• 13/21. ROHO YA UDANGANYIFU KANISANI.

    Torati 13:1-2
    *1 Kukizuka katikati yako nabii, au mwotaji wa ndoto, akikutolea ishara au ajabu, 2 ikatukia hiyo ishara au hiyo ajabu aliyokuambia akisema, Na tuifuate miungu mingine usiyoijua, tuitumikie hiyo*

    Hayo ndiyo maagizo ambyo Mungu alimpatia Musa ili ayaweke kama kumbukumbu kwa taifa lake (kanisa ) lake hapa duniani .

    *Kumbe inshu siyo anaweza kukuambia kuwa anaona au anaota mambo yako ukajua ni mtu wa Mungu peke yake ,hapana kama tu anaweza yeye kuabudu miungu mingine ujue kabisa uyo si mtu wa Mungu.*

    Unasema nimejuaje andiko linasema *wataponya ,watatoa pepo kwa jina langu lakini mimi sikuwatuma*.

    *Kumbe kutoa pepo kusikufanye uamini sana kama mtu wa Mungu kutabiriwa pia lakini utamtambua jinsi anayo weza kuichukia zambi kwa roho yote.*

    Kukujulisha maisha yako ya nyuma siyo ishara ya kuwa ni mtumishi wa Mungu. Vipi kuhusu yule msichana aliye kuwa na pepo la uaguzi .

    (Ukisoma matendo 16:16-18 utaona )

    *“Hawa watu ni watumishi wa Mungu Mkuu.*

    Ko ukiangalia alikuwa anapenda kufanya hivyo siku hadi siku anajichanganya na watumishi wa kweli akina Paulo ili zsijulikane lakini alikuwa anapepo la uaguzi kwa lugha nyepesi ni *mganga wa kienyeji anaye tabiria watu kanisani*

    Ko muhimu sana kujua ulipo wanakuandaa kwenda mbinguni au wanakuandaa tu kuishi .

    Muombe sana Mungu akusaidie usiende kanisani kwa sababu ya kupata tu unabii au kuwekewa mkono wakti mwingine unajikuta umeenda kuongeza matatizo kwa kigezo cha kutoa tatizo.

    Kama wokovu kwako umejengwa katika dhana ya kutabiriwa peke yake basi kwako wokovu ni kitu kigumu sana .

    Ukisoma Yeremia 28:
    Utaona habari za mtu mmoja anaitwa hanania aliingia hekaruni na kuanza kutabiri neema mbele ya makuhani na yeremia mwenyewe ,lakini kw kuwa nabii Yeremia alikuwa ni mtu wa Mungu aligundua kuwa huyu ananinia ni nabii wa uongo .

    , *“Sikiliza, Hanania, Mwenyezi-Mungu hakukutuma, nawe unawafanya watu hawa waamini uongo*(Yeremia 28:15)

    Lakini ninacho tamani ujue huyu mtu aliingia kama mtu wa Mungu inamaana bila uimara wa Yeremia nabii kanisa lote lingekuwa limelishwa uongo na imani yake katika uongo.

    Lazima kama watumishi wa Mungu tuombe Mungu sana kipindi cha hiki uamsho mkubwa unapokwenda kutokea Tanzania kuna watu wengi watanyanyuka kusema lakini ukweli watakuwa si watu wa Mungu bali wana nguvu iliyo nyuma yao.

    Na bahati mbaya sana watu tunapenda saba ishara basi tunaona hapa ndo penyewe kumbe ni yule binti mwenye pepo la uaguzi.

    Ni kwambie ukweli kanisa la kweli haliwezi kuongozwa na roho ya yezebeli( Zinaa na uasherati) vikawa vitu vya kawaida kanisani.

    Oh mimi napokea kila mtu hapana si kanisa hilo ni lango la shetani *" si maanishi kanisani kwenda lazima mtu awe ameokoka lakini tunategemea baada ya kwenda aanze kubadilika so anatokz church ni worshipa anaenda ghetho kwa msela kuzini hii haikubaliki"*

    Ko kama dunia yatupasa kujiazali sana unabii na mafunuo juu ya ndoto zako si kigezo cha kuwa mtu wa Mungu bali mtawatambua kwa matendo yao.

