liga – 4
    Supercopa, UEFA Super Cup na Club World Cup...

    Inaripotiwa kuwa Fenerbahçe ya Uturuki, klabu za MLS na Saudi Arabia tayari zimeanza mawasiliano naye.

    #SportsElite
    🇪🇸⚪️ RASMI: Lucas Vázquez Aondoka Real Madrid! Baada ya miaka mingi ya kujitoa kwa moyo wote, Lucas Vázquez hatakuwa mchezaji wa Real Madrid tena. Mkataba wake umeisha na sasa yupo huru (free agent) kujiunga na timu yoyote. 🗓️ Akiwa amehudumu kwa zaidi ya mechi 400, Lucas ametwaa mataji 23 yakiwemo: 🏆 Champions League – 5 🇪🇸 La Liga – 4 🎖️ Supercopa, UEFA Super Cup na Club World Cup... 🔜 Inaripotiwa kuwa Fenerbahçe ya Uturuki, klabu za MLS na Saudi Arabia tayari zimeanza mawasiliano naye. #SportsElite
    0 Commenti ·0 condivisioni ·67 Views
  • | BREAKING

    Newcastle united wameingia kwenye mbio za kumuwania mshambuliaji wa Manchester city, Jack Grealish mwenye umri wa miaka 29.

    Manchester city wanahitaji kumuuza Grealish kwa dau la £40 million baada ya wao kumsajili Kwa £100 million mwaka 2021.

    Tofauti na Newcastle pia kuna West Ham na Totenham ambao wapo kwenye mbio za kumuwania Grealish.

    #SportsElite
    🚨 | BREAKING Newcastle united wameingia kwenye mbio za kumuwania mshambuliaji wa Manchester city, Jack Grealish mwenye umri wa miaka 29. Manchester city wanahitaji kumuuza Grealish kwa dau la £40 million baada ya wao kumsajili Kwa £100 million mwaka 2021. Tofauti na Newcastle pia kuna West Ham na Totenham ambao wapo kwenye mbio za kumuwania Grealish. #SportsElite
    0 Commenti ·0 condivisioni ·154 Views
  • 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Nicolas Jackson ananafasi ya kuondoka Chelsea kwenye dirisha hili la uhamisho 👋🏾

    Baada ya Noni Madueke kwenda Arsenal…ndio yatafuata kama ikipatikana ofa kwa timu itakayo muhitaji..

    AC Milan imeulizia uhamisho huo wa Jackson.. Ijapo kuwa Chelsea imetoa gharama za uhamisho huo lakini AC kwao ni kiasi kikubwa.. .

    #SportsElite
    🚨 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Nicolas Jackson ananafasi ya kuondoka Chelsea kwenye dirisha hili la uhamisho 👀👋🏾 Baada ya Noni Madueke kwenda Arsenal…ndio yatafuata kama ikipatikana ofa kwa timu itakayo muhitaji.. AC Milan imeulizia uhamisho huo wa Jackson.. Ijapo kuwa Chelsea imetoa gharama za uhamisho huo lakini AC kwao ni kiasi kikubwa.. . 🇬🇧 #SportsElite
    0 Commenti ·0 condivisioni ·88 Views
  • 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Eberechi Eze Anatarajia kujiunga Arsenal, baada ya mchezaji kukubali kusaini mkataba hadi 2029 na chaguo la nyongeza hadi 2030.

    Arsenal iko kwenye mazungumzo na Crystal Palace ili kukamilisha uhamisho huo.

    #Ads

    #SportsElite
    🚨💣 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Eberechi Eze Anatarajia kujiunga Arsenal, baada ya mchezaji kukubali kusaini mkataba hadi 2029 na chaguo la nyongeza hadi 2030. ⚪🔴👀 Arsenal iko kwenye mazungumzo na Crystal Palace ili kukamilisha uhamisho huo. #Ads #SportsElite
    0 Commenti ·0 condivisioni ·113 Views
  • 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Morgan Gibbs-White yuko mbioni kujiunga Tottenham Hotspur baada ya vipimo vya afya hapo kesho.

    Tottenham Hotspur itatakiwa kulipa £60m kama Ada ya uhamisho Nottingham Forest.

    #SportsElite
    🚨💣 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Morgan Gibbs-White yuko mbioni kujiunga Tottenham Hotspur baada ya vipimo vya afya hapo kesho. ⚪⚫ Tottenham Hotspur itatakiwa kulipa £60m kama Ada ya uhamisho Nottingham Forest. #SportsElite
    0 Commenti ·0 condivisioni ·64 Views
  • Jordan Henderson anatarajia kuondoka Ajax baada ya mkataba wake kutamatika

    Na vilabu vingi vya ulaya vinahitaji huduma yake..

    (Source: @_pauljoyce)
    🚨 Jordan Henderson anatarajia kuondoka Ajax baada ya mkataba wake kutamatika Na vilabu vingi vya ulaya vinahitaji huduma yake.. (Source: @_pauljoyce)
    0 Commenti ·0 condivisioni ·53 Views
  • 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Trent Alexander-Arnold huwenda ataukosa mchezo wao Kati ya PSG baada ya kupata majeraha hapo Jana mazoezini @miguelitocope

    #SportsElite
    🚨💣 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Trent Alexander-Arnold huwenda ataukosa mchezo wao Kati ya PSG baada ya kupata majeraha hapo Jana mazoezini @miguelitocope #SportsElite
    0 Commenti ·0 condivisioni ·79 Views
  • 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Real Madrid haita usajili mbadala wa Rodrygo kama ataondoka klabuni hapo baada ya nafasi yake kuwa finyu..
    @MarioCortegana @TheAthleticFC

    #SportsElite
    🚨💣 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Real Madrid haita usajili mbadala wa Rodrygo kama ataondoka klabuni hapo baada ya nafasi yake kuwa finyu.. @MarioCortegana @TheAthleticFC #SportsElite
    Love
    1
    · 0 Commenti ·0 condivisioni ·105 Views
  • Crystal Palace bado ipo kwenye mazungumzo na Sporting kuwapatia kiasi cha £45M baada ya kuonesha nia kwa Ousmane Diomande.

    (Source: Guardian)

    #SportsElite
    🚨 Crystal Palace bado ipo kwenye mazungumzo na Sporting kuwapatia kiasi cha £45M baada ya kuonesha nia kwa Ousmane Diomande. (Source: Guardian) #SportsElite
    Like
    1
    · 0 Commenti ·0 condivisioni ·68 Views
  • 👋🏻 Iñaki Peña, anajiandaa kuondoka Barcelona majira haya ya joto baada ya ujio wa Joan Garcia pia kuongeza mkataba mkongwe Szczesny...

    #SportsElite
    🚨👋🏻 Iñaki Peña, anajiandaa kuondoka Barcelona majira haya ya joto baada ya ujio wa Joan Garcia pia kuongeza mkataba mkongwe Szczesny... #SportsElite
    Love
    1
    · 0 Commenti ·0 condivisioni ·95 Views
Pagine in Evidenza