• La kihistoria! Lionel Andrés Messi Cuccittini sasa ndiye mfungaji bora na mtoa asisti wa muda wote katika klabu ya Inter Miami, akiwa na mabao 52 na pasi 29 za mabao!

    🏟 Mechi: 63
    ⚽️ Mabao: 52
    Pasi za mabao: 29

    Takwimu za Messi katika taaluma yake:

    Mechi: 1108
    ⚽️ Mabao: 868
    Pasi za mabao: 385
    Mchango wa goli kwa kila mechi: 1.13

    Bila shaka, ni mchezaji bora zaidi kuwahi kutokea.

    #SportsElite
    La kihistoria! 🤯 Lionel Andrés Messi Cuccittini sasa ndiye mfungaji bora na mtoa asisti wa muda wote katika klabu ya Inter Miami, akiwa na mabao 52 na pasi 29 za mabao! 🐐 🏟 Mechi: 63 ⚽️ Mabao: 52 🎯 Pasi za mabao: 29 Takwimu za Messi katika taaluma yake: ✅ Mechi: 1108 ⚽️ Mabao: 868 🅰️ Pasi za mabao: 385 🔥 Mchango wa goli kwa kila mechi: 1.13 Bila shaka, ni mchezaji bora zaidi kuwahi kutokea. 🐐 #SportsElite
    0 Comments ·0 Shares ·2 Views
  • Real Madrid na AC Milan zimeingia kwenye vita ya kuiwania saini ya Destiny Udogie, na Tottenham wanahitaji kiasi cha €60M.

    (Source: @TheBoyHotspur)

    #SportsElite
    🚨 Real Madrid na AC Milan zimeingia kwenye vita ya kuiwania saini ya Destiny Udogie, na Tottenham wanahitaji kiasi cha €60M. (Source: @TheBoyHotspur) #SportsElite
    0 Comments ·0 Shares ·2 Views
  • Ni rasmi Thomas Muller anastaafu soka miaka 35

    7⃣5⃣6⃣ Michezo.
    2⃣5⃣0⃣ Magoli.
    2⃣7⃣6⃣ Pasi za usaidizi.
    3⃣3⃣ Makombe.
    Ni rasmi Thomas Muller anastaafu soka miaka 35❤️🤍🐐 👕7⃣5⃣6⃣ Michezo. ⚽2⃣5⃣0⃣ Magoli. 🅰️2⃣7⃣6⃣ Pasi za usaidizi. 🏆🇩🇪3⃣3⃣ Makombe.
    0 Comments ·0 Shares ·12 Views
  • Manchester United inaamini usajili wa Bryan Mbeumo utakamilika siku chache

    Lakini Brentford inahitaji kiasi cha £65M.

    (Source: Daily Mail Sport)

    #SportsElite
    🚨 Manchester United inaamini usajili wa Bryan Mbeumo utakamilika siku chache Lakini Brentford inahitaji kiasi cha £65M. (Source: Daily Mail Sport) #SportsElite
    0 Comments ·0 Shares ·13 Views
  • 𝐎𝐅𝐅𝐈𝐂𝐈𝐀𝐋: Birmingham City FC imemalizana na Demarai Gray (29) kutoka Al-Ettifaq. ⚪️

    #SportsElite
    🇯🇲 𝐎𝐅𝐅𝐈𝐂𝐈𝐀𝐋: Birmingham City FC imemalizana na Demarai Gray (29) kutoka Al-Ettifaq. 🔵⚪️✨ #SportsElite
    0 Comments ·0 Shares ·19 Views
  • 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Noni Madueke amekubali kujiunga na Arsenal, kutokana na project nzuri

    Na majadiliano yatafuata baina ya Arsenal na Chelsea

    #SportsElite
    🚨 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Noni Madueke amekubali kujiunga na Arsenal, kutokana na project nzuri ❤️🤍 Na majadiliano yatafuata baina ya Arsenal na Chelsea #SportsElite
    0 Comments ·0 Shares ·23 Views
  • Bergen County Academies Tutoring – Expert Prep with MindzQ Education

    Are you aiming for admission to one of the most prestigious public magnet high schools in New Jersey? At MindzQ Education, our Bergen County Academies prep program is tailored to help motivated 8th-grade students stand out from the competition and succeed in the highly selective BCA admissions process.
    Spring Warm-Up (foundations)
    Summer & Fall Intensive (strategies, essays, mocks)
    Expert instruction in algebra, geometry, comprehension, grammar
    Personalized coaching for essays & interviews

