• Nguvu ya kuchagua sehemu ya pili.

    Nguvu ya kuchagua ndiyo nguvu inayo sitawisha mtu .

    Isacka alibarikiwa sana baada ya kuchagua kutii maagizo aliyo ambiwa na Mungu .

    Wakati njaa inatokea wengine wote walichagua kwenda misri yeye akapewa jumbe tofauti na alipo sikia akachukua nguvu ya kuanza na akasitawishwa sana.
    Mwanzo 26:1-2

    Nguvu ya kuchagua lazima iambatane na Nguvu ya kuanza baada ya kuchagua.
    Mwanzo 6:12
    Isaka akapanda mbegu katika nchi ile, akapata mwaka ule vipimo mia kwa kimoja, BWANA akambariki.

    Watu wengi tunamsoma Yusuph kama mtu aliye ishinda zinaa na kufanyika kutengeneza taifa la wenzake tunasahau kitu kimoja tu Nguvu ya kuchagua ndiyo kitu kilicho mfanya aishinde zambi ya zinaa na kuwa mkubwa alipo chagua kutafsiri ndoto ndipo alipo chagua kuonekana na kukumbukwa .

    Lugha nyepesi kama angekataa kuchagua vyema angezini na potifa basi ukubwa wake ungeshindwa kutimia .

    Nje ya ndoto alizoota akiwakwao lakini nguvu ya kuchagua ndiyo ilimpa baraka za kifalme.

    Danieli aliitwa apendwaye sana tu sababu ya kutokuwa tayari kuchagua kula vyakula vya kifalme na kuabudu sanamu .

    Na hiyo kutokuwa tayari ni nguvu ya uchaguzi wakati wengine wanachagua kufuata miungu ya mfalme yeye alichagua kufuata vyema.

    Ruthu sababu ya kuchagua kumfuata naomi na Mungu wake alijikuta amebarikiwa na kupitia yeye baraka za Yudah zikatimia kupitia yeye daudi anazaliwa na masihi anazaliwa na hii ndiyo inaitwa nguvu ya kuchagua.

    Loti alitazama macho ya mwili alichagua kwenda sehemu nzuri kumbe ni sodoma na Gomora baadaye .

    Katika kila kuchagua kuna nguvu ya kufanikiwa ndiyo maana msingi wetu unaitwa baraka na laana umepewa mkononi mwako jinsi unavyo chagua ndivyo unavyo elekea mafanikio .

    Maisha ni machaguo kichagua vibaya ni kuamua kutoishi .


    Ok naitwa Sylvester Mwakabende kutoka (build new eden)

    #build new eden
    ##restore men position.
    Nguvu ya kuchagua sehemu ya pili. Nguvu ya kuchagua ndiyo nguvu inayo sitawisha mtu . Isacka alibarikiwa sana baada ya kuchagua kutii maagizo aliyo ambiwa na Mungu . Wakati njaa inatokea wengine wote walichagua kwenda misri yeye akapewa jumbe tofauti na alipo sikia akachukua nguvu ya kuanza na akasitawishwa sana. Mwanzo 26:1-2 Nguvu ya kuchagua lazima iambatane na Nguvu ya kuanza baada ya kuchagua. Mwanzo 6:12 Isaka akapanda mbegu katika nchi ile, akapata mwaka ule vipimo mia kwa kimoja, BWANA akambariki. Watu wengi tunamsoma Yusuph kama mtu aliye ishinda zinaa na kufanyika kutengeneza taifa la wenzake tunasahau kitu kimoja tu Nguvu ya kuchagua ndiyo kitu kilicho mfanya aishinde zambi ya zinaa na kuwa mkubwa alipo chagua kutafsiri ndoto ndipo alipo chagua kuonekana na kukumbukwa . Lugha nyepesi kama angekataa kuchagua vyema angezini na potifa basi ukubwa wake ungeshindwa kutimia . Nje ya ndoto alizoota akiwakwao lakini nguvu ya kuchagua ndiyo ilimpa baraka za kifalme. Danieli aliitwa apendwaye sana tu sababu ya kutokuwa tayari kuchagua kula vyakula vya kifalme na kuabudu sanamu . Na hiyo kutokuwa tayari ni nguvu ya uchaguzi wakati wengine wanachagua kufuata miungu ya mfalme yeye alichagua kufuata vyema. Ruthu sababu ya kuchagua kumfuata naomi na Mungu wake alijikuta amebarikiwa na kupitia yeye baraka za Yudah zikatimia kupitia yeye daudi anazaliwa na masihi anazaliwa na hii ndiyo inaitwa nguvu ya kuchagua. Loti alitazama macho ya mwili alichagua kwenda sehemu nzuri kumbe ni sodoma na Gomora baadaye . Katika kila kuchagua kuna nguvu ya kufanikiwa ndiyo maana msingi wetu unaitwa baraka na laana umepewa mkononi mwako jinsi unavyo chagua ndivyo unavyo elekea mafanikio . Maisha ni machaguo kichagua vibaya ni kuamua kutoishi . Ok naitwa Sylvester Mwakabende kutoka (build new eden) #build new eden ##restore men position.
    Love
    1
    · 0 Comments ·0 Shares ·565 Views
  • Naam dhambi zijapo nikabili na dunia #Kuniteka//

