• BREAKING

    Baada ya kufanya biashara ya faida kwa mauzo ya mshambuliaji Gyokeres aliyetimkia Arsenal, klabu ya Sporting Lisbon imefanikiwa kunasa saini ya mbadala wake.

    Sporting Lisbon imekamilisha usajili wa mshambuliaji Luis Javier Suarez(27) kutokea Almeria ya Spain kwa dau la €22M.

    Akiwa na Almeria msimu uliopita Suarez alihusika kwenye magoli 35 akifunga 27 na kutoa pasi 8 za magoli kwenye michezo 41 ya La Liga 2.

    #SportsElite
    🚨 BREAKING Baada ya kufanya biashara ya faida kwa mauzo ya mshambuliaji Gyokeres aliyetimkia Arsenal, klabu ya Sporting Lisbon imefanikiwa kunasa saini ya mbadala wake. Sporting Lisbon imekamilisha usajili wa mshambuliaji Luis Javier Suarez(27) kutokea Almeria ya Spain kwa dau la €22M. Akiwa na Almeria msimu uliopita Suarez alihusika kwenye magoli 35 akifunga 27 na kutoa pasi 8 za magoli kwenye michezo 41 ya La Liga 2. #SportsElite
    0 Comentários ·0 Compartilhamentos ·2 Visualizações
  • BREAKING : FC Barcelona wamejipanga kimkakati kuhakikisha wanamsajili Beki kitasa wa Liverpool FC raia wa Ufaransa Ibrahima Konaté katika dirisha hili la usajili.

    FC Barcelona wanaamini ofa waliyoiandaa, haiwezi kataliwa na Liverpool FC

    #SportsElite
    BREAKING 🔴: FC Barcelona wamejipanga kimkakati kuhakikisha wanamsajili Beki kitasa wa Liverpool FC raia wa Ufaransa 🇨🇵 Ibrahima Konaté katika dirisha hili la usajili. FC Barcelona wanaamini ofa waliyoiandaa, haiwezi kataliwa na Liverpool FC #SportsElite
    0 Comentários ·0 Compartilhamentos ·80 Visualizações
  • BREAKING: Yanga wamekamilisha usajili wa kiungo namba 10 wa Stade Malien,Raia wa Mali Lassine Kouma (21)

    Simba walikuwa wa kwanza kuzungumza na Lassine Kouma,Kisha kinda huyo akampigia Simu Diarra ili kujua mazingira ya Tanzania,baada ya Diarra kujua kinda huyo hatari anaelekea Simba akamwambia Eng Heris aingilie haraka na mchakato wa kumsaini kuja Yanga ukaanza rasmi na Leo jioni kila kitu kimekamilika….Lassine Kouma Is now green & Yellow


    #SportsElite
    BREAKING: Yanga wamekamilisha usajili wa kiungo namba 10 wa Stade Malien,Raia wa Mali 🇲🇱 Lassine Kouma (21)✅ Simba walikuwa wa kwanza kuzungumza na Lassine Kouma,Kisha kinda huyo akampigia Simu Diarra ili kujua mazingira ya Tanzania,baada ya Diarra kujua kinda huyo hatari anaelekea Simba akamwambia Eng Heris aingilie haraka na mchakato wa kumsaini kuja Yanga ukaanza rasmi na Leo jioni kila kitu kimekamilika….Lassine Kouma Is now green & Yellow #SportsElite
    0 Comentários ·0 Compartilhamentos ·196 Visualizações
  • | BREAKING

    AS Roma ya nchini Italy imefikia makubaliano ya kumnunua beki wa pembeni wa flamengo, Wesley kwa dau la €25M pamoja na nyongeza.

    Kila kitu kipo tayari na mchezaji anaitaka AS Roma pekee, Flamengo wanafanya jitihada za kutafuta mbadala wa Wesley ili wamluhusu rasmi akajiunge na Roma.