    Hizi ni nyakati za mwisho ko wapo masihi (watumishi) wa Bwana ambao kazi yao kueneza injiri lakini pia wapo washetani ambao kazi yao ni kulipeleka matopeni kanisa la Mungu pasipo hao watu kujua.

    Unasema nimejuaje kamuulize Ahabu na Yeoshafath walipo taka kwenda vitani manabii wengine wote *waliingiziwa roho ya uongo (shetani) ili wampotoshe ahabu* lakini alikuwepo mmoja anaitwa *Mikaya yeye alikuwa jitu la mbinguni na akukubalika kirahisi mbele ya ahabu sababu ya matendo yake ahabu.*

    Ndivyo ilivyo hata leo manabii wa uongo wanawajaza viongozi wa serikari matumaini pasipo kujua kuwa Mungu anamtaka mtu mnyenyekevu .

    Nazungumza na mgombea mmoja ambaye yeye anatumia kafara arafu anaenda kuuliza kwa manabii uongo na wanampa tumaini na simama kama mikaya nataka nikwambie ukigombea huwezi kushinda kabisa kabisa.

    Manabii wa uongo wamejaa wao kila wakikutana na viongozi wanawatabiria maswala ya amani tu wakati wanaona kabisa mambo hayaeleweki

    Yeremia 28:9
    *Nabii atabiriye habari za amani, neno la nabii yule litakapotokea, ndipo nabii yule atakapojulikana, kweli kuwa BWANA amemtuma.*

    Lakini lisipo tokea mana yake ni wauongo na mwaka huu Mungu anakwenda kulionyeaha taifa kwamba roho za Hanania ni nyingi kanisani zinatabiri uongo kuwapa watu matumaini tu lakini si kweli .

    *Hakuna haki hakuna amani unashindwaje kuliambia taifa ukweli kabisa*


    Tuwaepuke sana manabii wa uongo wanakula sana jitihada za imani zetu kama vijana watoto wa Mungu.

    Dada acha kumue mue kila mtumishi lazima uende wewe na kuzungukia makanisa kama umeambiwa wanakupa ela vile kila siku unaenda kuuliza mambo yako bila kufanya kazi acha uo ujinga.

    Mwamini Mungu kuwa hizi ni siku za mwisho bado kidogo sana masihi aje awachukue walio wake.

    Ahsante sana naitwa Sylvester Mwakabende kutoja (build new eden)