    Visit: https://mindzq.com/bergen-county-academies

    #BergenCountyAcedemiesTutoring #BergenCountyprep #BcaPrep #BcaTutoring #MindzQEducation #BergenCountyAcedemies
    Bergen County Academies Tutoring – Expert Prep with MindzQ Education Are you aiming for admission to one of the most prestigious public magnet high schools in New Jersey? At MindzQ Education, our Bergen County Academies prep program is tailored to help motivated 8th-grade students stand out from the competition and succeed in the highly selective BCA admissions process. Spring Warm-Up (foundations) Summer & Fall Intensive (strategies, essays, mocks) Expert instruction in algebra, geometry, comprehension, grammar Personalized coaching for essays & interviews Visit: https://mindzq.com/bergen-county-academies #BergenCountyAcedemiesTutoring #BergenCountyprep #BcaPrep #BcaTutoring #MindzQEducation #BergenCountyAcedemies
    0 Comments ·0 Shares ·19 Views
  • Al-Nassr iko tayari kulipa kiasi cha €85M kwa Arsenal kumsaini Gabriel Martinelli.

    (Source: The Athletic FC)

    #SportsElite
    🚨 Al-Nassr iko tayari kulipa kiasi cha €85M kwa Arsenal kumsaini Gabriel Martinelli. (Source: The Athletic FC) #SportsElite
    0 Comments ·0 Shares ·13 Views
  • Juventus imefikia makubaliano na Manchester United kumuachia Jadon Sancho kwa ada ya uhamisho €25M!

    Kinachosubiriwa ni makubaliano ya mchezaji ili kutia saini..

    (Source: SportMediaset)

    🚨💣 Juventus imefikia makubaliano na Manchester United kumuachia Jadon Sancho kwa ada ya uhamisho €25M! ✅🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 Kinachosubiriwa ni makubaliano ya mchezaji ili kutia saini.. ⏳ (Source: SportMediaset)
    0 Comments ·0 Shares ·8 Views
  • Arsenal iko tayari kulipa zaidi ya €90M kwa Rodrygo.

    (Source: Diario AS)

    #SportsElite
    🚨 Arsenal iko tayari kulipa zaidi ya €90M kwa Rodrygo. 🤑 (Source: Diario AS) #SportsElite
    0 Comments ·0 Shares ·10 Views
  • Napoli inavutiwa kumsajiri Lee Kang-In.

    PSG imeomba kiasi cha €30M kwa Mkorea huyo.

    (Source: @RomainCG75)

    #SportsElite
    🚨 Napoli inavutiwa kumsajiri Lee Kang-In. 💙🇰🇷 PSG imeomba kiasi cha €30M kwa Mkorea huyo. (Source: @RomainCG75) #SportsElite
    0 Comments ·0 Shares ·11 Views
  • Learn how to verify and collect an authentic Back To The Future signed hoverboard with expert tips on certification, provenance, preservation, and trusted memorabilia sources.
    https://www.sociomix.com/c/entertainment/how-to-verify-and-collect-an-authentic-back-to-the-future-signed-hoverboard/1751615444
    Learn how to verify and collect an authentic Back To The Future signed hoverboard with expert tips on certification, provenance, preservation, and trusted memorabilia sources. https://www.sociomix.com/c/entertainment/how-to-verify-and-collect-an-authentic-back-to-the-future-signed-hoverboard/1751615444
    How To Verify And Collect An Authentic Back To The Future Signed Hoverboard | Author Stevan Rogers | Sociomix
    www.sociomix.com
    Learn how to verify and collect an authentic Back To The Future signed hoverboard with expert tips on certification, provenance, preservation, and trusted memorabilia sources.
    0 Comments ·0 Shares ·29 Views
  • SAT Prep Test NJ: MindzQ Education Proven Path to Success

    Preparing for the SAT can be overwhelming, especially with recent changes to the exam format. If you’re searching for effective Sat Prep Test Nj, look no further than MindzQ Education. With over a decade of experience, MindzQ offers personalized, efficient, and results-driven SAT preparation tailored to each student’s unique needs—right in your neighborhood.

