
-
-
Ilichukua zaidi ya miezi mitatu kuzima moto mkubwa na kusafisha eneo la tukio. Ujenzi, ambao uligharimu mamia ya mamilioni ya dola, ulidumu hadi 2007.
Ilichukua zaidi ya miezi mitatu kuzima moto mkubwa na kusafisha eneo la tukio. Ujenzi, ambao uligharimu mamia ya mamilioni ya dola, ulidumu hadi 2007.0 Comentários ·0 Compartilhamentos ·58 Visualizações -
PART 8Leia mais
Watu karibu 3,000 waangamia katika mashambulizi
Mashambulizi haya manne, yaliyotekelezwa chini ya saa mbili, yaligharimu maisha ya watu 2,977, ikiwa ni pamoja na waokoaji 441 kutoka mji wa New York. Zaidi ya watu 6,000 walijeruhiwa na wengine waliumwa magonjwa yanayohusiana na mashambulio hayo, haswa kwa sababu walivuta chembe zenye sumu ambazo ziliendelea kwa wiki kadhaa baada ya mashambulio.
PART 8 Watu karibu 3,000 waangamia katika mashambulizi Mashambulizi haya manne, yaliyotekelezwa chini ya saa mbili, yaligharimu maisha ya watu 2,977, ikiwa ni pamoja na waokoaji 441 kutoka mji wa New York. Zaidi ya watu 6,000 walijeruhiwa na wengine waliumwa magonjwa yanayohusiana na mashambulio hayo, haswa kwa sababu walivuta chembe zenye sumu ambazo ziliendelea kwa wiki kadhaa baada ya mashambulio.0 Comentários ·0 Compartilhamentos ·64 Visualizações -
PART 7Leia mais
Saa 4:28 asubuhi, Mnara wa Kaskazini wa WTC ulianguka, dakika 102 baada ya athari iliyosababishwa na ndege ya shirika la ndege la American Airlines. Mamia ya watu, ambao hawakuweza kuondolewa, ikiwa ni pamoja na waokoaji waliokuwa katika ghorofa, walifukiwa na vifusi vya jengo hilo.
Minara hiyo inayoanguka pia ilisababisha uharibifu mkubwa kwa majengo yaliyo kuwa karibu, kama mnara wa 7 wa WTC, ambao ulidondoka saa 11:20 jioni.
PART 7 Saa 4:28 asubuhi, Mnara wa Kaskazini wa WTC ulianguka, dakika 102 baada ya athari iliyosababishwa na ndege ya shirika la ndege la American Airlines. Mamia ya watu, ambao hawakuweza kuondolewa, ikiwa ni pamoja na waokoaji waliokuwa katika ghorofa, walifukiwa na vifusi vya jengo hilo. Minara hiyo inayoanguka pia ilisababisha uharibifu mkubwa kwa majengo yaliyo kuwa karibu, kama mnara wa 7 wa WTC, ambao ulidondoka saa 11:20 jioni.0 Comentários ·0 Compartilhamentos ·64 Visualizações -
PART 6Leia mais
Saa 3:59 asubuhi, Mnara wa Kusini wa kituo cha Biashara cha World Trade Center (WTC) ulidondoka wenyewe, dakika 55 matukio hayo ya kwanza.
Ndege ya nne, ya shirika la ndege la United Airlines Flight 93, ilianguka saa 10: 03 asubuhi kwenye chamba moja karibu na Pittsburg, huko Pennsylvania, ikiwa na watu 44, wakiwemo magaidi wanne. Abiria kwenye ndege hiyo waliripotiwa kupigana na watekaji nyara baada ya kuambiwa juu ya mkasa huo kwenye simu zao za rununu. Inaaminika kwamba ndege hii, iliyokuwa ikielekea Washington,ilienda kushambulia Capitol, makao makuu ya Bunge la Marekani.
PART 6 Saa 3:59 asubuhi, Mnara wa Kusini wa kituo cha Biashara cha World Trade Center (WTC) ulidondoka wenyewe, dakika 55 matukio hayo ya kwanza. Ndege ya nne, ya shirika la ndege la United Airlines Flight 93, ilianguka saa 10: 03 asubuhi kwenye chamba moja karibu na Pittsburg, huko Pennsylvania, ikiwa na watu 44, wakiwemo magaidi wanne. Abiria kwenye ndege hiyo waliripotiwa kupigana na watekaji nyara baada ya kuambiwa juu ya mkasa huo kwenye simu zao za rununu. Inaaminika kwamba ndege hii, iliyokuwa ikielekea Washington,ilienda kushambulia Capitol, makao makuu ya Bunge la Marekani.0 Comentários ·0 Compartilhamentos ·62 Visualizações -
PART 5Leia mais
Lakini saa 3:37 asubuhi huko Virginia, ndege ya tatu, ya shirika la ndege la American Airlines Flight 77, ilianguka katika sehemu ya magharibi ya Pentagon, makao makuu ya wizara ya Ulinzi ya Marekani, ikiwa na watu 64, wakiwemo watu watano wa kujitoa mhanga.