    Karibu sana ujifunze nasi kupitia status pia 0622625340

    #build new eden
    #Restoremenposition
    13/21. ROHO YA UDANGANYIFU KANISANI. Torati 13:1-2 *1 Kukizuka katikati yako nabii, au mwotaji wa ndoto, akikutolea ishara au ajabu, 2 ikatukia hiyo ishara au hiyo ajabu aliyokuambia akisema, Na tuifuate miungu mingine usiyoijua, tuitumikie hiyo* Hayo ndiyo maagizo ambyo Mungu alimpatia Musa ili ayaweke kama kumbukumbu kwa taifa lake (kanisa ) lake hapa duniani . *Kumbe inshu siyo anaweza kukuambia kuwa anaona au anaota mambo yako ukajua ni mtu wa Mungu peke yake ,hapana kama tu anaweza yeye kuabudu miungu mingine ujue kabisa uyo si mtu wa Mungu.* Unasema nimejuaje andiko linasema *wataponya ,watatoa pepo kwa jina langu lakini mimi sikuwatuma*. *Kumbe kutoa pepo kusikufanye uamini sana kama mtu wa Mungu kutabiriwa pia lakini utamtambua jinsi anayo weza kuichukia zambi kwa roho yote.* Kukujulisha maisha yako ya nyuma siyo ishara ya kuwa ni mtumishi wa Mungu. Vipi kuhusu yule msichana aliye kuwa na pepo la uaguzi . (Ukisoma matendo 16:16-18 utaona ) *“Hawa watu ni watumishi wa Mungu Mkuu.* Ko ukiangalia alikuwa anapenda kufanya hivyo siku hadi siku anajichanganya na watumishi wa kweli akina Paulo ili zsijulikane lakini alikuwa anapepo la uaguzi kwa lugha nyepesi ni *mganga wa kienyeji anaye tabiria watu kanisani* Ko muhimu sana kujua ulipo wanakuandaa kwenda mbinguni au wanakuandaa tu kuishi . Muombe sana Mungu akusaidie usiende kanisani kwa sababu ya kupata tu unabii au kuwekewa mkono wakti mwingine unajikuta umeenda kuongeza matatizo kwa kigezo cha kutoa tatizo. Kama wokovu kwako umejengwa katika dhana ya kutabiriwa peke yake basi kwako wokovu ni kitu kigumu sana . Ukisoma Yeremia 28: Utaona habari za mtu mmoja anaitwa hanania aliingia hekaruni na kuanza kutabiri neema mbele ya makuhani na yeremia mwenyewe ,lakini kw kuwa nabii Yeremia alikuwa ni mtu wa Mungu aligundua kuwa huyu ananinia ni nabii wa uongo . , *“Sikiliza, Hanania, Mwenyezi-Mungu hakukutuma, nawe unawafanya watu hawa waamini uongo*(Yeremia 28:15) Lakini ninacho tamani ujue huyu mtu aliingia kama mtu wa Mungu inamaana bila uimara wa Yeremia nabii kanisa lote lingekuwa limelishwa uongo na imani yake katika uongo. Lazima kama watumishi wa Mungu tuombe Mungu sana kipindi cha hiki uamsho mkubwa unapokwenda kutokea Tanzania kuna watu wengi watanyanyuka kusema lakini ukweli watakuwa si watu wa Mungu bali wana nguvu iliyo nyuma yao. Na bahati mbaya sana watu tunapenda saba ishara basi tunaona hapa ndo penyewe kumbe ni yule binti mwenye pepo la uaguzi. Ni kwambie ukweli kanisa la kweli haliwezi kuongozwa na roho ya yezebeli( Zinaa na uasherati) vikawa vitu vya kawaida kanisani. Oh mimi napokea kila mtu hapana si kanisa hilo ni lango la shetani *" si maanishi kanisani kwenda lazima mtu awe ameokoka lakini tunategemea baada ya kwenda aanze kubadilika so anatokz church ni worshipa anaenda ghetho kwa msela kuzini hii haikubaliki"* Ko kama dunia yatupasa kujiazali sana unabii na mafunuo juu ya ndoto zako si kigezo cha kuwa mtu wa Mungu bali mtawatambua kwa matendo yao. Hizi ni nyakati za mwisho ko wapo masihi (watumishi) wa Bwana ambao kazi yao kueneza injiri lakini pia wapo washetani ambao kazi yao ni kulipeleka matopeni kanisa la Mungu pasipo hao watu kujua. Unasema nimejuaje kamuulize Ahabu na Yeoshafath walipo taka kwenda vitani manabii wengine wote *waliingiziwa roho ya uongo (shetani) ili wampotoshe ahabu* lakini alikuwepo mmoja anaitwa *Mikaya yeye alikuwa jitu la mbinguni na akukubalika kirahisi mbele ya ahabu sababu ya matendo yake ahabu.* Ndivyo ilivyo hata leo manabii wa uongo wanawajaza viongozi wa serikari matumaini pasipo kujua kuwa Mungu anamtaka mtu mnyenyekevu . Nazungumza na mgombea mmoja ambaye yeye anatumia kafara arafu anaenda kuuliza kwa manabii uongo na wanampa tumaini na simama kama mikaya nataka nikwambie ukigombea huwezi kushinda kabisa kabisa. Manabii wa uongo wamejaa wao kila wakikutana na viongozi wanawatabiria maswala ya amani tu wakati wanaona kabisa mambo hayaeleweki Yeremia 28:9 *Nabii atabiriye habari za amani, neno la nabii yule litakapotokea, ndipo nabii yule atakapojulikana, kweli kuwa BWANA amemtuma.* Lakini lisipo tokea mana yake ni wauongo na mwaka huu Mungu anakwenda kulionyeaha taifa kwamba roho za Hanania ni nyingi kanisani zinatabiri uongo kuwapa watu matumaini tu lakini si kweli . *Hakuna haki hakuna amani unashindwaje kuliambia taifa ukweli kabisa* Tuwaepuke sana manabii wa uongo wanakula sana jitihada za imani zetu kama vijana watoto wa Mungu. Dada acha kumue mue kila mtumishi lazima uende wewe na kuzungukia makanisa kama umeambiwa wanakupa ela vile kila siku unaenda kuuliza mambo yako bila kufanya kazi acha uo ujinga. Mwamini Mungu kuwa hizi ni siku za mwisho bado kidogo sana masihi aje awachukue walio wake. Ahsante sana naitwa Sylvester Mwakabende kutoja (build new eden) Karibu sana ujifunze nasi kupitia status pia 0622625340 #build new eden #Restoremenposition
    0 Comentários ·0 Compartilhamentos ·731 Visualizações
  • 10/21 Nguvu za Mungu.