    #SportsElite
    🚨 | BREAKING AS Roma ya nchini Italy imefikia makubaliano ya kumnunua beki wa pembeni wa flamengo, Wesley kwa dau la €25M pamoja na nyongeza. Kila kitu kipo tayari na mchezaji anaitaka AS Roma pekee, Flamengo wanafanya jitihada za kutafuta mbadala wa Wesley ili wamluhusu rasmi akajiunge na Roma. #SportsElite
    0 Comentários ·0 Compartilhamentos ·144 Visualizações
  • BREAKING:

    Manchester United iko tayari kutuma ofa kwa golikipa wa Royal Antwerp Senne Lammens.

    Antwerp tayari wametoa thamani ya golikipa huyo ambayo ni £17M.
    🚨 BREAKING: Manchester United iko tayari kutuma ofa kwa golikipa wa Royal Antwerp Senne Lammens. Antwerp tayari wametoa thamani ya golikipa huyo ambayo ni £17M.
    0 Comentários ·0 Compartilhamentos ·103 Visualizações
  • | BREAKING: Saudi Arabia iko tayari kutoa ofa ya €350M kwa Real Madrid ili kumsajili Vinicius Jr.

    Source Ben Jacobs

    #SportsElite
    🚨| BREAKING: Saudi Arabia iko tayari kutoa ofa ya €350M kwa Real Madrid ili kumsajili Vinicius Jr.🇸🇦 💰 Source Ben Jacobs #SportsElite
    0 Comentários ·0 Compartilhamentos ·219 Visualizações
  • | BREAKING

    Crystal Palace imepanga kukata rufaa ili kupinga uamuzi wa UEFA kuwashusha kutoka kushiriki EUROPA hadi kushiriki Conference League.

    Nafasi ya ushiriki wa EUROPA ambayo ilikuwa ni ya Crystal Palace atashiriki Nottingham Forest na Palace watashiriki Conference kama mambo yatabakia hivi.

    #SportsElite
    🚨 | BREAKING Crystal Palace imepanga kukata rufaa ili kupinga uamuzi wa UEFA kuwashusha kutoka kushiriki EUROPA hadi kushiriki Conference League. Nafasi ya ushiriki wa EUROPA ambayo ilikuwa ni ya Crystal Palace atashiriki Nottingham Forest na Palace watashiriki Conference kama mambo yatabakia hivi. #SportsElite
    0 Comentários ·0 Compartilhamentos ·226 Visualizações
  • | BREAKING

    Newcastle united wameingia kwenye mbio za kumuwania mshambuliaji wa Manchester city, Jack Grealish mwenye umri wa miaka 29.

    Manchester city wanahitaji kumuuza Grealish kwa dau la £40 million baada ya wao kumsajili Kwa £100 million mwaka 2021.

    Tofauti na Newcastle pia kuna West Ham na Totenham ambao wapo kwenye mbio za kumuwania Grealish.

    #SportsElite
    🚨 | BREAKING Newcastle united wameingia kwenye mbio za kumuwania mshambuliaji wa Manchester city, Jack Grealish mwenye umri wa miaka 29. Manchester city wanahitaji kumuuza Grealish kwa dau la £40 million baada ya wao kumsajili Kwa £100 million mwaka 2021. Tofauti na Newcastle pia kuna West Ham na Totenham ambao wapo kwenye mbio za kumuwania Grealish. #SportsElite
    0 Comentários ·0 Compartilhamentos ·248 Visualizações
  • BREAKING : Uongozi wa Real Madrid C.F. pamoja na Xabi Alonso wako tayari kwa pamoja kumruhusu Rodrygo Silva de Goes kuondoka Klabuni hapo majira haya ya joto. Wamekubaliana kuwa klabu haitamzuia mchezaji huyo ikiwa ofa inayofaa itatolewa.