PART 5 Lakini saa 3:37 asubuhi huko Virginia, ndege ya tatu, ya shirika la ndege la American Airlines Flight 77, ilianguka katika sehemu ya magharibi ya Pentagon, makao makuu ya wizara ya Ulinzi ya Marekani, ikiwa na watu 64, wakiwemo watu watano wa kujitoa mhanga.0 Comentários ·0 Compartilhamentos ·62 Visualizações -
PART 4Leia mais
2:46 asubuhi, ulimwengu wapigwa na bumbuwazi
Ilikuwa saa 2:46 asubuhi, saa zahuko New York, wakati Boeing 767 kutoka shirika la ndege la American Airlines Flight 11 ilipoanguka kwenye Mnara wa Kaskazini wa kituo cha Biashara cha World Trade Center , ikiwa na watu 92 , wakiwemo magaidi watano.
Dakika kumi na saba baadaye, saa 3:03 asubuhi, vituo kadhaa vya televisheni vilikuwa vikitangaza tukio hilo, watu waliona ndege ya shirika la ndege la United Airlines Flight 175 ikigonga Mnara wa Kusini wa jengo hilo la kibiashara. Watu 65 walikuemo, ikiwa ni pamoja na watekaji nyara watano. Wakati moto ukiharibu sakafu za juu za minara hiyo miwili, Andrew Card, mkurugenzi katika ofisi ya rais, alimfahamisha rais George W. Bush: “Ndege ya pili imegonga mnara mwingine na Marekani sasa inashambuliwa. "
PART 4 2:46 asubuhi, ulimwengu wapigwa na bumbuwazi Ilikuwa saa 2:46 asubuhi, saa zahuko New York, wakati Boeing 767 kutoka shirika la ndege la American Airlines Flight 11 ilipoanguka kwenye Mnara wa Kaskazini wa kituo cha Biashara cha World Trade Center , ikiwa na watu 92 , wakiwemo magaidi watano. Dakika kumi na saba baadaye, saa 3:03 asubuhi, vituo kadhaa vya televisheni vilikuwa vikitangaza tukio hilo, watu waliona ndege ya shirika la ndege la United Airlines Flight 175 ikigonga Mnara wa Kusini wa jengo hilo la kibiashara. Watu 65 walikuemo, ikiwa ni pamoja na watekaji nyara watano. Wakati moto ukiharibu sakafu za juu za minara hiyo miwili, Andrew Card, mkurugenzi katika ofisi ya rais, alimfahamisha rais George W. Bush: “Ndege ya pili imegonga mnara mwingine na Marekani sasa inashambuliwa. "0 Comentários ·0 Compartilhamentos ·63 Visualizações -
PART 3Leia mais
Chini ya saa mbili, majengo muhimu ya nchi hii yenye nguvu duniani yalishambuliwa, na kuua karibu watu 3,000 na kujeruhi maelfu kadhaa. Mashambulio haya, ambayo ni mabaya zaidi katika historia ya kisasa, yaliuacha ulimwengu wote kwa mshtuko mkubwa.
PART 3 Chini ya saa mbili, majengo muhimu ya nchi hii yenye nguvu duniani yalishambuliwa, na kuua karibu watu 3,000 na kujeruhi maelfu kadhaa. Mashambulio haya, ambayo ni mabaya zaidi katika historia ya kisasa, yaliuacha ulimwengu wote kwa mshtuko mkubwa.0 Comentários ·0 Compartilhamentos ·67 Visualizações -
PART 2Leia mais
Kwa mara ya pili katika historia yake, Marekani ilikumbwa na shambulio la ndani, hali ambayo ilishuwa wengi wakati Marekani ni mojawapo ya nchi zenye nguvu duniani ambapo ni vigumu kupenya na kufanya shambulizi kubwa kama hilo.
PART 2 Kwa mara ya pili katika historia yake, Marekani ilikumbwa na shambulio la ndani, hali ambayo ilishuwa wengi wakati Marekani ni mojawapo ya nchi zenye nguvu duniani ambapo ni vigumu kupenya na kufanya shambulizi kubwa kama hilo.0 Comentários ·0 Compartilhamentos ·64 Visualizações -
PART 1Leia mais
Miaka ishirini iliyopita, asubuhi ya Septemba 11, 2001 katika pwani ya mashariki mwa Marekani, ndege nne za abiria zilitekwa nyara kwa wakati mmoja na magaidi 19 na kusababisha vifo vya maelfu ya watu baada ya kugonga minara pacha ya kituo cha bisahara cha World Trade Center nchini Marekani.