    Huwezi kumuona Mungu ikiwa tu hufanyi mapenzi yake .

    Moja ya mapenzi ya Mungu ni kuona kanisa linamju Mungu katika eneo la msamaha.

    Nguvu za Mungu zinatafutwa na muamini anaye zihitaji .

    Zaburi 105:4

    *Mtakeni BWANA na nguvu zake, Utafuteni uso wake sikuzote*

    Ukiona maandiko yameweka wazi kabisa kwamba nguvu za Mungu ili uzipate lazima uzitake kwa kuomba, kusoma neno na kulitafakari na kuzidi kutenda wema.

    *Watu wengi tunachanganya mambo tunazani ukiokoka tu nguvu za Mungu utakuwa nazo kitu ambacho si kweli .*

    Mitume walio fanya kazi na Yesu bdo yesu aliwapa maelekezo ya kupata nguvu zake kupitia msaada wa roho mtakatifu lakini pia walikutwa wanaomba .

    Walipokea nguvu wakati wakiendelea na maombi.

    Matendo 1:8 SUV
    *Lakini wakati Roho Mtakatifu atakapowashukieni nyinyi, mtapokea nguvu na mtakuwa mashahidi wangu katika Yerusalemu, katika nchi yote ya Yudea na Samaria, na hata miisho ya dunia.”*

    Kumbe maombi ndiyo siri ya kupata nguvu za kuweza kukusaidia hata kishinda majaribu.

    *Kadiri unavyo weza mtafuta Mungu katika kuongezeka nguvu zake ndivyo unavyo jisogeza mbali na majaribu na mitego ya majaribu.*

    Yesu alishinda jaribu kwa kuwa alikuwa mtu wa maombi muda wake wote aliokuwepo duniani.
    Luka 5
    *Na Yesu, hali amejaa Roho Mtakatifu, alirudi kutoka Yordani, akaongozwa na Roho muda wa siku arobaini nyikani*
    Kumbe alipata kumshinda shetani katika jaribu zote kwa sababu tu alipata nguvu kipitia zile siku arobaini.

    Sasa kumbe kuna watu sababu ya kukosa nguvu wnazimia kirahisi sana.

    Mithali 24:10
    *Ukizimia siku ya taabu, Nguvu zako ni chache.*

    *Wokovu ni zaidi ya hapo kwani lazima uamue kuto kuzimia kabisa .*

    Ukiokoka lazima ujifunze kuzitaka nguvu za Mungu kupitia roho takatifu ili usiweze zimia moyo.

    Ni matumaini yangu maombi yanaweza kuwa maisha yetu ili tupate kumuona Mungu.

    Bila maombi uwezi pokea kwani biblia inasema ili *upokee lazima tuombe*

    Na yesu pia anasema *tukeshe katika maombi*

    Nguvu za Mungu ni muhimu sana ili uufurahie wokovu na ahadi za Mungu.