    Source: [ MarioCortegana ]

    #SportsElite
    BREAKING 🔴: Uongozi wa Real Madrid C.F. pamoja na Xabi Alonso wako tayari kwa pamoja kumruhusu Rodrygo Silva de Goes kuondoka Klabuni hapo majira haya ya joto. Wamekubaliana kuwa klabu haitamzuia mchezaji huyo ikiwa ofa inayofaa itatolewa. Source: [ MarioCortegana ] #SportsElite
    0 Comentários ·0 Compartilhamentos ·152 Visualizações
  • BREAKING Mshambuliaji wa Liverpool FC Diogo Jota na Kaka Yake wamefariki Dunia leo kwa Ajali.
    .
    Q Taarifa ya Jeshi la Polisi kutoka huko Uhispania:

    “Diogo Jota na Andre Silva walikuwa kwenye Gari aina ya Lamborghini ambalo liliacha njia kutokana na tairi kupasuka na kulipiga gari jingine na kisha kuwaka moto. Ajali hiyo ilitokea Zamora, Uhispania,

    Source BBC Sports
    .
    DIOGO JOTA MAISHA YAKE AKIWA NA LIVERPOOL

    🏟 Michezo - 182
    ⚽️ Mabao - 65
    Asisst - 22

    Chanzo cha Ajali ni Gari liliacha Njia na Kuwaka moto kwenye Gari Alikuwepo Diogo Jota mwenye miaka 28 na mdogo wake Andre Silva (25) wote wamefariki.

    Siku mbaya kwa wanamichezo Imenitoa machozi hii

    R.I.P Liverpool Legend Mungu Akupe Kauli Thabiti
    .
    🗣 Ujumbe wa Cristiano Ronaldo kwa Kifo cha Jota
    .
    🕊🎙 " Haina maana. Juzi tulikuwa pamoja kwenye timu ya taifa na tumeshinda ubingwa pamoja mbaya zaidi Juzi tu Umefunga ndoa umemuacha mke wako na watoto inauma... Binafsi natuma salamu zangu źa rambirambi kwa Familia yako na kuwatakia Kila lenye Kheri najua Daima utakuwa nao Pumzika salama"
    .
    Weka Alama hii Kama kumuombea Diogo Jota.

    Mungu Atupe mwisho Mwema 🕊.
    .
    #RIPJOTA || #SportsElite #football
    🇵🇹 😢 BREAKING Mshambuliaji wa Liverpool FC Diogo Jota na Kaka Yake wamefariki Dunia leo kwa Ajali.😢 . Q🚨 Taarifa ya Jeshi la Polisi kutoka huko Uhispania: “Diogo Jota na Andre Silva walikuwa kwenye Gari aina ya Lamborghini ambalo liliacha njia kutokana na tairi kupasuka na kulipiga gari jingine na kisha kuwaka moto. Ajali hiyo ilitokea Zamora, Uhispania, Source BBC Sports . 🚨 DIOGO JOTA MAISHA YAKE AKIWA NA LIVERPOOL 🏟 Michezo - 182 ⚽️ Mabao - 65 🎯 Asisst - 22 Chanzo cha Ajali ni Gari liliacha Njia na Kuwaka moto kwenye Gari Alikuwepo Diogo Jota mwenye miaka 28 na mdogo wake Andre Silva (25) wote wamefariki. 😢 Siku mbaya kwa wanamichezo Imenitoa machozi hii😭 R.I.P Liverpool Legend Mungu Akupe Kauli Thabiti 💔 . 🗣 Ujumbe wa Cristiano Ronaldo kwa Kifo cha Jota . 🕊🎙 " Haina maana. Juzi tulikuwa pamoja kwenye timu ya taifa na tumeshinda ubingwa pamoja mbaya zaidi Juzi tu Umefunga ndoa umemuacha mke wako na watoto inauma... Binafsi natuma salamu zangu źa rambirambi kwa Familia yako na kuwatakia Kila lenye Kheri najua Daima utakuwa nao Pumzika salama"😢 . Weka Alama hii 🙏 Kama kumuombea Diogo Jota. 💔 Mungu Atupe mwisho Mwema 💔🙏🕊. . #RIPJOTA || #SportsElite #football
    0 Comentários ·0 Compartilhamentos ·430 Visualizações
  • BREAKING

    Lyon wameshushwa Daraja huko Ligue 1 licha ya kumaliza katika nafasi ya 6!