PART 1 Miaka ishirini iliyopita, asubuhi ya Septemba 11, 2001 katika pwani ya mashariki mwa Marekani, ndege nne za abiria zilitekwa nyara kwa wakati mmoja na magaidi 19 na kusababisha vifo vya maelfu ya watu baada ya kugonga minara pacha ya kituo cha bisahara cha World Trade Center nchini Marekani.0 Comentários ·0 Compartilhamentos ·9 Visualizações -
0 Comentários ·0 Compartilhamentos ·5 Visualizações
-
Your life will never be the same
#motivationalQuoteYour life will never be the same #motivationalQuote -
Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia Congo , Felix Tshisekedi ameitaka Nchi ya Marekani kununua madini moja kwa moja kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo akiitaja ndio "mmiliki halisi" wa rasilimali hizo na sio Nchi Rwanda .Leia mais
Tshisekedi amesema kuwa anaanza kwa kutoa ofa hiyo kwa Marekani kwanza huku akitoa pendekezo hilo pia liko wazi kwa mataifa ya Umoja Ulaya (EU) na wanunuzi wengine wanaotafuta na kununua madini kutoka Nchini Rwanda kwa sasa.
Rais huyo amewaonya Mataifa yanayonunua madini kutoka Nchini Rwanda kuwa wanachukua madini yaliyoibwa kutoka Nchini Jamhuri ya Kidemokrasia Congo, kwahiyo wanatakiwa kununua kwa mmiliki halali. Ikumbukwe kwamba Nchi ya Rwanda ni moja ya kati ya Nchi zinauza madini mengi barani Afrika kwa Mataifa ya Ulaya, Marekani na Asia.
Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia Congo 🇨🇩, Felix Tshisekedi ameitaka Nchi ya Marekani 🇺🇸 kununua madini moja kwa moja kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo akiitaja ndio "mmiliki halisi" wa rasilimali hizo na sio Nchi Rwanda 🇷🇼. Tshisekedi amesema kuwa anaanza kwa kutoa ofa hiyo kwa Marekani kwanza huku akitoa pendekezo hilo pia liko wazi kwa mataifa ya Umoja Ulaya (EU) na wanunuzi wengine wanaotafuta na kununua madini kutoka Nchini Rwanda kwa sasa. Rais huyo amewaonya Mataifa yanayonunua madini kutoka Nchini Rwanda kuwa wanachukua madini yaliyoibwa kutoka Nchini Jamhuri ya Kidemokrasia Congo, kwahiyo wanatakiwa kununua kwa mmiliki halali. Ikumbukwe kwamba Nchi ya Rwanda ni moja ya kati ya Nchi zinauza madini mengi barani Afrika kwa Mataifa ya Ulaya, Marekani na Asia.0 Comentários ·0 Compartilhamentos ·10 Visualizações -
-
-
Uaminifu ni zawadi ya thamani kubwa sana, Usiutarajie kupata kutoka kwa watu wa bei rahisiUaminifu ni zawadi ya thamani kubwa sana, Usiutarajie kupata kutoka kwa watu wa bei rahisi
-
Zambia wana Laptop zao zinaitwa NEO, Rwanda wana MARA Phones na Satelite , Uganda wana Simu zao zinaitwa SIMI, Kenya wana Laptop zao zinaitwa TAIFA Wana Starlink pia wana Satelite yao, Tanzania tuna nini ?Zambia wana Laptop zao zinaitwa NEO, Rwanda wana MARA Phones na Satelite , Uganda wana Simu zao zinaitwa SIMI, Kenya wana Laptop zao zinaitwa TAIFA Wana Starlink pia wana Satelite yao, Tanzania tuna nini ?
-
Nyayo zetu zimebeba nerves za viungo vyetu vyote. Kwahiyo tenga mda uwani kwako ama sehemu salama kutembea miguu peku mara kwa mara, itaponya maradhi mengi. Usipuuzie!!Nyayo zetu zimebeba nerves za viungo vyetu vyote. Kwahiyo tenga mda uwani kwako ama sehemu salama kutembea miguu peku mara kwa mara, itaponya maradhi mengi. Usipuuzie!!
-
-
What's football funnyWhat's football funny⚽⚽😂😂00:0000:00
Páginas impulsionada