    *Mtafute bwana naye awe shirika nawe ili upate kuishi mapenzi yake .*

    Ahsante sana naitwa mwl.Sylvester Mwakabende (kutoka build new eden )

    #build new eden
    #Restoremenposition
    10/21 Nguvu za Mungu. Huwezi kumuona Mungu ikiwa tu hufanyi mapenzi yake . Moja ya mapenzi ya Mungu ni kuona kanisa linamju Mungu katika eneo la msamaha. Nguvu za Mungu zinatafutwa na muamini anaye zihitaji . Zaburi 105:4 *Mtakeni BWANA na nguvu zake, Utafuteni uso wake sikuzote* Ukiona maandiko yameweka wazi kabisa kwamba nguvu za Mungu ili uzipate lazima uzitake kwa kuomba, kusoma neno na kulitafakari na kuzidi kutenda wema. *Watu wengi tunachanganya mambo tunazani ukiokoka tu nguvu za Mungu utakuwa nazo kitu ambacho si kweli .* Mitume walio fanya kazi na Yesu bdo yesu aliwapa maelekezo ya kupata nguvu zake kupitia msaada wa roho mtakatifu lakini pia walikutwa wanaomba . Walipokea nguvu wakati wakiendelea na maombi. Matendo 1:8 SUV *Lakini wakati Roho Mtakatifu atakapowashukieni nyinyi, mtapokea nguvu na mtakuwa mashahidi wangu katika Yerusalemu, katika nchi yote ya Yudea na Samaria, na hata miisho ya dunia.”* Kumbe maombi ndiyo siri ya kupata nguvu za kuweza kukusaidia hata kishinda majaribu. *Kadiri unavyo weza mtafuta Mungu katika kuongezeka nguvu zake ndivyo unavyo jisogeza mbali na majaribu na mitego ya majaribu.* Yesu alishinda jaribu kwa kuwa alikuwa mtu wa maombi muda wake wote aliokuwepo duniani. Luka 5 *Na Yesu, hali amejaa Roho Mtakatifu, alirudi kutoka Yordani, akaongozwa na Roho muda wa siku arobaini nyikani* Kumbe alipata kumshinda shetani katika jaribu zote kwa sababu tu alipata nguvu kipitia zile siku arobaini. Sasa kumbe kuna watu sababu ya kukosa nguvu wnazimia kirahisi sana. Mithali 24:10 *Ukizimia siku ya taabu, Nguvu zako ni chache.* *Wokovu ni zaidi ya hapo kwani lazima uamue kuto kuzimia kabisa .* Ukiokoka lazima ujifunze kuzitaka nguvu za Mungu kupitia roho takatifu ili usiweze zimia moyo. Ni matumaini yangu maombi yanaweza kuwa maisha yetu ili tupate kumuona Mungu. Bila maombi uwezi pokea kwani biblia inasema ili *upokee lazima tuombe* Na yesu pia anasema *tukeshe katika maombi* Nguvu za Mungu ni muhimu sana ili uufurahie wokovu na ahadi za Mungu. *Mtafute bwana naye awe shirika nawe ili upate kuishi mapenzi yake .* Ahsante sana naitwa mwl.Sylvester Mwakabende (kutoka build new eden ) #build new eden #Restoremenposition
    0 Comentários ·0 Compartilhamentos ·624 Visualizações
  • 8/21 NGUVU YA MSAMAHA.

    Msamaha si tukio la kimwili bali ni tukio la kiroho .

    Mungu mwenyewe ndo mwenye asili ya msamaha hivyo basi kukosa ndo tabia ya mwanadamu lakini kusamehe ni tabia ya mungu mwenyewe.
    Efeso 4:32 BHN
    *Muwe na moyo mwema na wenye kuhurumiana; kila mmoja na amsamehe mwenzake kama naye Mungu alivyowasamehe*

    Moja y ishara inayo thibitisha upendo wetu kwa Mungu ni msamaha ,tunasamehe ili tumuone Mungu katika namna ya upendo wake .

    Lawi 19:18
    *Usifanye kisasi, wala kuwa na kinyongo juu ya wana wa watu wako; bali umpende jirani yako kama nafsi yako; Mimi ndimi BWANA.*

    *Kumbe msamaha uashiria upendo na upendo ni Amri kuu ambayo Mungu alituachia ya kuwa yatupasa pendana*

    *Atusamehe ili tumnufaishe aliye tukosea tunasamehe ili tumuone Mungu katika maisha yetu*

    Kwanini tunasamehe.

    1.kusamehe kuna kupa fursa ya kusamehewa makosa yako
    Mathayo 6:12 *Na utusamehe makosa yetu kama sisi tulivyokwisha kuwa samehe waliotukosea*

    2.kusamehe kunakupa fursa ya kusikilizwa maombi yako .
    Isaya 59:1-2

    Kumbe ili kusamehewa na Mungu wetu ni lazima wewe usamehe pia.