    Sababu iliyofanya mpka klabu hiyo ikashushwa daraja ni swala la kiuchumi wanapitia wakati mgumu kiuchumi

    Source [Fabrizio Romano]

    #sportselite
    BREAKING🚨 🇫🇷Lyon wameshushwa Daraja huko Ligue 1 licha ya kumaliza katika nafasi ya 6! Sababu iliyofanya mpka klabu hiyo ikashushwa daraja ni swala la kiuchumi wanapitia wakati mgumu kiuchumi💰 Source [Fabrizio Romano] #sportselite
    0 Comentários ·0 Compartilhamentos ·227 Visualizações
  • | BREAKING:

    Barcelona wako kwenye mazungumzo ya hali ya juu kuhakikisha wanamsajili Zé Lucas, mmoja wa vijana wanaovuma zaidi nchini Brazil.

    Kiungo wa kati mwenye umri wa miaka 17 anachezea Sport Recife.

    Makubaliano ya mwisho kati ya pande zote yanatarajiwa hivi karibuni.

    — Felix Diaz | Marca

    #sportselite
    🚨| BREAKING: Barcelona wako kwenye mazungumzo ya hali ya juu kuhakikisha wanamsajili Zé Lucas, mmoja wa vijana wanaovuma zaidi nchini Brazil. Kiungo wa kati mwenye umri wa miaka 17 anachezea Sport Recife. Makubaliano ya mwisho kati ya pande zote yanatarajiwa hivi karibuni. — Felix Diaz | Marca 🥇 #sportselite
    0 Comentários ·0 Compartilhamentos ·275 Visualizações
  • BREAKING

    Napoli waanza harakati za kumsajili Jadon Sancho! ⚪️

    Kwa mujibu wa Sky Italia, Napoli wanamwona winga wa Manchester United kama usajili muhimu kwa mipango yao ya msimu ujao.
    Mazungumzo yanatarajiwa kusonga mbele katika siku chache zijazo

    #sportselite
    🚨 BREAKING Napoli waanza harakati za kumsajili Jadon Sancho! 🟦⚪️ Kwa mujibu wa Sky Italia, Napoli wanamwona winga wa Manchester United kama usajili muhimu kwa mipango yao ya msimu ujao. Mazungumzo yanatarajiwa kusonga mbele katika siku chache zijazo #sportselite
    Like
    1
    · 0 Comentários ·0 Compartilhamentos ·284 Visualizações
  • BREAKING

    Bayern Munich Wako mbioni kuinasa Saini ya Nyota wa Crystal Palace Eberechi Eze

    Fahamu Eberechi Eze anakifungu cha kuuzwa cha £68m.

    #sportselite
    🚨 BREAKING Bayern Munich Wako mbioni kuinasa Saini ya Nyota wa Crystal Palace Eberechi Eze 🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 Fahamu Eberechi Eze anakifungu cha kuuzwa cha £68m.💰 #sportselite
    Like
    Angry
    2
    · 0 Comentários ·0 Compartilhamentos ·309 Visualizações
  • BREAKING NEWS…..!!!!!

    FIFA itafanya uchunguzi wa mpira wa Tanzania katika Kipindi cha miezi miwili nyuma hadi sasa kutokana na Migogoro ya kimaamuzi iliyotokea.

    Lakini pia imeiomba TFF kutoa ushirikiano katika masuala yote ili kuweza kupata uhalisia wa mambo yote yaliyotokea....

    #sportselite
    🚨BREAKING NEWS…..!!!!! FIFA itafanya uchunguzi wa mpira wa Tanzania katika Kipindi cha miezi miwili nyuma hadi sasa kutokana na Migogoro ya kimaamuzi iliyotokea. Lakini pia imeiomba TFF kutoa ushirikiano katika masuala yote ili kuweza kupata uhalisia wa mambo yote yaliyotokea.... #sportselite
    Wow
    1
    · 0 Comentários ·0 Compartilhamentos ·472 Visualizações
  • BREAKING

    Klabu ya FC Barcelona ipo katika hatua za mwisho kukamilisha usajili wa Nico William Jr kutokea klabu ya Athletic Club Bilbao.