    Ntarudi msalabani neno nitaubiri watenda dhambi #Watanicheka//

    Wataona kama utani ntapost somo mtandaoni wengi #Watafoka
    Maandiko ya zaburi ntatoa ubaoni wakristo wenye viburi kwenye kipindi #Watatoka
    Bila ya kutaka ushauri wao na vileo wakipokezana #Bilauri
    Watasahau alieuawa kwa kombeo alidharau na kujawa #Kiburi
    Naamini Mungu yupo japo sijawai #Kumuona
    Soma bible upate michapo ilivyo teketea #Sodoma
    Nyakati mbaya zaja kila mmoja kwa mshtuko atabanwa na #Haja
    Guest zitafunguka bila funguo atatoa majibu alie datishwa na #Paja
    Naam dhambi zijapo nikabili na dunia #Kuniteka// Ntarudi msalabani neno nitaubiri watenda dhambi #Watanicheka// Wataona kama utani ntapost somo mtandaoni wengi #Watafoka Maandiko ya zaburi ntatoa ubaoni wakristo wenye viburi kwenye kipindi #Watatoka Bila ya kutaka ushauri wao na vileo wakipokezana #Bilauri Watasahau alieuawa kwa kombeo alidharau na kujawa #Kiburi Naamini Mungu yupo japo sijawai #Kumuona Soma bible upate michapo ilivyo teketea #Sodoma Nyakati mbaya zaja kila mmoja kwa mshtuko atabanwa na #Haja Guest zitafunguka bila funguo atatoa majibu alie datishwa na #Paja
    0 Comments ·0 Shares ·2K Views
  • Dunia sio mbaya.. walimwengu wanazingUA
    Nyuso zao hazina haya.. wapo tayari hata kuUA
    Ee mola tunusuru.. ili tupate kukoMA
    Tuepushe na tanuru.. usituhukumu ka' SodoMA

    Dunia sio mbaya.. walimwengu wanazingUA Nyuso zao hazina haya.. wapo tayari hata kuUA Ee mola tunusuru.. ili tupate kukoMA Tuepushe na tanuru.. usituhukumu ka' SodoMA
    Like
    2
    · 1 Comments ·0 Shares ·365 Views
  • Dunia sio mbaya.. walimwengu wanazingUA
    Nyuso zao hazina haya.. wapo tayari hata kuUA
    Ee mola tunusuru.. ili tupate kukoMA
    Tuepushe na tanuru.. usituhukumu ka' SodoMA

    Dunia sio mbaya.. walimwengu wanazingUA Nyuso zao hazina haya.. wapo tayari hata kuUA Ee mola tunusuru.. ili tupate kukoMA Tuepushe na tanuru.. usituhukumu ka' SodoMA
    Like
    2
    · 1 Comments ·0 Shares ·374 Views
  • nani ana foka kwisha kuchoka/ :evil:
    wanaoshoboka nagawa dozi hili ni dume la shoka/
    watakaoropoka nakoki gun karanga zipate chomoka/
    unakuja na panga :twisted: uku midomo unachonga/
    wakati wanatechnologia twacheza na hanga/
    hii sasa nini :lol: jamani hawa bado zama za jiwe/
    chokoza utiwe kamwe husikubali hacha tu usimuliwe/
    sitaki lawama wakati nyinyi mu watoto wa mama/
    niogope kama ukoma nitawaharibu kama sodoma/ :evil:
    nani ana foka kwisha kuchoka/ :evil: wanaoshoboka nagawa dozi hili ni dume la shoka/ watakaoropoka nakoki gun karanga zipate chomoka/ unakuja na panga :twisted: uku midomo unachonga/ wakati wanatechnologia twacheza na hanga/ hii sasa nini :lol: jamani hawa bado zama za jiwe/ chokoza utiwe kamwe husikubali hacha tu usimuliwe/ sitaki lawama wakati nyinyi mu watoto wa mama/ niogope kama ukoma nitawaharibu kama sodoma/ :evil:
    Like
    1
    · 0 Comments ·0 Shares ·462 Views