    3.kusamehe kunaweza saidia kufungua mlango wa sadaka ili ipate kibali.
    Mathayo 5:23-24

    4.Msamaha ni mlango wa uponyaji wako .yakobo5:14-15

    5.Msamaha ni mlango wa baraka katika maisha yako
    mwanzo 37:23-27

    6.Msamaha ni mlango wa wokovu kwa watu wengine.
    Luka 23:33-34
    Rumi 12:14

    Ko kumbe ukitizama vizuri tunasamehe kwa ajiri ya kutimiza kusudi lake Mungu wetu.

    *Jifunze kusamehe ili utumiwe na Mungu na kusikilizwa haja zako.*

    Ahsante naitwa Sylvester Mwakabende kutoka (build new eden)

    #build new eden
    #Restoremenposition
    8/21 NGUVU YA MSAMAHA. Msamaha si tukio la kimwili bali ni tukio la kiroho . Mungu mwenyewe ndo mwenye asili ya msamaha hivyo basi kukosa ndo tabia ya mwanadamu lakini kusamehe ni tabia ya mungu mwenyewe. Efeso 4:32 BHN *Muwe na moyo mwema na wenye kuhurumiana; kila mmoja na amsamehe mwenzake kama naye Mungu alivyowasamehe* Moja y ishara inayo thibitisha upendo wetu kwa Mungu ni msamaha ,tunasamehe ili tumuone Mungu katika namna ya upendo wake . Lawi 19:18 *Usifanye kisasi, wala kuwa na kinyongo juu ya wana wa watu wako; bali umpende jirani yako kama nafsi yako; Mimi ndimi BWANA.* *Kumbe msamaha uashiria upendo na upendo ni Amri kuu ambayo Mungu alituachia ya kuwa yatupasa pendana* *Atusamehe ili tumnufaishe aliye tukosea tunasamehe ili tumuone Mungu katika maisha yetu* Kwanini tunasamehe. 1.kusamehe kuna kupa fursa ya kusamehewa makosa yako Mathayo 6:12 *Na utusamehe makosa yetu kama sisi tulivyokwisha kuwa samehe waliotukosea* 2.kusamehe kunakupa fursa ya kusikilizwa maombi yako . Isaya 59:1-2 Kumbe ili kusamehewa na Mungu wetu ni lazima wewe usamehe pia. 3.kusamehe kunaweza saidia kufungua mlango wa sadaka ili ipate kibali. Mathayo 5:23-24 4.Msamaha ni mlango wa uponyaji wako .yakobo5:14-15 5.Msamaha ni mlango wa baraka katika maisha yako mwanzo 37:23-27 6.Msamaha ni mlango wa wokovu kwa watu wengine. Luka 23:33-34 Rumi 12:14 Ko kumbe ukitizama vizuri tunasamehe kwa ajiri ya kutimiza kusudi lake Mungu wetu. *Jifunze kusamehe ili utumiwe na Mungu na kusikilizwa haja zako.* Ahsante naitwa Sylvester Mwakabende kutoka (build new eden) #build new eden #Restoremenposition
    0 Comentários ·0 Compartilhamentos ·583 Visualizações
  • 3.Virtue (MKE MWEMA)

    Mke mwema ni gharama kumjua lakini mfalme suleiman alitusaidia kutupa quality za mke mwema .
    mithali 31:10 Mke mwema, ni nani awezaye kumwona? Maana kima chake chapita kima cha marijani. Moyo wa mumewe humwamini, Wala hatakosa kupata mapato

    Mke mwema lazima awe multitasking.

    Mke mwema ni yule ambaye anauliza kuhusu maono yako kabla ya kujua utajiri wako .kiufupi ababaishwi na ela yako anaangaika kujua maono yko ili ajue kama anaweza kukusaidia kuyatimiza au raha.

    Unapaswa kutafuta mke ambaye ni mwalimu wa wanao ,mama wa watoto wako, na msaidizi wako .

