Keep on moving and never give up guys
NB:
Them want war them got war
#_RaggedVoice
-
-
Wakati mwingine mioyo iliyoumizwa inakutana, inaponyana na kupendana sana.
Yawezekana uwaonao wanapendana sana leo hii kuna mahala UPENDO wao ulipuuzwa na kukinaiwa.
Mapito yenye maumivu hayaondoi thamani ya mtu sahihi. Hata kama umeumizwa sana wewe, endelea kuwa mtu sahihi na mwenye thamani.
NB:
Utakutana na mtu wa aina yako na utafurahia matamanio yako ya muda mrefu. Furaha, amani na kila nzuri ulilotamani litakuwa sehemu maisha yako.
#_RaggedvoiceWakati mwingine mioyo iliyoumizwa inakutana, inaponyana na kupendana sana. Yawezekana uwaonao wanapendana sana leo hii kuna mahala UPENDO wao ulipuuzwa na kukinaiwa. Mapito yenye maumivu hayaondoi thamani ya mtu sahihi. Hata kama umeumizwa sana wewe, endelea kuwa mtu sahihi na mwenye thamani. NB: Utakutana na mtu wa aina yako na utafurahia matamanio yako ya muda mrefu. Furaha, amani na kila nzuri ulilotamani litakuwa sehemu maisha yako. #_Raggedvoice -
Mwanaume anapopata Pesa anawaza kumtunza mke wake na watoto wake na Familia kwa ujumla lakini Mwanamke anapopata Pesa anahisi hakuna umuhimu wa kuwa na Mwanaume
NB:
Hii ni kwa Wanaume na ustawi wa kipato chako kamwe usidate na Mwanamke ambaye anakuzidi Matatizo
#_raggedvoice⚠️Mwanaume anapopata Pesa anawaza kumtunza mke wake na watoto wake na Familia kwa ujumla lakini Mwanamke anapopata Pesa anahisi hakuna umuhimu wa kuwa na Mwanaume✍️📌 NB: Hii ni kwa Wanaume na ustawi wa kipato chako kamwe usidate na Mwanamke ambaye anakuzidi Matatizo🙏 #_raggedvoice -
Mtu pekee anayekuombea mema katika hatua zako ni Mama na Baba yako tu,hao wengine hawana msimamo na sala zao juu yako
Ukifa unadhani nani atakaa kwenye Kaburi lako kwa muda mrefu...
NB:
Hivi ukifanya mapenzi na Mwanamke mmesimama bado itahesabika kuwa ulilala nae..?
#_raggedvoice⚠️Mtu pekee anayekuombea mema katika hatua zako ni Mama na Baba yako tu,hao wengine hawana msimamo na sala zao juu yako📌 Ukifa unadhani nani atakaa kwenye Kaburi lako kwa muda mrefu...✍️ NB: Hivi ukifanya mapenzi na Mwanamke mmesimama bado itahesabika kuwa ulilala nae..🤔? #_raggedvoice