    #sportselite
    BREAKING 🔴 Klabu ya FC Barcelona ipo katika hatua za mwisho kukamilisha usajili wa Nico William Jr kutokea klabu ya Athletic Club Bilbao. #sportselite
    Wow
    1
    · 0 Comentários ·0 Compartilhamentos ·269 Visualizações
  • BREAKING Chelsea inakaribia kukubaliana na Man United kumsajili Winga Alejandro Garnacho, .

    Chelsea tayari imefanya mazungumzo na kambi kuu ya mchezaji na sasa inajiandaa kufanya makubaliano na Manchester United juu ya kukamilisha Usajili huo.

    Source Fabrizio Romano
    🚨BREAKING Chelsea inakaribia kukubaliana na Man United kumsajili Winga Alejandro Garnacho, 🇦🇷 🔵. Chelsea tayari imefanya mazungumzo na kambi kuu ya mchezaji na sasa inajiandaa kufanya makubaliano na Manchester United juu ya kukamilisha Usajili huo. Source Fabrizio Romano
    Like
    1
    · 1 Comentários ·0 Compartilhamentos ·836 Visualizações
  • BREAKING
    *ORODHA YA MAJINA YA WALIOITWA KAZINI MUDA HUU KUTOKA UTUMISHI KADA ZA AFYA, TAASISI MBALIMBALI.*


    > PAKUA PDF HAPA:- https://wananchiforum.com/threads/kuitwa-kazini-kada-za-afya-na-taasisi-mbalimbali-5-desemba-2024.320/
    BREAKING 🚨 *ORODHA YA MAJINA YA WALIOITWA KAZINI MUDA HUU KUTOKA UTUMISHI KADA ZA AFYA, TAASISI MBALIMBALI.* > PAKUA PDF HAPA:- https://wananchiforum.com/threads/kuitwa-kazini-kada-za-afya-na-taasisi-mbalimbali-5-desemba-2024.320/
    KUITWA KAZINI KADA ZA AFYA NA TAASISI MBALIMBALI 5 DESEMBA 2024
    wananchiforum.com
    TANGAZO LA KUITWA KAZINI Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 03-09-2024 na tarehe...
    Like
    2
    · 0 Comentários ·0 Compartilhamentos ·855 Visualizações
  • #Breaking: Hamas iko tayari kusitisha mapigano katika Ukanda wa Gaza kufuatia kutangazwa kwa mapatano kati ya Lebanon na Israel, AFP inaripoti, ikimnukuu mwakilishi wa harakati hiyo......
    #Breaking: Hamas iko tayari kusitisha mapigano katika Ukanda wa Gaza kufuatia kutangazwa kwa mapatano kati ya Lebanon na Israel, AFP inaripoti, ikimnukuu mwakilishi wa harakati hiyo......
    Like
    1
    · 0 Comentários ·0 Compartilhamentos ·858 Visualizações
  • BREAKING NEWS | Hatimae TS Galaxy ya Afrika Kusini imeshinda mchezo wake wa kwanza wa Ligi Kuu Afrika Kusini baada ya michezo yote sita chini ya German Machine, Saed Ramovic kupigwa nne na sare michezo miwili.

    Leo chini ya Kocha mpya Adnan Beganovic wameshinda 3-1 dhidi ya Shekhukune ambayo ipo nafasi ya sita kwenye PSL, hii pia ni mara ya kwanza kushinda ugenini na kuvuka mabao mawili.
    BREAKING NEWS | Hatimae TS Galaxy ya Afrika Kusini imeshinda mchezo wake wa kwanza wa Ligi Kuu Afrika Kusini baada ya michezo yote sita chini ya German Machine, Saed Ramovic kupigwa nne na sare michezo miwili. Leo chini ya Kocha mpya Adnan Beganovic wameshinda 3-1 dhidi ya Shekhukune ambayo ipo nafasi ya sita kwenye PSL, hii pia ni mara ya kwanza kushinda ugenini na kuvuka mabao mawili.
    Like
    Love
    3
    · 3 Comentários ·0 Compartilhamentos ·744 Visualizações
Páginas impulsionada