    Mke mwema anaweza pia akawa anafanya kazi na mume wake kapata economic crisis na familia ikaenda bila majirani kuona tofauti yeyote yaani mtoto anataka ela ya kiatu na yeye ndo anatoa lakini anampa mume wake ili awape watato ilo watoto waone baba bado ndo kichwa cha nyuma.

    *Mke mwema khatu awezi wachukia ndugu za mume wake badala yake uwapenda na kiwakumbatia.*

    Ok naitwa sylvester Mwakabende (kutoka Build new eden)

    Kwa mafundisho zaidi unaweza save namba yangu 0622625340

    #build new eden
    Restoremenposition
    3.Virtue (MKE MWEMA) Mke mwema ni gharama kumjua lakini mfalme suleiman alitusaidia kutupa quality za mke mwema . mithali 31:10 Mke mwema, ni nani awezaye kumwona? Maana kima chake chapita kima cha marijani. Moyo wa mumewe humwamini, Wala hatakosa kupata mapato Mke mwema lazima awe multitasking. Mke mwema ni yule ambaye anauliza kuhusu maono yako kabla ya kujua utajiri wako .kiufupi ababaishwi na ela yako anaangaika kujua maono yko ili ajue kama anaweza kukusaidia kuyatimiza au raha. Unapaswa kutafuta mke ambaye ni mwalimu wa wanao ,mama wa watoto wako, na msaidizi wako . Mke mwema anaweza pia akawa anafanya kazi na mume wake kapata economic crisis na familia ikaenda bila majirani kuona tofauti yeyote yaani mtoto anataka ela ya kiatu na yeye ndo anatoa lakini anampa mume wake ili awape watato ilo watoto waone baba bado ndo kichwa cha nyuma. *Mke mwema khatu awezi wachukia ndugu za mume wake badala yake uwapenda na kiwakumbatia.* Ok naitwa sylvester Mwakabende (kutoka Build new eden) Kwa mafundisho zaidi unaweza save namba yangu 0622625340 #build new eden Restoremenposition
    Love
    1
    · 0 Comentários ·0 Compartilhamentos ·721 Visualizações
  • Habari ya jioni ni siku ya tano leo kati ya saba katika mwendelezo wa somo linaloitwa ndoto na namna ya kutafsiri ndoto yako.

    Je umewai kuota ndoto mwanaume wa zamani kabisa wa ujanani au muliachana miaka 6 lakin qnajirudia rudia na saiz umeolewa ni mume wa mtu tayr au mke wa mtu .?
    Nini maana yake ?

    1.Kuna agano la ujanani uliingia na huyo mwanamke au mwanaume na ujatoka kwenye agano hilo kiroho.

    Zaburi 25:7 "usiyakumbuke makosa ya ujanani"

    Makosa hayo yamepelekea kufungwa na kukunajusi wewe katika ulimwengu wa roho.

    Naombaje

    1.Omba toba juu ya uovu wa ujanani .

    2.Omba maombi maalumu ya kujitenga na maagano ya ujanani .

    3.Muone kuhani aliye pakwa mafuta na Bwana kwa msada zaidi.

    Ahsante sana kwa majina naitwa sylvester Mwakabende wa (Build new eden)

    #Build new eden
    #Restoremenposition
    Habari ya jioni ni siku ya tano leo kati ya saba katika mwendelezo wa somo linaloitwa ndoto na namna ya kutafsiri ndoto yako. Je umewai kuota ndoto mwanaume wa zamani kabisa wa ujanani au muliachana miaka 6 lakin qnajirudia rudia na saiz umeolewa ni mume wa mtu tayr au mke wa mtu .? Nini maana yake ? 1.Kuna agano la ujanani uliingia na huyo mwanamke au mwanaume na ujatoka kwenye agano hilo kiroho. Zaburi 25:7 "usiyakumbuke makosa ya ujanani" Makosa hayo yamepelekea kufungwa na kukunajusi wewe katika ulimwengu wa roho. Naombaje 1.Omba toba juu ya uovu wa ujanani . 2.Omba maombi maalumu ya kujitenga na maagano ya ujanani . 3.Muone kuhani aliye pakwa mafuta na Bwana kwa msada zaidi. Ahsante sana kwa majina naitwa sylvester Mwakabende wa (Build new eden) #Build new eden #Restoremenposition
    Love
    1
    · 0 Comentários ·0 Compartilhamentos ·700 Visualizações
  • THANK YOU.

