• | Girona imeonesha nia ya kumuhitaji golikipa Iñaki Peña,baada ya golikipa wao Gazzaniga kufanya vibaya mechi iliyopita.

    Barça inapanga kumuongeza mkataba golikipa huyo ndipo imtoe kwa mkopo.
    Thamani yake ni €4M, kwa klabu yoyote itakayo muhitaji .

    Pia Barça itamuingiza kwenye mfumo Szczesny

    Via (): @alexlunafut [MD]

    #FCBlive #Transfers

    #SportsElite
    ๐Ÿšจ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ธ | Girona imeonesha nia ya kumuhitaji golikipa Iñaki Peña,baada ya golikipa wao Gazzaniga kufanya vibaya mechi iliyopita. ๐Ÿ”ต๐Ÿ”ด Barça inapanga kumuongeza mkataba golikipa huyo ndipo imtoe kwa mkopo. ๐Ÿ’ฐ Thamani yake ni €4M, kwa klabu yoyote itakayo muhitaji . ๐Ÿ‘‰ Pia Barça itamuingiza kwenye mfumo Szczesny ๐Ÿ“Ž Via (๐ŸŸข): @alexlunafut [MD] #FCBlive #Transfers #SportsElite
    0 Comments ยท0 Shares ยท15 Views