Mapenzi yana tabia ya kumuweka mtu njia panda, Na ilivyo kawaida ya Mapenzi unapokuwa huna mtu unakuwa salama kiafya na kiakili japo moyo unahangaika kutafuta faraja. Ukimpata mtu "MPENZI" ujue atakuja na mwingine ili kukupa changamoto.
Sasa basi utakuta Mmoja atakuwa na MVUTO lakini hana wazo la kuishi nawe, Mwingine hana MVUTO lakini anayo haja ya kuishi nawe kama MUME/MKE..!
Hapo ndipo palipomshinda Binadam hata akajikuta anakuwa njia panda,
*UFANYE NINI KUKABILIANA NA HILI?*
Kwanza kabisa lazima ujue kuwa Mapenzi ni HISIA... Ni jambo la kwanza kwa Mtu yeyote, Sikiliza hisia zako kabla ya kuingia kwenye mahusiano, Uangalie MOYO wako kama una furaha na nani Kati ya hao wanaosema I LOVE YOU...
Jiweke mahala kuyaishi maisha ya AMANI kuliko chochote, Amani inatokana na utulivu wa moyo, Asiye na MVUTO kama una hisia nae pambana kumpa mvuto wako mwenyewe, Kama ni mwenye MVUTO basi itetee nafsi yako, Maana kwenye MAPENZI hakuna linaloshindikana ikiwa penzi litaongozwa na UKARIBU, MAELEWANO, UPOLE NA UVUMILIVU...!
Hata chizi Ukiwa nae Karibu na mkaelewana sana, hawezi kukudhuru kwa asilimia kubwa... Wengi husimama njia panda na kushindwa kuamua vyema mwisho wao huwa mbaya, ni bora sana kujitafakari kabla ya kuamua ili kujiweka sehemu salama.
Mapenzi yanayodumu ni yenye HISIA maana moyo huongea kwa mazuri tu, Ole wako UOE/UOLEWE na mtu asiye na hisia nawe then aje kumpata wa hisia zake Mweeee UTAJUTA MBONA... Hakunaga kusikilizwa wala kupewa nafasi ya kujieleza, Uwe na cheti cha NDOA ama mna MTOTO/WATOTO hayo hayatakuwa na nafasi tena maana mwenzio atakuwa anautetea moyo wake tu.
Chagua zaidi kuwa na MTU MWENYE HISIA NAWE ili ufurahie Mapenzi, Vinginevyo UTAISHI KWA TAABU SANA JUU YA MAPENZI HAYA YA KARNE YA KIZAZI cha KIDUKU, VISHETI, SERIES NA UONGO MKUBWA....

·215 Views