    Visit: https://mindzq.com/sat-test-prep-ap-exams
    #SATprepinfairlawn #SATprepnj #SATclasses #SATtutor #MindzQEducation #SatPrepTestNj
    SAT Prep Test NJ: MindzQ Education Proven Path to Success Preparing for the SAT can be overwhelming, especially with recent changes to the exam format. If you’re searching for effective Sat Prep Test Nj, look no further than MindzQ Education. With over a decade of experience, MindzQ offers personalized, efficient, and results-driven SAT preparation tailored to each student’s unique needs—right in your neighborhood. Visit: https://mindzq.com/sat-test-prep-ap-exams #SATprepinfairlawn #SATprepnj #SATclasses #SATtutor #MindzQEducation #SatPrepTestNj
    SAT Tutor & SAT Courses | SAT Study Guide & Math Practice - MindzQ
    mindzq.com
    Boost your SAT score with expert SAT tutors! MindzQ Education offers SAT courses, study guides, and SAT math practice to help you excel.
    0 Comments ·0 Shares ·98 Views
  • BREAKING : Uongozi wa Real Madrid C.F. pamoja na Xabi Alonso wako tayari kwa pamoja kumruhusu Rodrygo Silva de Goes kuondoka Klabuni hapo majira haya ya joto. Wamekubaliana kuwa klabu haitamzuia mchezaji huyo ikiwa ofa inayofaa itatolewa.


    Source: [ MarioCortegana ]

    #SportsElite
    BREAKING 🔴: Uongozi wa Real Madrid C.F. pamoja na Xabi Alonso wako tayari kwa pamoja kumruhusu Rodrygo Silva de Goes kuondoka Klabuni hapo majira haya ya joto. Wamekubaliana kuwa klabu haitamzuia mchezaji huyo ikiwa ofa inayofaa itatolewa. Source: [ MarioCortegana ] #SportsElite
    0 Comments ·0 Shares ·17 Views
  • Rangers FC iko mbioni kukamilisha usajiri wa kiungo wa Luton Town Thelo Aasgaard (Norway)

    (Source: Daily Record)

    #SportsElite
    🚨 Rangers FC iko mbioni kukamilisha usajiri wa kiungo wa Luton Town Thelo Aasgaard (Norway) (Source: Daily Record) #SportsElite
    0 Comments ·0 Shares ·32 Views
  • Hakan Çalhanoğlu anampango wa kuondoka Inter dirisha hili baada ya kutokuwa na maelewano mazuri na Lautaro Martínez.

    Manchester United na Fulham zimeingia kwenye vita hiyo ya kuinasa saini ya kiungo huyo kwa ada €40m....

    (Source: Orazio Accomando)

    #SportsElite
    🚨 Hakan Çalhanoğlu anampango wa kuondoka Inter dirisha hili baada ya kutokuwa na maelewano mazuri na Lautaro Martínez. Manchester United na Fulham zimeingia kwenye vita hiyo ya kuinasa saini ya kiungo huyo kwa ada €40m.... (Source: Orazio Accomando) #SportsElite
    0 Comments ·0 Shares ·45 Views
  • #SportsElite

    - Baada ya kusubiriwa kwa muda mrefu, hatimaye mshambuliaji hatari wa klabu ya Inter Miami pamoja Nahodha wa timu ya Taifa ya Argentina, Leo Messi.. kupitia katika Ukurasa wake wa Instagram (@leomessi) ‘FIFA BOY’ ame-share picha ya Diogo Jota, ikiwa ni ishara ya KUGUSWA moja kwa moja na msiba huu mzito katika soka. Kudos Legend..!
    .
    .
    - Hakika kwa kuondokewa na mtu kama Diogo Jota, itoshe kusema familia ya mpira tumepata pigo kubwa haswa! 🥹!
    .
    .

    …Endelea kupumzika, Diogo Jota. 🕊
    #SportsElite - Baada ya kusubiriwa kwa muda mrefu, hatimaye mshambuliaji hatari wa klabu ya Inter Miami pamoja Nahodha wa timu ya Taifa ya Argentina, Leo Messi.. kupitia katika Ukurasa wake wa Instagram (@leomessi) ‘FIFA BOY’ ame-share picha ya Diogo Jota, ikiwa ni ishara ya KUGUSWA moja kwa moja na msiba huu mzito katika soka. Kudos Legend..! 🤝 . . - Hakika kwa kuondokewa na mtu kama Diogo Jota, itoshe kusema familia ya mpira tumepata pigo kubwa haswa! 🥹! . . …Endelea kupumzika, Diogo Jota. 🕊
    0 Comments ·0 Shares ·137 Views
  • "its not over yet,,,Jotaaa.....its Diogo Jotaaa 4:3"

    Sio shabiki wa Liverpool lakini huwa nakumbuka sana hiyo comeback na kwenye maiki alikuwa Peter Dury.