    Luke 17:11-19
    We look at the story of the ten lepers who were all healed.

    However, only one of them, a Samaritan, returned to thank Jesus.

    Jesus asked, "Aren't all ten healed? Where are the other nine?"

    This reflects the reality of today's church and world. When we face difficulties, we pray a lot to God. Yet, when we receive blessings, we often forget to return and give thanks.

    What we don’t realize is that God Himself says, "He is pleased with a thankful heart."

    In every act of gratitude, there is a blessing that takes you to another level.

    He told the Samaritan, "Get up and go; your faith has healed you." (Luke 17:19)

    So, after giving thanks, he was blessed with healing directly from Jesus.

    With every expression of gratitude, you give God the opportunity to trust you more and help you move forward.

    If thankfulness wasn’t important, Jesus wouldn’t have asked, "Was there no one to return and give praise to God except this foreigner?"

    This is where you understand that giving thanks is a way to praise God.

    "Let us come before Him with thanksgiving; let us make a joyful noise to Him with songs." (Psalm 9:1, Psalm 52:9)

    To have the peace of Christ, you must be a person of gratitude. "And let the peace of Christ rule in your hearts, to which indeed you were called in one body. And be thankful."

    After receiving what you asked for, you must also thank Him. "I will give thanks to You for You have answered me and have become my salvation." (Psalm 118:21)

    To be a winner, you must be a person of gratitude. "But thanks be to God, who gives us the victory through our Lord Jesus Christ." (1 Corinthians 15:57)

    After you pray, you should start planting seeds of gratitude. "Devote yourselves to prayer, being watchful in it with thanksgiving." (Colossians 4:2)

    Even if you haven't prayed for something specific, learn to thank God daily so He can guide you in His ways. "For He led them by a straight way to a city where they could settle; so they thanked the Lord." (Psalm 107:7)

    You might think that gratitude is just a simple act, but it carries great rewards.

    My name is Sylvester Mwakabende (build new eden). For more learning, advice, or spiritual help, call 0622625340.


    #buildneweden

    ##restoremenposition
    THANK YOU. Luke 17:11-19 We look at the story of the ten lepers who were all healed. However, only one of them, a Samaritan, returned to thank Jesus. Jesus asked, "Aren't all ten healed? Where are the other nine?" This reflects the reality of today's church and world. When we face difficulties, we pray a lot to God. Yet, when we receive blessings, we often forget to return and give thanks. What we don’t realize is that God Himself says, "He is pleased with a thankful heart." In every act of gratitude, there is a blessing that takes you to another level. He told the Samaritan, "Get up and go; your faith has healed you." (Luke 17:19) So, after giving thanks, he was blessed with healing directly from Jesus. With every expression of gratitude, you give God the opportunity to trust you more and help you move forward. If thankfulness wasn’t important, Jesus wouldn’t have asked, "Was there no one to return and give praise to God except this foreigner?" This is where you understand that giving thanks is a way to praise God. "Let us come before Him with thanksgiving; let us make a joyful noise to Him with songs." (Psalm 9:1, Psalm 52:9) To have the peace of Christ, you must be a person of gratitude. "And let the peace of Christ rule in your hearts, to which indeed you were called in one body. And be thankful." After receiving what you asked for, you must also thank Him. "I will give thanks to You for You have answered me and have become my salvation." (Psalm 118:21) To be a winner, you must be a person of gratitude. "But thanks be to God, who gives us the victory through our Lord Jesus Christ." (1 Corinthians 15:57) After you pray, you should start planting seeds of gratitude. "Devote yourselves to prayer, being watchful in it with thanksgiving." (Colossians 4:2) Even if you haven't prayed for something specific, learn to thank God daily so He can guide you in His ways. "For He led them by a straight way to a city where they could settle; so they thanked the Lord." (Psalm 107:7) You might think that gratitude is just a simple act, but it carries great rewards. My name is Sylvester Mwakabende (build new eden). For more learning, advice, or spiritual help, call 0622625340. #buildneweden ##restoremenposition
    Love
    1
    · 0 Comentários ·0 Compartilhamentos ·943 Visualizações