    Rest in peace Diogo Jota now is over
    😭😭"its not over yet,,,Jotaaa.....its Diogo Jotaaa 4:3" Sio shabiki wa Liverpool lakini huwa nakumbuka sana hiyo comeback na kwenye maiki alikuwa Peter Dury. Rest in peace Diogo Jota now is over 👋
    0 Comments ·0 Shares ·26 Views
  • BREAKING Mshambuliaji wa Liverpool FC Diogo Jota na Kaka Yake wamefariki Dunia leo kwa Ajali.
    .
    Q Taarifa ya Jeshi la Polisi kutoka huko Uhispania:

    “Diogo Jota na Andre Silva walikuwa kwenye Gari aina ya Lamborghini ambalo liliacha njia kutokana na tairi kupasuka na kulipiga gari jingine na kisha kuwaka moto. Ajali hiyo ilitokea Zamora, Uhispania,

    Source BBC Sports
    .
    DIOGO JOTA MAISHA YAKE AKIWA NA LIVERPOOL

    🏟 Michezo - 182
    ⚽️ Mabao - 65
    Asisst - 22

    Chanzo cha Ajali ni Gari liliacha Njia na Kuwaka moto kwenye Gari Alikuwepo Diogo Jota mwenye miaka 28 na mdogo wake Andre Silva (25) wote wamefariki.

    Siku mbaya kwa wanamichezo Imenitoa machozi hii

    R.I.P Liverpool Legend Mungu Akupe Kauli Thabiti
    .
    🗣 Ujumbe wa Cristiano Ronaldo kwa Kifo cha Jota
    .
    🕊🎙 " Haina maana. Juzi tulikuwa pamoja kwenye timu ya taifa na tumeshinda ubingwa pamoja mbaya zaidi Juzi tu Umefunga ndoa umemuacha mke wako na watoto inauma... Binafsi natuma salamu zangu źa rambirambi kwa Familia yako na kuwatakia Kila lenye Kheri najua Daima utakuwa nao Pumzika salama"
    .
    Weka Alama hii Kama kumuombea Diogo Jota.

    Mungu Atupe mwisho Mwema 🕊.
    .
    #RIPJOTA || #SportsElite #football
    🇵🇹 😢 BREAKING Mshambuliaji wa Liverpool FC Diogo Jota na Kaka Yake wamefariki Dunia leo kwa Ajali.😢 . Q🚨 Taarifa ya Jeshi la Polisi kutoka huko Uhispania: “Diogo Jota na Andre Silva walikuwa kwenye Gari aina ya Lamborghini ambalo liliacha njia kutokana na tairi kupasuka na kulipiga gari jingine na kisha kuwaka moto. Ajali hiyo ilitokea Zamora, Uhispania, Source BBC Sports . 🚨 DIOGO JOTA MAISHA YAKE AKIWA NA LIVERPOOL 🏟 Michezo - 182 ⚽️ Mabao - 65 🎯 Asisst - 22 Chanzo cha Ajali ni Gari liliacha Njia na Kuwaka moto kwenye Gari Alikuwepo Diogo Jota mwenye miaka 28 na mdogo wake Andre Silva (25) wote wamefariki. 😢 Siku mbaya kwa wanamichezo Imenitoa machozi hii😭 R.I.P Liverpool Legend Mungu Akupe Kauli Thabiti 💔 . 🗣 Ujumbe wa Cristiano Ronaldo kwa Kifo cha Jota . 🕊🎙 " Haina maana. Juzi tulikuwa pamoja kwenye timu ya taifa na tumeshinda ubingwa pamoja mbaya zaidi Juzi tu Umefunga ndoa umemuacha mke wako na watoto inauma... Binafsi natuma salamu zangu źa rambirambi kwa Familia yako na kuwatakia Kila lenye Kheri najua Daima utakuwa nao Pumzika salama"😢 . Weka Alama hii 🙏 Kama kumuombea Diogo Jota. 💔 Mungu Atupe mwisho Mwema 💔🙏🕊. . #RIPJOTA || #SportsElite #football
    0 Comments ·0 Shares ·139 Views
  • What is Erectile Dysfunction (ED)?: Explained in Detailed

    What is Erectile Dysfunction (ED)?: Explained in Detailed
    0 Comments ·0 Shares ·61 Views
More Results